Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,747
Ubora wa mchezaji ni consistency sio kubahatisha match moja ya dakika 90 ...Kama ni mchango wa timu nzima sasa tuseme wachezaji wa chelsea ni bora kuliko wa kipara?
Kila siku CL ,CL ifike hatua mjue CL ni kombe la kawaida na haliwezi kudetermine ubora wa mchezaji ....wachezaji kibao tu wamefanya makubwa wamestafu na Dunia inawaheshimu na hawana hio CL [emoji23]Nioneshe CL japo moja ya city nikupe kiwanja Roliondo
Mbona kashatangazwa kitambo sana ...wewe uko wapi?Koulibalyanatangazwa saa ngapi wazeee??
N la kawaida sana kiasi kwamba manshit hawezi affordKila siku CL ,CL ifike hatua mjue CL ni kombe la kawaida na haliwezi kudetermine ubora wa mchezaji ....wachezaji kibao tu wamefanya makubwa wamestafu na Dunia inawaheshimu na hawana hio CL [emoji23]
Hizi hawawezi kuzielewa hawa. Enzi za banda la videoHahahaha movie kuanzia mwanzo mpaka mwisho jamaa hacheki.
Watoto wa juzi hawazifahamu hizi.
Alishatangazwa na ameshatangazwa pia yuko Las Vegas as we speak nowKoulibalyanatangazwa saa ngapi wazeee??
Hapo hatujui hiyo ni mipango ya team ila wakitangaza utapata taarifaKoulibalyanatangazwa saa ngapi wazeee??
Hapo hatujui hiyo ni mipango ya team ila wakitangaza utapata taaKoulibalyanatangazwa saa ngapi wazeee??
Wesubiri wachezaji wako wamafungu huku kwingine sio level yakoKimpembe kwa 50? Siku hiz upigaji imekuwa fasion
Tangu saa 2 asubuhi ilikuwa tayari ameshatangazwaHapo hatujui hiyo ni mipango ya team ila wakitangaza utapata taarifa
Madhara ya kutumia pombe zisizopimwa.Kila siku CL ,CL ifike hatua mjue CL ni kombe la kawaida na haliwezi kudetermine ubora wa mchezaji ....wachezaji kibao tu wamefanya makubwa wamestafu na Dunia inawaheshimu na hawana hio CL [emoji23]
Eriksen alitaka timu kama Chelsea on free, wakapuuza hadi manure wakamchukua, so sadRLC, Mount, Conor, Barkley,
[emoji117] Wote hawa sio viungo wabunifu kama caliber ya Fabrigas, Eriksen, Bruno, KDB
[emoji117] Tangu Fabrigas aondoke THE BLUES mpaka sasa bado hatujapata kiungo mbunifu.