[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umebadilika tena Mzee si umesema huoni dembele akiwazidi hao uliowataja kwamba pulisic, Werner, sijui n odoi... Stats za dembele zimeshatumwa na mdau hapoLeta stats za Dembe. Walewale sikusema nani lamzidi nani do not misintepret my comment
Angalia na bajeti iliyopo Mzee achana na world-class sahv mnawasajili Kwa pesa nyingi cjui kina Nunez Afu wanakuja kuflop mnaanza upya...kwasahv lzm itumike asilimia kubwa ya fedha za usajili kucover nafasi za mabeki tuliowapoteza...lkn pia maybe na backups z wingbacks na central midfielders... Dili la kumpata dembele tena for free naona sio mbaya...huku kwingine fedha zinazopatikana maybe baada ya mauzo ya kina ziyech n Werner ambao inasemekana wamewekwa sokoni zitatumika kutafuta attackers...we huyo sterling unaomsema ameshindikana timu nyingine Labda nikuulize je unao wingers wenye #s z stats nzuri km yeye?.. huyu sterling kuna msimu alimaliza pale city as a top scorer wao akiwa na goli 20 ...wewe attackers wako kina Werner wanamaliza msimu na goli 5 cjui 6...anyway pengine akiwa city alikuwa amezungukwa na wachezaji wazuri lkn Kwa yeye ambaye n premier League proven sio mbaya tukianza naye ktk project ya timu mpya na tukiangalia namna tunavyoweza kucover nafsi za kuwafikia liver na city .......Chukua stats za misimu mitatu
Wale wale sioni ujasiri wa kusema huyu bora kuliko yule
Tusijitoe ufahamu
Kumchukua Dembele ni gamble kama tulivyofanya kwa werner na Ziyech na wengineo. We are repeating the same misakes. Badala ya kwenda kuwachukua world class player tunaenda kuchukua mifupa ilishindikana mancity, barcelona nk
Changamoto ya Dembele yeye ni winga na sisi tunawatumia wingbacks zaidi
Pili tukimchukus dembele lazima tumkose conor na pulusic au werner
Sioni Dembele akiwazidi hao niliowataja
Richardson ni Mop ulaya dogo anatabia za hovyo sana kama sio professional playerRicharlson ni homa ya jiji UK katika umaliziaji mzuri na hata mashuti ya mbali pia huonekana.
Acha kuiga bongo za wengineYaani Werner na Pulisic wanamzidi uwezo Dembele? Nadhani unatania
Inamaana yuko moto wakati huu katika ubora wa nafasi anayochezea mpira wa miguu.Bado sijakuelewa unaposema ni homa ya jiji
Kwani world class players wanauzwa bei gani mkubwa?Angalia na bajeti iliyopo Mzee achana na world-class sahv mnawasajili Kwa pesa nyingi cjui kina Nunez Afu wanakuja kuflop mnaanza upya...kwasahv lzm itumike asilimia kubwa ya fedha za usajili kucover nafasi za mabeki tuliowapoteza...lkn pia maybe na backups z wingbacks na central midfielders... Dili la kumpata dembele tena for free naona sio mbaya...huku kwingine fedha zinazopatikana maybe baada ya mauzo ya kina ziyech n Werner ambao inasemekana wamewekwa sokoni zitatumika kutafuta attackers...we huyo sterling unaomsema ameshindikana timu nyingine Labda nikuulize je unao wingers wenye #s z stats nzuri km yeye?.. huyu sterling kuna msimu alimaliza pale city as a top scorer wao akiwa na goli 20 ...wewe attackers wako kina Werner wanamaliza msimu na goli 5 cjui 6...anyway pengine akiwa city alikuwa amezungukwa na wachezaji wazuri lkn Kwa yeye ambaye n premier League proven sio mbaya tukianza naye ktk project ya timu mpya na tukiangalia namna tunavyoweza kucover nafsi za kuwafikia liver na city .......
Richardson hakuna extra value atakayoileta Chelsea. Atakuja kufanana na hawa tulio nao. Labda tumbahatishe tu. Labda kwenye mfumo mwingine atakomaa zaidiRichardson ni Mop ulaya dogo anatabia za hovyo sana kama sio professional player
Tabia zake hovyo ni zipi? Ebu dadavua hapa tuzijue sote.Richardson ni Mop ulaya dogo anatabia za hovyo sana kama sio professional player
Duuh.. hata Sadio Mane alichukuliwa poa hivi hivi hawakuamini kama anaweza kuwa na form aliyonayo sasa.Richardson hakuna extra value atakayoileta Chelsea. Atakuja kufanana na hawa tulio nao. Labda tumbahatishe tu. Labda kwenye mfumo mwingine atakomaa zaidi
Sikuamini yale mauzo ya akina Tomori kuwapeleka kwa mkopo akina Gilmour et al. Siamini kama tuna timu mbovu. Tuna wachezaji wazuri tu. Tunahitaji ku cover some gaps ili kuwawezesha hawa tulio nao waweze kuwika. Andrey Shevchenko aliwika Italy kwa sababu alikuwa na watu kama Andrea Pirlo. Akaja Chelsea akakosa watu kama Pirlo akaonekana ka flop.Embu tupe list ya world class player walio sokoni chelsea inaweza kuwapata maana hawa wachezaji tuliokuwa nao ambao mnaona hawafai tukiwauza kwengine basi ni mwiba kwetu
Mkuu tatizo Chelsea hawataki kuaddress primary problem. Werner, Lukaku, Havertz hata Tammy aliyeondoka hawana matatizo makubwa sana. Tuna issue pale kiungoni na wide wingers. Mtango kafafanua vizuri. Ondoa werner leta Richardson haitatatua tatizo la msingi. Tumsajili mpishi wa magoli. Sio bishoo kama akina jorg. Kovacic akimpata mkali zaidi yake ili yeye apate mapumziko ya kutosha utamuona ukali wa Lukaku au Havertz au Werner. Lukaku kipekee yuko very dissapointed na upumbavu wa chelsea kwenye build-up. Nafasi ya kufunga ipo mchezaji linajiamulia kipaiza tu na hata hajali. Tafuta clips nyingi zipo na zingine unazifahamu. Tufumue pale kwenye kiungo. Winga-backs au wingers wawe bussy na wafungaji kule mbele wawe bussy na mabeki wa opponents uone kama Chelsea haijabeba makombe mpaka tukinaiDuuh.. hata Sadio Mane alichukuliwa poa hivi hivi hawakuamini kama anaweza kuwa na form aliyonayo sasa.