Ndio ukweli huo chelsea ina wachezaji wazuri ila ni aina ya makocha na mifumo yao ndio tatizo inayofanya wachezaji kuwa flopSikuamini yale mauzo ya akina Tomori kuwapeleka kwa mkopo akina Gilmour et al. Siamini kama tuna timu mbovu. Tuna wachezaji wazuri tu. Tunahitaji ku cover some gaps ili kuwawezesha hawa tulio nao waweze kuwika. Andrey Shevchenko aliwika Italy kwa sababu alikuwa na watu kama Andrea Pirlo. Akaja Chelsea akakosa watu kama Pirlo akaonekana ka flop.
Hawa wachezaji ambao leo wanapigwa madongo wanaweza kuwashangaza wengi msimu ujao kama gaps tulizo nazo zitakuwa covered.
Tusubiri tuone!
Tofauti yake ni ipi angalau kwa miaka mitatu iliyopita[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umebadilika tena Mzee si umesema huoni dembele akiwazidi hao uliowataja kwamba pulisic, Werner, sijui n odoi... Stats za dembele zimeshatumwa na mdau hapo
Hao wanajulikana na timu za Liver, Real Madrid, PSG ndio wanaowaona, Chelsea tunasajili kwa mhemko kama wa ManureEmbu tupe list ya world class player walio sokoni chelsea inaweza kuwapata maana hawa wachezaji tuliokuwa nao ambao mnaona hawafai tukiwauza kwengine basi ni mwiba kwetu
Tulia, ndo kwanza dirisha la usajili lina siku 12 nadhani, mambo yatakaa sawa.Mi nasikia tetesi kila siku mara jesus huku sterling sijui dembele halafu hamna action yoyote hivi huyu Todd yupo serious kweli na timu yetu ukizingatia wachezaji wetu muhimu wameondoka free na hakuna replacement yoyote hadi now
Naanza kuwa na wasiwasi na huyu tajiri hawa wamarekani wapigaji sio bure maana wenzetu wanaimarisha sehemu muhimu sie tumejawa na tetesi tu
Halafu mwisho September.Tulia, ndo kwanza dirisha la usajili lina siku 12 nadhani, mambo yatakaa sawa.
Kulingana na taarifa zilizopo ataendelea kubaki kwenye hiyo timu kwa mkopo wa mwaka/msimu mmoja.Hongereni chelsea [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2258775
Chelsea siku zote naona wapo slow Sana kwenye usajili hata baadhi ya misimu ya nyuma chini ya umiliki WA Roman abrahamovic Mwendo umekuwa hvyohvyo ...angalau msimu ule WA pili wa lampard ndo Niliona Chelsea walikuwa fast kwenye usajili....kuna misimu tunakamilisha sajili dakika z mwsho km ule WA kepa na kovacic kuja Kwa mkopo...Mi nasikia tetesi kila siku mara jesus huku sterling sijui dembele halafu hamna action yoyote hivi huyu Todd yupo serious kweli na timu yetu ukizingatia wachezaji wetu muhimu wameondoka free na hakuna replacement yoyote hadi now
Naanza kuwa na wasiwasi na huyu tajiri hawa wamarekani wapigaji sio bure maana wenzetu wanaimarisha sehemu muhimu sie tumejawa na tetesi tu
Usajil ufanyike mapema ila kocha anapoanza pre season anapanga mipango yake vizur, wachezaji wanakuja wanakuta ligi imeeshaanza tayrChelsea siku zote naona wapo slow Sana kwenye usajili hata baadhi ya misimu ya nyuma chini ya umiliki WA Roman abrahamovic Mwendo umekuwa hvyohvyo ...angalau msimu ule WA pili wa lampard ndo Niliona Chelsea walikuwa fast kwenye usajili....kuna misimu tunakamilisha sajili dakika z mwsho km ule WA kepa na kovacic kuja Kwa mkopo...
Halafu wakienda slow wanaishia kuchagua koromaUsajil ufanyike mapema ila kocha anapoanza pre season anapanga mipango yake vizur, wachezaji wanakuja wanakuta ligi imeeshaanza tayr
Thery are doing something but very slow, wachezaji wawe tayari mapema ili wote washiriki pre-season
Inakatisha tamaa kwa hali ilivyoThery are doing something but very slow, wachezaji wawe tayari mapema ili wote washiriki pre-season
Fun enough sisi tunasubiri Rice wa 100£ siku hizi scouts na board ni zero brain. Last season tulisema kuhusu tchouammeni mpaka bei yake ikawa haishikiki. Hapa tot wamelamba dume tena kwa bei chee kabisaNaona TOT wapo serious sanaView attachment 2260280