Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,217
- 27,049
Pale chelsea kuna mashoga piaMashoga na shoga zao yameshauteka mpira.
Westham wanataka dau kubwa, hizo za kwamba Rice not for sale ni janja tu. Declan rice ni DM mzuri sana ila replacement ya Kante haitatokea kwenye karne hii, yale mapafu, kuzunguka uwanja mzima, kuusoma mpira na kufanya strategic recoveries utapata wapi mchezaji mwenye hizo qualities?Alonso anataka kurudi Spain,
Tetea zinasema 6 player watasajiliwa
2CB
2 fW/Rw/Lw
2 Mid/Wingback
Usajili wa midfielder utategeme na Kante/Jorginho maana mikataba yao inakaribia kuisha,
Dm anayezungumziwa sana ni Declan Rice, sioni kama west ham wanaweza muuza sasa
Analipwa paundi 100,000 kwa wiki, Kwa Ziyech lengo sio vitabu, mchezaji hayuko happy Chelsea kwa sababu ya muda mdogo anaopewa kucheza, Balance ya vitabu inafanywa kwa wachezaji wenye kipato kikubwa na hawana faida tena kwa timu. Barcelona walimruhusu Messi aondoke ili wabalance vitabu vyao, Euro mil 26 kwa mwaka ni mapesa mengi hayoMbona Man city hakuna hiki kitu wakati wanawacheza wanalipwa hela kubwa tu kuliko hata mshahara wa Ziyech hivi unajua Ziyech analipwaje?
Kumbe ndio maana walikuwa wanategea, bora kuchelewa na kufanya vizuri. Sasa Chelsea wakimsajili Raphina, Sterling na Dembele lazima wachezaji watatu kati ya hawa wasepe; Werner, Pulisic, Ziyech na Odoi aidha kwa mkopo au kuuzwa. Kama tutawasajili viungo wawili, Barcley, RLC nao wataondoka au kuuzwa au mkopo. Kama Chelsea bado wanamfukuzia Raheem na huku wamesubmit bid kwa Demebele na wote ni winger wa upande mmoja hata kama ni wa other side mbona tutakuwa na mawinger wengi?That was quick View attachment 2276052
Ake no, Kaulibally for short term, Delight na Kounde YESKalidou Koulibaly, one more name in the list for Chelsea as they keep searching for two centre backs. He’s out of. contract with Napoli in 2023. [emoji838] #CFC
Been told there are conversations also on Koulibaly alongside de Ligt, Aké, Koundé. Focus on Raphinha, and then centre backs.
[emoji821] Fabrizio Romano - Sky Italia
1 yr ndio ilikuwa imebaki huku kukiwa na option ya kuongeza mwaka 1Ila bado three wataendelea kumbe walikuwa na mkataba wa miaka miwili hadi msimu wa kiangazi wa 2023 na wameshatangaza kwamba wanaondoa suspension yao ili waendelee kuwa main sponsor
Alonso na Emerson ni out of TT plan hata wasipouzwa, Alonso likely atahamia Barca, Emerson likely ataenda mkopo Lazio, Sarri anamtakaMechi za mwisho mwisho Alonso kakichafua Sana kumbuka game ya Liverpool alichofanya na pia kuna emerson, hatuwezi tukasajili wachezaji kwenye maeneo ambayo tunaunafuu wakati tuna mapengo maeneo mengi unapaswa kulijua Hili kwanza kule upande wa James hatuna mtu kabisa tunabidi kuongeza kiungo jorginho na kanye wameanza kuchoka, kuna nafasi za mabeki wawili na winga wa kulia striker pale Kati sio Sana kama tukiwaamini Kai na broja watatupa magoals
Mkuu swala la mdhamini lishakaa sawa siku nyingi tu,Mkuu ninacho amini kama kila kitu kipo tayari hakiwezi kufichwa kama bangi au isubirie wakati fulani ndio zitangazwe nasema hivyo kwa sababu za kibiashara. Mimi nahisi swala la mdhamini bado halijakaa sawa maybe ndio maana bado hazijatoka rasmi, nyingi zinazotoka ni MAKISIO ya zitakavyokua.
Okay basi tuendelee kusubiri tuMkuu swala la mdhamini lishakaa sawa siku nyingi tu, View attachment 2276341
.Raphinha (25) nina imani kama tutafanikiwa kumsajili kuna kitu tutaongezapale mbele hasa kuisukuma timu mbele kimashambulizi. Ana kasi, ana dribble, hata physically yuko vizuri sana.
Raphina ni aggressive, nina imani wakicheza mbeleRaphinha (25) nina imani kama tutafanikiwa kumsajili kuna kitu tutaongezapale mbele hasa kuisukuma timu mbele kimashambulizi. Ana kasi, ana dribble, hata physically yuko vizuri sana.