Imagine wenye timu yetu tumepoa tu. Ila wewe matakataka arsenyeto ndio unapiga makelele humu.[emoji599][emoji599]| JUST IN: Raphinha to FC Barcelona is 95% DONE.
@gerardromero [[emoji2422]]
[emoji779]️He continues to say what he did yesterday, ‘only one small detail is missing for the operation to be closed’. #Transfers [emoji1054]
Wewe ndio naonaga una akili , Bila kusajiri mabeeki ,mtakuja kutafutana .[emoji117] Kiufupi THE BLUES tumechanganyikiwa kwenye usajili mpaka sasa.
[emoji117] Toddy Boehly angesajili kwanza mabeki ambao ni matakwa ya msingi kule mbele aachane nako kwa dirisha hili.
[emoji117] Nilitegemea mpaka sasa angalau tuwe tumeshasajili beki mmoja (CB).
Hivi hivi ndio mashabiki wa Arse8 wanaanzaga kuhamia kwenye timu zingineWewe ndio naonaga una akili , Bila kusajiri mabeeki ,mtakuja kutafutana .
Halafu Ake na De ligt ndio anakomaa nao 😅
Make Ni cheke kwanza🤣🤣
Hivi. Si Bora mumrudishe kort Zouma ,
Ukikurupuka utajikjta unanunua kwa bei kubwa mchezaj wa kawaida, hasa hasa mabeki[emoji117] Kiufupi THE BLUES tumechanganyikiwa kwenye usajili mpaka sasa.
[emoji117] Toddy Boehly angesajili kwanza mabeki ambao ni matakwa ya msingi kule mbele aachane nako kwa dirisha hili.
[emoji117] Nilitegemea mpaka sasa angalau tuwe tumeshasajili beki mmoja (CB).
Ila chelsea tukae mbele kabsaNext season
- Man city
- Liverpool
- Chelsea
- Tottenham
- Newcastle
- Manure
- Westham
- Leicester city
- Arse8
Wanachokataa Leeds ni hicho hapa juu, hawataki installement au kama ni instalment iwe na guarantee kubwaThe La Liga club want to pay any in instalment however, Leeds want a higher guaranteed fee because of this. Barca's offer is still currently below Chelsea's £60m fee.
Mwakani ubingwa hakuna tena kabisa kwa sababu kuu tano hapa chiniIla chelsea tukae mbele kabsa
Kweli. Japo lolote linaweza kutokea.Mwakani ubingwa hakuna tena kabisa kwa sababu kuu tano hapa chini
Niambie hapo tutatoboa kweli
- Msimu wa kwanza kwa Uongozi mpya
- Wataalamu wameachia ngazi
- Wachezaji muhimu wamehama
- Overhauling ndio inafanywa sasa
- Usajili unaenda taratibu hata tukisajili wazuri sio crema, hao wameshachukuliwa na wengine kwenye timu zao wameshapewa mikataba minono, Lewandowski ndie kabakia pekee na haitaki Chelsea
Mimi naamini kuitetea nafasi ya tatu huo uwezo tunao ila kupanda juu kuwafikia Liver na Man city labda msimu mwingine sio huu
Ikitotokea itaitwa muujizaKweli. Japo lolote linaweza kutokea.
Ndio formula uliyotumia kuhamia chelshit?[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi hivi ndio mashabiki wa Arse8 wanaanzaga kuhamia kwenye timu zingine
Angalau zoezi kama hili linaweza kuchukua misimu miwili hadi mitatu
- Wanaanza kusifia shabiki mmoja mmoja halafu
- Mchezaji mmoja mmoja halafu
- Kocha na uongozi mmoja mmja halafu
- Uongozi mzima na kocha halafu
- Timu nzima
Kitakachoharibu hiyo move ni moja tu Arsenal wakianza kufungako tumagoli tuchache tuchache hasa kwenye BIG team
Ngoja ligi ianze halafu Arsenal wamfunge Chelsea hata goli moja bila, mashabiki wote wa Arsenal wanarudi nyumbani
Ngoja Arsenal wafungwe mfululizo kwa misimu mitatu
Watakaobaki ni wachache sana
Hapa nina maanisha
Mahaba kidogokidogo ndio inazaa MAPENZI halisi
Nyie Arse88 nani kawaroga, mbn kama mnalazimisha chelsea walimtakaga jesus? Kweli chelsea wamtake akatae aende Ass anal. akacheze carabao. Mchezaji akija arsenal jua hakuna timu kubwa iliyomtaka. Man u tu ikiingiza pua tu kwnye usajili wenu kijasho cha nyoro kinawatoka, sembuse chelsea.Kiufupi chelsea wanakurupuka sana ,issue ya jesus oia walimtaka wakaoigwa za uso....
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Mbele aachane Napo tena...dili la sterling litakamilika[emoji117] Kiufupi THE BLUES tumechanganyikiwa kwenye usajili mpaka sasa.
[emoji117] Toddy Boehly angesajili kwanza mabeki ambao ni matakwa ya msingi kule mbele aachane nako kwa dirisha hili.
[emoji117] Nilitegemea mpaka sasa angalau tuwe tumeshasajili beki mmoja (CB).