Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 8,358
- 16,424
Hapa ndipo ile kauli ya "life is really not fair" inapothibitika kupitia malipo ya mshahara mnono wa Lukaku na Werner kuliko wanachozalisha katika klabu ya Chelsea [emoji16]Edouard Mendy - £52,000-a-week
Reece James - £58,000-a-week
Mason Mount - £88,000-a-week
Timo Werner - £270,000-a-week
Romelu Lukaku - £325,000 a week
Msimu ujao tutakuwa wanaguchana marinda tu kuna wakati namchukia PUTIN Kwa kuanzisha vurugu zake ndio maaana tumepata matajiri matapel na ya man u na arsenalFun enough sisi tunasubiri Rice wa 100£ siku hizi scouts na board ni zero brain. Last season tulisema kuhusu tchouammeni mpaka bei yake ikawa haishikiki. Hapa tot wamelamba dume tena kwa bei chee kabisa
Nakuambia utajua ssa tumepata mabos wa hovyo kabisaMbona wachezaji wengi dirisha hili wanaondoka, wengine hata tusiokuwa tunawategemea kama wataondoka.? Au mm ndiye mgeni wa haya mambo.?
Umeona vyema. Usajili unaowekewa maanani ni wa Dembele, Kounde na replacement ya Kepa. Maeneo muhimu kama ya kiungo mpikaji wa magoli na agressive striker au forward hakuna kabisa. Sijui usajili wa akina werner, Lukaku, Ziyech umewapa woga wa kukurupuka. Waliobaki wazuri kwa mbele ni Nkunku. Kiungo mpikaji wa magoli hawapo sijui tunaenda wapi. Labda watakaotubakiza nafasi ya nne ni hao akina Arsenal na Manure maana nao wameishiwa sera kama sisiKulingana na sajili zinazofanywa katika ligi pendwa ya EPL mpaka sasa nafasi ya kwanza ya pili na tatu tayari zimeshajazwa na Man City, Liver na Tot kilichobaki sisi tunapambania nafasi ya 4 kushuka chini.
Tunahitaji matured CB hata mmoja, kiungo mzalishaji na aggressive forward. Ukiangalia sokoni kwa hali ilivyo kumchukua Kounde sasa ivi ni very risk bora angekuwepo Rudiger ndio wacheze wote ni afadhali hata Kimpembe. Ukija kwa foward karibia wote wazuri washakua occupied.
Msimu ujao kama tusipomaliza nafasi ya sita na kutolewa group stage. Sijui
Kwenye kiungo kwa namna fulani nakua na imani Gallagher anaweza tusaidia ila nawaza ni vipi ataweza kupata nafasi mbele ya kina Mount, RLC, Kova? Kwenye ushambuliaji kama tungepata Lewandowski ile mashine ni balaa ila ndio ivyo tena tusubiri kuona wakina Broja watatuletea nini. Halafu pia usajili wa Kounde mi yule dogo simuamini amini nahisi atakuja kuflop vibaya mnoUmeona vyema. Usajili unaowekewa maanani ni wa Dembele, Kounde na replacement ya Kepa. Maeneo muhimu kama ya koungo mpikaji wa magoli na agressive striker au forward hakuna ka isa. Sijui usajili wa akina werner, Luksku, Ziyech umewapa uoga wa kukurupuka. Waliobaki wazuri kwa mbele ni Nkunku. Kiungo mpikaji wa magoli hawapo sijui tunaenda wapi. Labda watakaotubakiza nafasi ya nne ni hao akina Arsenal na Manure maana nao wameisjiwa sera kama sisi
Broja anayo safari ndefu sana kuja kuwa agressive player. Tunahitaji Kylian Mbape, Lewandowski au Haaland caliberKwenye kiungo kwa namna fulani nakua na imani Gallagher anaweza tusaidia ila nawaza ni vipi ataweza kupata nafasi mbele ya kina Mount, RLC, Kova? Kwenye ushambuliaji kama tungepata Lewandowski ile mashine ni balaa ila ndio ivyo tena tusubiri kuona wakina Broja watatuletea nini. Halafu pia usajili wa Kounde mi yule dogo simuamini amini nahisi atakuja kuflop vibaya mno
Hivi nkunku nae ni wakuuzwa hiyo bei?Broja anayo safari ndefu sana kuja kuwa agressive player. Tunahitaji Kylian Mbape, Lewandowski au Haaland caliber
Kwa sasa hata tukisajili tutakuwa tum epanua gap dhidi ya Mancity na Liverpool. No where tutawakuta hao
Liverpool wana Salah, wana Nunez inatosha, City wana Haaland, Sisi tuna Werner, Havertz, Lukaku. Tuanze kuishi kwa matumaini msimu ujao. Yule Nkunku anafaa sana ila wameshamdecorate na price tag ya Euro mil 100, hatutampata labda mwakani
Lukaku mtoe hapo maana soon anaenda Intermilan [emoji1787]Broja anayo safari ndefu sana kuja kuwa agressive player. Tunahitaji Kylian Mbape, Lewandowski au Haaland caliber
Kwa sasa hata tukisajili tutakuwa tum epanua gap dhidi ya Mancity na Liverpool. No where tutawakuta hao
Liverpool wana Salah, wana Nunez inatosha, City wana Haaland, Sisi tuna Werner, Havertz, Lukaku. Tuanze kuishi kwa matumaini msimu ujao. Yule Nkunku anafaa sana ila wameshamdecorate na price tag ya Euro mil 100, hatutampata labda mwakani
Mpaka aende kwa sasa bado ni mchezaji wetuLukaku mtoe hapo maana soon anaenda Intermilan [emoji1787]
Chelsea timu ambayo haiwez kuamini vijanGavi Barcelona wanampa mkataba wenye buy clause ya 1B, hiyo imekaaje ila nasikia wamerekebisha hadi mil 100
Huyo dogo kwa miaka 17 tu ameshakuwa ni gumzo la mjini na anaugomea huo mkataba wa Barcelona na PEP anamtaka
Huyu tungempata katika umri mdogo ameshaonyesha dalili za kuwa kiungo mpikaji wa magoli kweli kweli
Katika hao uliowataja hakuna hata mmoja tuliyenae anawakaribia. Muhimu tukomae na waliopo TT awamezeshe ukali walau watuvushe kipindi hiki kigumu. Tukomae tusajili beki ya maana tofauti na Kounde huyu mimi simuamini kabisaBroja anayo safari ndefu sana kuja kuwa agressive player. Tunahitaji Kylian Mbape, Lewandowski au Haaland caliber
Kwa sasa hata tukisajili tutakuwa tum epanua gap dhidi ya Mancity na Liverpool. No where tutawakuta hao
Liverpool wana Salah, wana Nunez inatosha, City wana Haaland, Sisi tuna Werner, Havertz, Lukaku. Tuanze kuishi kwa matumaini msimu ujao. Yule Nkunku anafaa sana ila wameshamdecorate na price tag ya Euro mil 100, hatutampata labda mwakani
Mason Mount, Reece James, Chilwell, Chalobah, ChristensenChelsea timu ambayo haiwez kuamini vijan