Good news
Ake haji Chelsea tena
Chelsea transfer target Nathan Ake has decided to mutually remain at Man City for the upcoming 2022/23 campaign as Todd Boehly did not meet the required transfer valuation in a decision which will affect Presnel Kimpembe, Levi Colwill and others.
Hii itakuwa good news kwa Levi Colwill
Ila CHALOBAH bado anahitaji kupata experience zaidi kupunguza errors. Huyu kijana ni hazina kubwa ya baadae
Hii ni good news, afadhali kha.Good news
Ake haji Chelsea tena
Chelsea transfer target Nathan Ake has decided to mutually remain at Man City for the upcoming 2022/23 campaign as Todd Boehly did not meet the required transfer valuation in a decision which will affect Presnel Kimpembe, Levi Colwill and others.
Hii itakuwa good news kwa Levi Colwill
Hivi hakuna tim yoyote inayomtaka Malang SarrWanakuwa 7
- Silva
- Koulibaly
- Malang Sarr
- Chalobah
- Colwill
- Kimpembe
- Azplicueta
Kound ni kwa matumiz ya mda mrefu ni anaweza cheza kama rb,rcb, so anaweza kuwa perfect replacemt ya AzpSWALI:- Tutamsajili Kounde kwa matumizi ya muda mrefu au ni bora kuliko Kimpembe?
Kounde kaachwa kwa sababu ya bei ghaliSawa CHIEF ila naona kama tumeacha mpango wa kumsajili, tupo kwa Kimpembe.
Ila Chelsea wanamtaka anauwezo wa kucheza Cb na LB, kwa interseptions ni mzuriHivi hakuna tim yoyote inayomtaka Malang Sarr
Hii spidi yake na stamina on motion ni hatari!Kitu ambacho sikuwa najua kwa Koulibaly ni uwezo wake wa kupasi na kuvunja mifumo ya ukabaji kwa timu pinzani. Luiz enzi zake ni mtoto kwa Koulibaly.
Silva hamfikii Koulibaly kwa pasi, pasi zilizokuwa zinakosekana Chelsea ndio hizo zinakuja
Ebu angalia hii video ukipata muda
View attachment 2289375
Kuna sajil Marina alikuwa anazifanya ni basi tu, kuna wachezaj tumebakia nao kama mizigo walipaswa mda mrefu tu wawe wameshaondoka, wakina batshuay,kenedy yani hawa wote wanakula mishahara ya bureHahaha[emoji1787] tulimpata bure, tutamtoa bure sidhani kama tutampata mteja wa kumuuzia labda tumshikie mteja bastola.
Kumsajili mchezaji anayeruka ruka kwenye miti inahitaji moyo
Mpango umerudi Mzee mara baada ya kushindwana na akeSawa CHIEF ila naona kama tumeacha mpango wa kumsajili, tupo kwa Kimpembe.
Chelsea nao hawakushangaa kumpata mchezaji wa miaka22 bure.Hahaha[emoji1787] tulimpata bure, tutamtoa bure sidhani kama tutampata mteja wa kumuuzia labda tumshikie mteja bastola.
Kumsajili mchezaji anayeruka ruka kwenye miti inahitaji moyo