verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,245
- 6,481
Sisi au Leeds?Achen ujinga pumbavu
Kuna supu hapa kweli?Mkishindwa kunipa hata hela ya supu hapa nitawaona mijinga sana.
View attachment 2330454
Washenzi hawa hamna kitu yani hata goli moja inaonekana hawana uwezo wa kupata. Labda wapigwe la nne.Kuna supu hapa kweli?
Point yangu n kwamba dogo namkubali hvy nafurahi yeye kupata muda uwanjani
Wakuu hapa hamna cha kuzika
Huu mzoga wa kenge tunautupa tu jalalani ukaliwe na mbwa tuna mambo mengine ya kufanya
Hivi Rahim Sterling yupo uwanjani kweli?
Huyu jamaa anaweza maliza na goli 3 all competition ,
Yani mkeka wangu umechanwa na timu ninayoipenda Chelsea, mamaae hili gundu ni la viwango vya kimataifa
Amekimbizwa hana hamu na hawa vijana,yupo hoiiii.Hawa nao si wapige cha 4
Ndugu zetu,huyu 'Kulubali' sio Magwaya mweusi kweli?[emoji23][emoji23]