Hata kama ni mkopo mzee Board yetu ina matahira haiwezekan mchezaji umnunue kwa £90m alaf umtoe kwa mkopo msimu mzima kwa €10m tena yenye masharti kibaoHuo ni mkopo sio kununua, tuliza projo chini elewa kwanza
Hawa Inter wana tabia mbaya sana. Yani wamewaibia £100 mil halafu wanataka wawarudishie €7 mil..
Hawa jamaa ni wahuni sana. Hii ndio maana halisi ya biashara[emoji16].
Kunywa maji kwanza. Tuliza munkari. Kubali umepigwa!😆Huo ni mkopo sio kununua, tuliza projo chini elewa kwanza
Mimi naona Dembele ataendana sana na Havertz, Gallagher, Rahim Sterling, Werne, Odoi na Mount bila kumsahau BrojaSo Tuchel anamtaka Sterling, Naona hapa tunacheza kama Kamali
Ngoja tuone
Lukaku na Tuchel hawana mahusiano mazuri, Ni bora uwahi kutoa kirusi mapema kabla hakijawaambukiza wengineHata kama ni mkopo mzee Board yetu ina matahira haiwezekan mchezaji umnunue kwa £90m alaf umtoe kwa mkopo msimu mzima kwa €10m tena yenye masharti kibao
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Todd Bahili (Boehl) hili jina tu la huyo tajiri mwenyewe linasadifu ni mtu wa aina gani.Kwa huyu tajili masikini tulipigwa nilijua tu wa marikani wako sana with quick profits sio longterm investment.......hapo hawezi kununua mchezaji wa $100m, Chelsea itakua ya kupambania nafasi ya nne Uefa tu.
Lukaku hayuko professional, hata kwa kocha mwingine angebehave kama toto jinga, unasajiliwa kwenye timu kubwa kama Chelsea kwa dau kubwa halafu unakuja kuleta usanii hapa, hata positivity kwa timu hakuonyesha, unaenda kuropoka kwenye media kwamba uunataka kurudi milan. Ili mchezaji uweze kucheza vizuri kwanza lazima uonyeshe mapenzi na hiyo timu. Wacha akafie kule na kule akishindwa itabidi tu aende Marekani au ChinaLukaku na Tuchel hawana mahusiano mazuri, Ni bora uwahi kutoa kirusi mapema kabla hakijawaambukiza wengine
Halaf unadhan tajir angekuwa Roman unahis Lukaku angeondoka, hapana ,Tuchel angelazimishwa aendelee kumtumia hata kama haelewani na mwisho wa siku angepay price kwa kufukuzwa
huyu boya tumepigwaa yaani tunakuwa kama arsenal too much tetesi hakuna deal hata mojaHuyu mmiliki masikini hana pesa ya ziada pesa aliotumia ni ya sacco ni ya wa miliki wengi anategemea kuuza baadhi ya wachazaji wa Chelsea ndo anunue wapya, alikingiwa kifua na western media kwasbb ni Marikani ili kugawana mali ya Mrusi, ila Epl bila wachazaji wapya wenye majina huwezi kutoboa hamna cha bahati kama la liga au budasliga ushindani ni mkali pale sio vipaji ila majina.
huyu fala hamna kitu hapa tumepigwa kisogoniNdugu zangu Chelsea naona kwa style hii ya huyu mmiliki mpya naona kabisa mtakavyo anza kuwa na bajeti kali kama Arsenal.
View attachment 2265169
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Todd Bahili (Boehl) hili jina tu la huyo tajiri mwenyewe linasadifu ni mtu wa aina gani.
Boss wenu ni mpare WA milimani tu bahili hatari [emoji28][emoji28]Kuna habari gani mpya?
Kweli kila kitabu na zama zake, leo hii Chelsea ambao tulikuwa tunalinganishwa na Real Madrid kwa sajili hatari tumegeuka ghafla kuwa upuuzi mtupu kuliko hata Arse8?Boss wenu ni mpare WA milimani tu bahili hatari [emoji28][emoji28]
Tuchel: I want to build strong team
Toddy Boehly: who will give u that money [emoji28][emoji28]