Timu ikishakua na Joghinho basiii uchezaji ni konokono. Ngoja siku wawe kante na kova timu ina chanja mbuga balaa, ila TT huwa haoni.Tuchel kwa sasa simuelewi kabisa, ana uchezaji wa kipumbavu sana. Mpira umepooza sana utadhani wanacheza wagonjwa mbinu kaishiwa.
Uzuri jukwaa lako tu linakuelemea sijui muda wa kuja Kule unyumbuni unapataga wapi[emoji23][emoji23]Tuchel kwa sasa simuelewi kabisa, ana uchezaji wa kipumbavu sana. Mpira umepooza sana utadhani wanacheza wagonjwa mbinu kaishiwa.
Acha tuteme nyongo ,wapumbav wanazingua , majitu yanavheza kama yanapumuliwaNaona leo humu ni matusi tu. Yaani mtu ana akili timamu na sio kichaa anaona fahati kutukana tu. Shida sana hawa watu!
Kuandika matusi sio kutema nyongo, ni upungufu wa hekima!Acha tuteme nyongo ,wapumbav wanazingua , majitu yanavheza kama yanapumuliwa
Anamleta magwaya chelsea usihofuTuchel kwa sasa simuelewi kabisa, ana uchezaji wa kipumbavu sana. Mpira umepooza sana utadhani wanacheza wagonjwa mbinu kaishiwa.
Mifumo ya Kocha wenu ,sijui CF gan atafiti hapoStrikers that failed under tuchel
1.Giroud
2.werner
3. Abraham
4. Lukaku
in just 18 months
Kosa kosa gani na ww umemuandama sterling, Arsenal sahv mnajidai kila kitu mnajua. wakat muda wenu utafika. Hamna timu y kuingia hata top six.Mifumo ya Kocha wenu ,sijui CF gan atafiti hapo
Akijifanya kibri aendelee na Rahim Sterling hapo mbele ,tunaweza kushuhudia Rahim alimaliza michuano yote akiwa na goli 3 , sio utani ,kwa kosa kosa za Rahim Sterling ,tulisema mkabeza,
Tulia wewe ,si unaletaga mdomo mrefu Kule jukwaa la ArsenalKosa kosa gani na ww umemuandama sterling, Arsenal sahv mnajidai kila kitu mnajua. wakat muda wenu utafika. Hamna timu y kuingia hata top six.
Arsenyeto mna mdomo kama Chuchunge.Tulia wewe ,si unaletaga mdomo mrefu Kule jukwaa la Arsenal
Kwan uongo ,Rahim Sterling tuliwaambia anahitaji chance 10 goli 1 ,
Msimu uliopita ulisema tunashuka daraja,hatushangai leo kututoa top 6
sawaMpaka Sasa mmetumia £180m lkn hakuna kinachoonekana
Leicester next week anahitaji hata sare , uwezo wa kuipata anao