Nakuhakikishia hata wakiwekwa hao unaowaita deep player makers, Jorginho hatakuwepo popote, yule ni msanii tu aliyetembelea nyota njema kwenye kipindi cha tunabeba UEFA na timu yake ua Taifa ikabeba EURO 2020. Kinyume na hapo ni usanii mkubwa kwa vile eti anajua kutoa short passes ambazo nyingi ni za kuwarudishia akina Rudiger na SilvaJorginho ni deep playmaker ungeweka kwa wale viungo wa chini ningekuelewa
Sisemi Jo ni mbaya ila mnapa sifa ambazo hazistahili kabisa. Namuona tu ni kiungo mzuri wa kawaida ambaye anahitaji kuwa na kiungo mwenzake, yeye awe backup/rotation. kwa sababu factor kubwa kwenye viungo ni kuwasaidia mabeki kulinda goli na kutoa key passes za kuleta magoli ambazo hizo sifa yeye hanaJorginho ni deep playmaker ungeweka kwa wale viungo wa chini ningekuelewa
Yuko Ronaldo, Nkunku, Ivan Toney wa Brentford wanamuuza Paundi 40m,Sokoni sasa hivi utampata striker gani mkali? Si bora umchukue huyu huyu ambaye atleat anaonyesha uhai
Itakuwa very risk hata kama wanacheza vizuri. Kwenye umri mdogo chini ya 22yrs ni only about 5 to 10 % ya wachezaji wanaweza cheza vizuri na wakamaitain consistency through out hadi wakomae kama akina Mbape, Haaland, Mount, Declan rice na wengine. Ila staili kama ya kina Odoi, Gilmour na wenzake, leo kacheza vizuri mechi zingine ni kupanic na kutojiamini hadi mwisho au anweza akacheza vizuri ila akafanya big blunder ambayo inazamisha jahazi kabisa kama ile ya Chalobah msimu uliopita badala afanye clearance anataka kufanya mbwembwe za sarakasi za kwenye sinema.Hakuna kochq wa chelsea anayeweza promote 4-5 player kutoka academy
Halaf utake kushindana na city/liverpool
Makocha wako kwa ajili ya kushinda, matokeo yakiwa mabaya wanalaumiwa wao na si wachezaji
Walipewa nafasi Mount Abraham,James na Tomori kipindi cha Lampard mpaka sasa ni wachezaji tegemeo kwanini isiwe kwa BrojaHuyo dogo bado sana kupewa nafasi 1st team, asepe tu. Kule southampton alikua anaruka ruka tu bado sana kupewa anachokitaka.
Kimpembe yupo vizuri na nikikumbuka combo yake na Thiago silva ilikuwa Bora sana kingine naongezea kimpembe anaweza kucheza Kwenye back 4
Tomori v2.0!Kwanini Broja asipewe anachokitaka. Tusikomae kuwalaumu hawa wachezaji wakati mwingine tuangalie upande wao pia. Mchezaji kama huyu mpaka kufika hapo keshakua na uhakika na anaonesha anajiamini kwa kile anachohitaji. Hatuna striker na dogo anaonesha keshaprove anaweza kupambana EPL apewe hiyo nafasi hawa sio wa kuuzwa kabisa
Kuanzia pale kwenye tackles per 90 mins ndio pazuri kwa sababu inamhusu mchezaji personally. Kimpembe is better than Kounde, japo Kounde umri unampa advantage
Mifano ni mingi mno. TT keshasema anafanya rebuild haya mnaenda sokoni hakuna mchezaji wa kueleweka unarudi ndani unakuta una silaha kwa nini usiingie nayo vitani hiyo.Tomori v2.0!
Tulishafanya sajili kama ya Lukaku na Werner lakini bado hawajaonyesha kile tulichotegemea kutoka kwao zaidi ya kuambulua matusi toka kwa Lukaku.Yuko Ronaldo, Nkunku, Ivan Toney wa Brentford wanamuuza Paundi 40m,
Yaani lukaku jinga lile hadi saa hii bado anaiandama Chelsea kwa vijembe kama vile mwimbaji wa TaarabuTulishafanya sajili kama ya Lukaku na Werner lakini bado hawajaonyesha kile tulichotegemea kutoka kwao zaidi ya kuambulua matusi toka kwa Lukaku.
Sina maana tusisajili ila panic buy zinatuumiza mno na wakati kuna nafasi zinaweza zibwa na mchezaji wa academy ambaye ni mzuri tu
Tunaweza risk msimu huu hata tukibaki top 4 tu halafu plan B ya rebuild iwe kuwapa academy hao nafasi, ndani ya msimu mmoja utamjua wa kwenda naye zaidi na nina mzigo wa kumtuaTulishafanya sajili kama ya Lukaku na Werner lakini bado hawajaonyesha kile tulichotegemea kutoka kwao zaidi ya kuambulua matusi toka kwa Lukaku.
Sina maana tusisajili ila panic buy zinatuumiza mno na wakati kuna nafasi zinaweza zibwa na mchezaji wa academy ambaye ni mzuri tu
Tumpe Broja aondoe huo mkosi, naamini mbele ya Sterling, Werner, Mount, Broja atafunga 15 to 20 goals msimu ujao[emoji117] Chief tumefanya jitihada nyingi na kubwa kusajili mastriker, nadhani mwisho wa siku tukubali hiyo no 9 ina mkosi THE BLUES.
[emoji117] Sidhani kama watatokea tena mastriker wengine wakaimudu hiyo nafasi zaidi ya Drogba, Costa na Anelka Mapungo.
[emoji117] Muda mwingine nawaza ubora wa mawinga na attacking midfielders tulionao kwa sasa baada ya Hazard, Willan, Lampard na Fab kuondoka.
[emoji117] Je Lukaku angewakuta Hazard, Willian na Fab angefail namna hii?
[emoji117] Kuna maswali mengi sana ya kujiuliza kuhusu hii No 9 THE BLUES.