Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,055
- 27,460
[emoji599]De Ligt favours a move to Bayern Munich over Chelsea.Unayempenda kampenda mwengine, huyo mwengine naye ana mwengine
Mwengine naye Kapendwa na mwengine.
Huyo dogo aloimba huu wimbo alitulenga sisi wala hakua anazungumzia mapenzi ya kibaolojia
Muda bado mkuu kuna mwezi mzima hopeful watasort out [emoji23]....Kiukweli binafsi Mikakati ya bwana boehly naielewa Sana hasa kitendo cha kocha kupewa mamlaka ya mchezaji anayemtaka..lkn. Pia kusajili Kwa kufanya analysis na si zile sajili za hype na pesa mingi Tu na kuishia kupigwa ..maana Chelsea tumekuwa wahanga wakubwa na sajili za pesa mingi Afu haziclick[emoji23] kuanzia kina shevchenko...Pamoja ya kuwa mda bado wa usajiri ila huyu bosi anakatisha tamaa sana mm nilikata tamaa mapema baada ya kuona tetesi zimekuwa nyingi halafu hamna action yoyote kila mchezaji tunahusishwa naye mpaka kero
Ukweli tusiwe na matumaini yoyote ya kufanya vizuri msimu ujao kwa hali ilivyo
Usitegemee source ya germany,spain ziseme mchezaj hapendi kucheza tim zao never,[emoji599]De Ligt favours a move to Bayern Munich over Chelsea.
The problem for Bayern Munich against Chelsea is more than £50m+ could be too much for them.
[Florian Plettenberg - Sky Germany]
Hii yako imetoka kwenye page inayojiita instatroll football. Na umeileta kama referencePage yenyewe inajieleza mlengo wake halafu unatupostia humu. Hakuna habari kama hiyoView attachment 2280595
Kwanini majibu hayajatoka?Mpka sasa hiv Deco ajatoa jibu, Inshort media za barce ndio zinafanya influence, kama tetes zingekuwa true mda mrefu tungekuwa tushawithdraw bid yeo,
Jiulize why Deco/Raphinha till now hawajatoa majibu?
We all know media za Barce zinataka tuwithdraw our bid,ili barce wapate urais wa kunegotiate, thus wanatumia kigezo cha Raphinha wants to join Barce, etc
Yote mbili mkuu!Issue ya Ronaldo naona imekaaa kibiashara zaidi na sikwa ajili ya project,
Kushuka kiwango linazungumzwa kwa mapana yake.Aaah sio kweli mkuu huyohuyo Ronaldo alikuwa amezungukwa na kina Sancho, Rashid , Fred, mctominay, Bruno aliyedrop form ...VP alishuka kiwango?...kiwango kitakuwepo Tu Mbona hazard hakushuka kiwango kipindi tupo n kina Drinkwater bakayoko giroud
Kila negosiationn ikifika mbali mchezaji anatukataa, tumelaaniwa nini?[emoji599]De Ligt favours a move to Bayern Munich over Chelsea.
The problem for Bayern Munich against Chelsea is more than £50m+ could be too much for them.
[Florian Plettenberg - Sky Germany]
Huyo anaitaka barvmca wala sio kificho kwa maana bid ya chelsea ipo mezami toka wiki iliyopita tena ikiwa nzuri zaisi ya barca. Why hajaamua kuikubali ?? Anaipenda barca tumuacheMpka sasa hiv Deco ajatoa jibu, Inshort media za barce ndio zinafanya influence, kama tetes zingekuwa true mda mrefu tungekuwa tushawithdraw bid yeo,
Jiulize why Deco/Raphinha till now hawajatoa majibu?
We all know media za Barce zinataka tuwithdraw our bid,ili barce wapate urais wa kunegotiate, thus wanatumia kigezo cha Raphinha wants to join Barce, etc
Huyo boss sio mtu wa kumtilia mashaka anaendesha timu kule USA kwenye kikapu na ipo vzr katika kusajili nk. Sasa hiyo barca yenye madeni aende tu. Siku mishahara ikikatwa atajua hajuiSio kwamba wachezaji hao hapendi Chelsea sababu nikwamba hamuamini mliki mpya anaweza akauua vipaji vyao kwa kutonunua wachezaji wa viwango wengine vyakwao vikafa bure, Chelsea ikawa average team kama Arsenal au Tottenham
Todd anahitaji akaoge maji ya chumvi tena Coco pale. Siku za nyuma nilisema kwa nini Cech, Marina na Buck wanaondoka kwa pamoja tena haraka nikasema hii sio ishara nzuri ni kheri wange extend hata miezi mitatu mpaka sita ili tupite salama hiki kipindi.Kila negosiationn ikifika mbali mchezaji anatukataa, tumelaaniwa nini?
Kwa hao waliopo syo wachezaji? Watacheza hao hao walioppTodd anahitaji akaoge maji ya chumvi tena Coco pale. Siku za nyuma nilisema kwa nini Cech, Marina na Buck wanaondoka kwa pamoja tena haraka nikasema hii sio ishara nzuri ni kheri wange extend hata miezi mitatu mpaka sita ili tupite salama hiki kipindi.
Kinachoendelea huyu jamaa hana mvuto sokoni hajui ni kwa namna gani atawashawishi wachezaji lakini kama hii kazi ingefanywa na Marina tungesha sign hata mchezaji mmoja mpaka sasa.
Yan unamaanisha hatutakiwi kusajili sio?Kwa hao waliopo syo wachezaji? Watacheza hao hao waliopp
Bakayoko msimu WA pili WA Conte alicheza Sana kuchukua nafasi ya maticKushuka kiwango linazungumzwa kwa mapana yake.
Kuchuka kiwango ni pamoja na kutopata matokeo mazuri
Hayo matakataka uliyotaja ya akina Drinking water na Bakayoko yalicheza?
Yangepangwa yote kwa pamoja kama tungenusa hata top 10!
Sancho, Ronaldo, Bruno usimlinganishe na Rashford, Fred, Luke Shaw, Mctominay, Eric Bailly + hayo matakataka mengine yaliyobaki, ndio maana Man u imekuwa na hayo matokeo mabaya.