Ridomil gold
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 2,787
- 2,233
Umeongea point sanaHuu ni urafiii Sasa ,ifike hatua mjue aina ya wachezaji wanaoweza kuja kucheza Chelsea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwisho wa siku mtasema kagere anaweza kuja kucheza hapo darajan kudadekiii
Lukaku anaitafuna Chelsea kisawasawa aisee[emoji23][emoji23][emoji23]
Huku eti James akilipwa chini ya nusu ya mshahara wakeMalang Sarr 120,000 kwa wiki?
Toddy Boehly atapunguza huo mshahara mkubwa sana.
Hata hao CB na ndio maana TT anamtaka na CB wapya watatuJames & Chilwell wakipata injury msimu umeisha.
Hizo back-up hamna kitu hapo.
Kazi ya marina hiyo[emoji23] hadi SarrHuku eti James akilipwa chini ya nusu ya mshahara wake
View attachment 2300906
Media ndio zinatuchanganya, upande wa Barcelona wakija na uongo wanauremba kweli kweliHii issue ya Kounde hata haiweleweki,
Tusubir tu mpk hapo tutakapoona kavaa jezi[emoji23]
Ngoja tusubir tuone,Media ndio zinatuchanganya, upande wa Barcelona wakija na uongo wanauremba kweli kweli
Wapinzani wa Barcelona wakija wanaturemba kweli kweli na kutupa false hopes kibao
Leo tena kun a media wamekuja wakidai Barca wanataka kufanya hijack ya mwisho
Media zingine zinadai Sevilar wanataka kupata cash haraka ili wafanye replacement ya Kounde kabla hawajachelewa
Kounde anadai kaenda kujiunga na wenzake baada ya kuona dili linacheleweshwa na yeye asingeweza kufanya mazoezi spani peke yake. Kaona "that is not professional"
Gerard Romero leo kadai dili tayari imebaki paper works ili Kounde ahamie Camp Nou
View attachment 2301016
🚨 Barcelona have been working all night and have reached an AGREEMENT in principle with Sevilla for Jules Koundé.Jules Kounde deal done
Dogo tumemlea toka akiwa mdogo , alikuwa apandishwe timu ,ila kaleta Kiburi anataka mshahara mkubwaHuyu Omari Hutchinson alikuwaga Chelsea academy 2012 akachukuliwa na Charlton Athletic na baadaye 2015 akachukuliwa na Arsenal baada ya kuonyesha mchezo mzuri Charlton Athletic walipocheza na Arsenal. 2015-2022 karudi Chelsea. Kule Arsenal kuna nini kwa sababu kasema asiulizwe sababu za yeye kuikimbia Arsenal
Na ndio wanaomwambia Kounde avute vute muda. Maana Sevilla tayari wameshakubali bei. Na Barca hata Kounde mwenyewe anaelewa kabisa kwamba Barca hawawezi kumlipa mshahara ambao Chelsea watamlipa. Sana sana Sevilla wakipata dau kubwa kwa Barca wataachana na Chelsea na lazima watampooza Kounde.Ngoja tusubir tuone,
Sevilla wanataka bidding war tu hapa ili wapate hela nzuri
Dogo Kakimbia competition, Mbele yake yupo Marcelo flores then Marquinhos then Saka na bado tunasajili new Winger.Huyu Omari Hutchinson alikuwaga Chelsea academy 2012 akachukuliwa na Charlton Athletic na baadaye 2015 akachukuliwa na Arsenal baada ya kuonyesha mchezo mzuri Charlton Athletic walipocheza na Arsenal. 2015-2022 karudi Chelsea. Kule Arsenal kuna nini kwa sababu kasema asiulizwe sababu za yeye kuikimbia Arsenal
Chelsea hawakupeleka ofa yeyote kwa dembele.Ishu sio mshahara bali ni mapenzi ya mchezaji anataka kucheza wapi.
Dembele na Raphina tuliwapa ofa ya mishahara mikubwa compaired na Barca mwisho wa siku wametuacha solemba.
Hapo unakuta Kounde mwenyewe anawaambia Sevilla vuteni vuteni tuwasikilizie Barca.
Ndio maana nasema Kama Kounde mapenzi yake ni kucheza THE BLUES atakuja tuu, mshahara maelewano.