Na tunalipa ada yote inayotakiwa ya £34mChelsea are in direct contact with Kalidou Koulibaly's agent.
- @FabrizioRomano
Lazima niumie najua ipo siku huyu kiberenge atatufunga aisee ...Yani pep anawauzia Chelsea sterling daaaIla moyo wako unakuuma
🚨 Serge Gnabry would not even consider a move to Chelsea due to his time at Arsenal. [@Plettigoal] #afcUko sawa kwa Serge bado tuko kwenye stage ia "INTERESTED" hadi tufike kwenye bid submited, bid rejected na medical inaweza chukua siku sio chini ya 30. Chelsea ya mwaka huu iko very slow. Sijui hao wachezaji sita tutawasajili madirisha m,awili?
Na wewe unayaamini hayo mawazo ya huyo mwandishi. Yeye Serge anataka kuja Chelsea. Hapo vipi🚨 Serge Gnabry would not even consider a move to Chelsea due to his time at Arsenal. [@Plettigoal] #afc
Lembu upo nyuma ya wakati , Lewandowisk wiki ijayo atakuwa mchezaji wa Barca pamoja na RaphinaBayern Munic yaongeza dau la Lewandowski kutoka Euro mil 50 kwenda mil 70
Mimi sijasema hachukuliwi, nimesema dau la Lewa limepanda tenaLembu upo nyuma ya wakati , Lewandowisk wiki ijayo atakuwa mchezaji wa Barca pamoja na Raphina
Barca ameshaandaa proposal mbili kwa lewa na Raphina na zote zitakubaliwa
Anachosubiria Barca Ni second lever iwe activated wiki hii apate €200m ambayo wamesema wanapeleka yote kwenye usajiri wa Lewa, Raphina, na Kounde,plus Cesar na Alonso.
Kwa lewa €50m+ add ons kwa Raphina €72-75m
Refference
🚨🎖️| Barça believe that Bayern Munich will ACCEPT their new offer for Lewandowski and the player will be able to join the club later this week. [@SkySportDE] #fcblive
🚨🚨🎖| Barcelona are expected to make their FINAL offer of €50M + bonuses to Bayern for Lewandowski in the next few hours. Bayern is willing to sell him for €50-55M. Lewandowski's transfer to Barça is looking more and more LIKELY this week. [@Plettigoal] #fcblive
🚨🚨✅| Raphinha to FC Barcelona is imminent & only one man is to thank for that: Deco, he single-handedly stopped everything with Chelsea to fulfill the player's dream.
@joaquimpiera [🎖️]
🚨🚨✅| FC Barcelona believe that Bayern Munich will ACCEPT their next offer & Robert Lewandowski will join later this week.
@SkySportDE [🎖️]
🚨| FC Barcelona will spend €200M on signings this summer. sport
Huyo MWANDISHI Ni wa ujeruman Sky sport na plettgol Ni wa uhakika kwa habari za Baryen ,Na wewe unayaamini hayo mawazo ya huyo mwandishi. Yeye Serge anataka kuja Chelsea. Hapo vipi
Hata kama anaaminika, yale ni mawazo yake wala hakumuuliza Serge kwamba haji Chelsea kwa vile ni rival wa Arsenal???Huyo MWANDISHI Ni wa ujeruman Sky sport na plettgol Ni wa uhakika kwa habari za Baryen ,
Labda niletee chanzo Cha kuaminika Gnabry anaitaka Chelsea ,
Kama hujui Gnabry mara nyingi alishasema anataman kurudi Tena Arsenal, na amekuwajapo hajifichi amekuwa anavaa jez za arsenal ingawa Ni mchezaji wa Bayern . Arsenal wamekanusha kupitia Fabrizio kuwa hayupo kwenye Target zao,
Florian Ni muandishi wa kuamnika sawa na Christian Falk linapokuja swala la habari za bayern
Wala halijapanda ,vyanzo vya ujeruman vinasema Bayern watapokea €50-55m .Mimi sijasema hachukuliwi, nimesema dau la Lewa limepanda tena
Mbona Tores aligoma kwenda man u akaenda Chelsea Sababu ya man u Ni rival wa LiverpoolHata kama anaaminika, yale ni mawazo yake wala hakumuuliza Serge kwamba haji Chelsea kwa vile ni rival wa Arsenal???
Chelsea si ana makipa watatu? Au Kuna mmoja anauzwa?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wanasajili wamarekani sasa hii team ndiyo basi tena walahi
Dalili zinaonyesha Kepa anaweza ondokaChelsea si ana makipa watatu? Au Kuna mmoja anauzwa?
Kwani Serge ni legend wa Arsenal, who care akija ChelseaHuyo MWANDISHI Ni wa ujeruman Sky sport na plettgol Ni wa uhakika kwa habari za Baryen ,
Labda niletee chanzo Cha kuaminika Gnabry anaitaka Chelsea ,
Kama hujui Gnabry mara nyingi alishasema anataman kurudi Tena Arsenal, na amekuwajapo hajifichi amekuwa anavaa jez za arsenal ingawa Ni mchezaji wa Bayern . Arsenal wamekanusha kupitia Fabrizio kuwa hayupo kwenye Target zao,
Florian Ni muandishi wa kuamnika sawa na Christian Falk linapokuja swala la habari za bayern
Cesc Fabregas, Samir Nasri, Gael Clitchy, William Gallas[emoji599] Serge Gnabry would not even consider a move to Chelsea due to his time at Arsenal. [@Plettigoal] #afc
Huyo mchezaji kasajiliwa kama project ya Thibaut courtois kasajiliwa na anatolewa kwa mkopoDalili zinaonyesha Kepa anaweza ondoka