Getang'wan
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 3,076
- 3,418
Akili nyingi huondoa maarifa.Hii rafu waliocheza Barca sasa wanataka kucheza tena rafu kwenye mahesabu na wataishia kuwapa mshahara wa bure hao akina Raphinha na Kounde biula ya kuwasajili kwa ajili ya ligi inayoanza siku nne zijazo
View attachment 2318106
Alikua anakula mshahara mkubwa ni afadhali nayo.
View attachment 2318073
Okay huenda nimechanganya formation.
Lakini hii approach iliyotumika kwenye hii match, kwanini tunashindwa kuitumia kwenye match zingine.
Hii match hakukuwa na mambo ya pasi fupifupi.
Hii match pamoja na second leg ya robo final uefa against real madrid, ni match ambazo tulipiga mpira mwingi sana.
Asante kaka kwa kuona nachokionaga mimi. TT sijui huwaga haoni? Huwa namshangaa anavyomkumbatia jog.Wewe unachanganya vitu viwili kuna aina ya uchezaji na kuna mfumo shida yetu sisi sio mfumo ndio unatatizo la hasha tatizo lipo kwenye uchezaji na team inacheza soka zuri pale anapokuwa kovacic na kante pale Kati ila anapocheza jorginho team inakuwa slow
Tunatoa takatakaLukaku OUT
Werner OUT
Alonso OUT
Barkley OUT
Sarr OUT
Havertz mnamtetea tu ila kwa ulegevu ule ligi haiwezi, zaid ya kufunga kwnye champions legue sijaona kitu anafanyaga uwanjani hata achezeshwe wapi, ni takataka.Mimi nafikiri TT hawachezeshe wachezaji kwenye right position zao.
Wing right wapo left right wapo. Kai na polisic ni wazuri sana wakicheza no 10.
Then no 9 asimame proja au Kai kama false no 9 wabadilishane. Hapo tutaona ushindani kweli kweli. Mimi huwa sifurahishwi na kai kuchezeshwa left au right wing
Hana ulegevu kama unavyosema labda unazungumzia kai wa msimu wa kwanza sema sema mechi iliyopita alichezeshwa nje ya positionHavertz mnamtetea tu ila kwa ulegevu ule ligi haiwezi, zaid ya kufunga kwnye champions legue sijaona kitu anafanyaga uwanjani hata achezeshwe wapi, ni takataka.
Asante kaka kwa kuona nachokionaga mimi. TT sijui huwaga haoni? Huwa namshangaa anavyomkumbatia jog.
Shida yenu mmemjua baada ya kusajiliwa Chelsea. Siwezi kukulaumuHavertz mnamtetea tu ila kwa ulegevu ule ligi haiwezi, zaid ya kufunga kwnye champions legue sijaona kitu anafanyaga uwanjani hata achezeshwe wapi, ni takataka.
Sarr to monaco loan + with obligation to buy akifikisha idad ya mech alizowekewaLukaku OUT
Werner OUT
Alonso OUT
Barkley OUT
Jognho......
Pulisic.......
Cheek.......
Sarr..........
Ziyech.......
Keppa.......
Kuna siku nilitoa takwimu za ulinganifu kati yake na Jorginho na Jo kaachwa mbali na NevesJe huyu mwamba Ruben NevesView attachment 2318392
Mechi za liver mbona zote tumecheza 343.Huyo Tuchel ni muoga sana sometimes.
Kuna matches tumeshacheza 433 na tuliperform....
Refer match za liver za kwenye ligi msimu uliopita.
Je tunaviungo na wachezaj wale wale ambao wanaweza tupa hata nusu aliyokuwa anatupa Costa,Hazard,Willian,Matic,FabregasKuna watu wanasema kocha apewe wachezaji wanaoendana na mfumo wake, mbona Conte 2017 aliwakuta wacheza wa Mou mbaazi, mamahargwe dagaa na magimbi pamoja akachukua nao ubingwa? Wala hakuja na mchezaji wake?
Je huyu mwamba Ruben NevesView attachment 2318392
Kiongozi acha kulemba mwandiko kwa kumtetea kocha ni muoga kuattack hilo liko wazi game ya mwisho tuliocheza kwa kushambulia kama nyuki ilikuwa game na juventus na wachezaji walikuwa hawahawa. Kwenye suala la kucrete chances no sign of improvement na tunataka kutoa £80mil kwa beki ilihali viungo wachezeshaji hatuna na wala simuoni akiwaza kuwatafuta. Tunawaweka mabeki underpressure kwa kuto create chances na kutofunga magoli ya kutosha. Inshort kocha nae awe dynamic kwenye game approach yake sio kulaumu wachezaji tuJe tunaviungo na wachezaj wale wale ambao wanaweza tupa hata nusu aliyokuwa anatupa Costa,Hazard,Willian,Matic,Fabregas
Nyuma pako sawa atleast, Luiz+Cahill+Azp
Na wing back hazina shida hizi idara zingine
Je kuanzia mid mpk mbele kuna mtu anaweza toa performance kama za hao hata nusu katika game 10 mfululizo??
Conte alicheza 14 games bila kupoteza, kwa kikos cha sasa unahis kinaweza cheza hata game 10 bila kupoteza??
Havertz sio kama mbaya kivile, kuna game kwa sehemu kubwa alikuwa strong msimu uliopita na hadi akawa anafunga mfululizo, uchezaji wetu ukiimprove Havertz anaweza akafunga magoli 10+ na bado umri wake unampa fursa ya kuimprove. Advantage ya Havertz hana panic akiwa na mpira sio kama Werner. Pia Havertz anacreate mobility kwenye final third na hivyo yeye, sterling na Mount wanaweza kuleta manufaa makubwa endapo hatutampata striker au winger bora zaidiHavertz mnamtetea tu ila kwa ulegevu ule ligi haiwezi, zaid ya kufunga kwnye champions legue sijaona kitu anafanyaga uwanjani hata achezeshwe wapi, ni takataka.