Ridomil gold
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 2,787
- 2,233
Amemua ssa awe huru nahis tutapata ubora wake ssa toka ssaMi nilivyoelewa negotiations zake alikuwa anafanya mtu mwingine on his behalf sasa anataka kufanya mwenyewe ili awe na control na future yake. What is wrong with that?
Kuna kitu atakuwa kanusa! Kwangu mimi bado naamini Ziyech akiwa na CFC itakuwa far better ukiangalia chances zetu za kusajili better replacement ni dim. Sterling itapendeza akikaa kwenye ushambuliaji kati pale na sio Winga. Magic pass za Ziyech, counter attacks za Werner na rebound za mashuti ya James na Mount naona kabisa akipata magoli mengi. Lakini pia akicheza na Pulisic, huwa ana dribling fulani hivi ila sema kufunga ndio inakuwa shida. Raheem akiwa clinical atafunga sana. Ndicho tunachokikosa kwa sasa pale mbele, clinical striking force!Amemua ssa awe huru nahis tutapata ubora wake ssa toka ssa
Wazungu nao! Haya mafua wameyakuza mno. Kwa athlete hayapaswi kuwa ni tatizo hata!Kante na RLC Wana coronavirus
Fabrigas hajawahi kusema hivi, Kwanza aliomba kurud arsenal akagomewaTushazoea hizi mifano iko mingi, waliowahi sema hivi mwisho wa siku walijiunga
Fabrigas etc
Hawana corona bali hawajapata chanjo ya corona ndio maana wameshindwq kwenda na tim kwenye usa tourKante na RLC Wana coronavirus
Wendawazimu huu.,Chelsea wanataka kumgeukia Dayot Upecano kule Bayern Munich
Tier 1Chelsea wanataka kumgeukia Dayot Upecano kule Bayern Munich
Huyo kipa alikuwa anawaniwa mpk na real Madrid na hata kabla ya sanctions na umiliki mpya chelsea walikuwa wanahusishwa naye[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wanasajili wamarekani sasa hii team ndiyo basi tena walahi
Kuwa naye ni sifa ya kwanza, kufikia malengo ya kumsajili ni sifa kamiliChelkengeeView attachment 2288334