Kinengunengu
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 1,717
- 4,414
Sasa unatukana kwanini? Kwanza hakujua wala haijui JF wala Tz. Jaribu kuwa mstaarabu.Huyu dogo aache ufala. Hajacheza hata minute moja premier league halafu anataka kuwa regular stater?
Fala sana.
🤣🤣🤣🤣Sasa unatukana kwanini? Kwanza hakujua wala haijui JF wala Tz. Jaribu kuwa mstaarabu.
timu yako tafadhaliSasa unatukana kwanini? Kwanza hakujua wala haijui JF wala Tz. Jaribu kuwa mstaarabu.
Mkuu wasisahau kutuleteaa mnyama mmoja asie zionea huruma nyavu. Yaani mbona watatuita storms hii seasonTukifanikiwa kusajili Kimpembe tupoe kwanza. Aje tuachane naye.
Tusajili Creative mid moja hata yule jamaa wa lazio siyo mbaya.
Tusajili winger ya kulia moja. Gnabry.
Uza yule muarabu koko basi tunatulia tunasubiri kuwanyoosha nyumbu.
Mbona tukicheza back 4 tunakuwa threat sana.
Hivi mnaikumbuka ile match ya Liver tuliyotoka 2-2 au ile match na madrid Santiago Bernabeu?
Back 3 ni uoga sometimes.
Sterling ni LW ,lakini pep alikuwa anaweza kumchezesha RW....kabla hujasema sterling Hana namba pale city kaa ukijua pep ni mtu wa kufanya rotation,Hana Mungu mtu ,..!! mwenye uhakika na namba pale city ni KDB na EDERSON tu wengine wote sio regular starter ...Je kweli Rahim hana namba The citizens?
Ndio shida ya madogo wa academy hii, wanadhan wakitoka loan wanadeserve first 11 ya moja kwa moja, stay n fight kama ukionyesha uko sawa kuzidi waliopo nafasi utapataHuyu dogo aache ufala. Hajacheza hata minute moja premier league halafu anataka kuwa regular stater?
Fala sana.
Tuchel anaplan ya kurudi kwenye back 4, na si kutegemea back 3,Tukifanikiwa kusajili Kimpembe tupoe kwanza. Aje tuachane naye.
Tusajili Creative mid moja hata yule jamaa wa lazio siyo mbaya.
Tusajili winger ya kulia moja. Gnabry.
Uza yule muarabu koko basi tunatulia tunasubiri kuwanyoosha nyumbu.
Mbona tukicheza back 4 tunakuwa threat sana.
Hivi mnaikumbuka ile match ya Liver tuliyotoka 2-2 au ile match na madrid Santiago Bernabeu?
Back 3 ni uoga sometimes.
Tuliwahi kuwachukua Pedro, Fabregas wakiwa mabench warmer Barca walipivyokuja tulibeba EPL. Hebu niambie benchwarmer gani mbovu ana double figure statistically?Chelasea wameshapigwa na kitu kizito chenye ncha kali, Sterling wamepigwa changa, Jamaa hamna kitu mule.
Yani unachukua mchezaji wa Bench kwenye timu unayotaka kushindana nayo halafu utegemee kushindana nayo.
Waliomsajili wana akili zaidi yako wewe halafu Napoli alikua anacheza peke ake?Sasa huyo koulibaly atawasaidia nini kashindwa wasaidia Napoli hadi europa inatolewa kila siku[emoji28][emoji28]
Hizo habari sio za kweli halafu pamoja na hivyo tayari tuna Sterling ambaye naturally ni LW tuongeze tena na Leao ambaye naye ni LW hata kama TT atafanya rotation bado hatuna haja ya kufanya huo usajili otherwise labda tuwauze Pulisic na Ziyech kwa pamojaChelsea inamfukuzia Rafael Leao wa AC Mlan, bei yake Euro 90-100m
Last year Chalobah alibakia chelsea kupambania namba na majina kama Christesen, Thiago Silver na Rudiger. Hakuleta maneno maneno.Ndio shida ya madogo wa academy hii, wanadhan wakitoka loan wanadeserve first 11 ya moja kwa moja, stay n fight kama ukionyesha uko sawa kuzidi waliopo nafasi utapata
O remain na uwe unapata game kama anazopata chalobah