Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,217
- 27,049
Hio signing ya dembele no waste of money.Wenzetu wananunua akina Nunez sisi tunakomaa na kina Dembele
Changamoto ya Dembele yeye ni winga na sisi tunawatumia wingbacks zaidiHio signing ya dembele no waste of money.
Tuna broja yule pale arudi
Tuna yule dogo wa Crystal palace why tupoteze hela kizembe
Hao madogo wanao uwezo wapampiwe wajiamini wapige mpira wa kiumeni.
Werner huyuhuyu amzidi dembele ? Werner ambaye ana misimu miwili sasa EPL jumla ana goli 10 [emoji23]...aah kuweni seriousChangamoto ya Dembele yeye ni winga na sisi tunawatumia wingbacks zaidi
Pili tukimchukus dembele lazima tumkose conor na pulusic au werner
Sioni Dembele akiwazidi hao niliowataja
Hana maajabu makubwa,,tungemchukua richarlson wa Everton sawaGabriel Jesus ndio habari ya mjini. Fabrizio anadai Chelsea wameanza mazungumzo na Kipara yuko tayari kutupa over Arsenal
Mnasemaje wadau
Pulisic nafasi 20 anafunga 1Werner nafasi 20 anafunga 1
Sterling nafasi 20 anafunga 1
Dembele mzuri kwenye assist kufunga hapana
Bora hata sterling na pengine n kwasababu yupo n creative no. 10 wazuri...kuna msimu alimaliza na goli 20 pale city....Werner nafasi 20 anafunga 1
Sterling nafasi 20 anafunga 1
Dembele mzuri kwenye assist kufunga hapana
Mkuu hebu mpe heshima Dembele. Keshaprove ana uwezo mkubwa sana kinachomuharibia Dembele ni majeruhi ya mara kwa mara tu pia alishawahi kuripotiwa ni mvivu wa mazoezi. Halafu nahisi wengi humu wanamkataa kwa sababu labda wanamfuatilia juu juu tu. Katika hao wachezaji uliowataja hakuna anaemzidi kwa numbers Dembele.Changamoto ya Dembele yeye ni winga na sisi tunawatumia wingbacks zaidi
Pili tukimchukus dembele lazima tumkose conor na pulusic au werner
Sioni Dembele akiwazidi hao niliowataja
[emoji23][emoji23] shangaa na wewe mkuuWerner huyuhuyu amzidi dembele ? Werner ambaye ana misimu miwili sasa EPL jumla ana goli 10 [emoji23]...aah kuweni serious
Sikilizeni hili *****, akimaliza huyu ataanza kumsifia na tammy abraham.Mkuu hebu mpe heshima Dembele. Keshaprove ana uwezo mkubwa sana kinachomuharibia Dembele ni majeruhi ya mara kwa mara tu pia alishawahi kuripotiwa ni mvivu wa mazoezi. Halafu nahisi wengi humu wanamkataa kwa sababu labda wanamfuatilia juu juu tu. Katika hao wachezaji uliowataja hakuna anaemzidi kwa numbers Dembele.
Lakini tukumbuke huyu Dembele alinunuliwa na Tuchel alipokua Dortmund na sasa ivi anakuja Chelsea yawezekana ni kwa sababu ya influence ya kocha TT. Binafsi sima shaka na Dembele pengine tunaweza kuona mabadiliko makubwa ambayo wengi humu wanakataa
Leta stats za Dembe. Walewale sikusema nani lamzidi nani do not misintepret my commentWerner huyuhuyu amzidi dembele ? Werner ambaye ana misimu miwili sasa EPL jumla ana goli 10 [emoji23]...aah kuweni serious
Chukua stats za misimu mitatuWerner nafasi 20 anafunga 1
Sterling nafasi 20 anafunga 1
Dembele mzuri kwenye assist kufunga hapana
Dembele ni mzuri kwa top 4 lakini sio kuclose gap kwa liver na city. Sioni Dembe akiwazidi akina timo, pulisic na Ziyech. Uchezaji wake ni toauti sawa ila sioni added value itakayozidi kwa value za hawa flops wetuMkuu hebu mpe heshima Dembele. Keshaprove ana uwezo mkubwa sana kinachomuharibia Dembele ni majeruhi ya mara kwa mara tu pia alishawahi kuripotiwa ni mvivu wa mazoezi. Halafu nahisi wengi humu wanamkataa kwa sababu labda wanamfuatilia juu juu tu. Katika hao wachezaji uliowataja hakuna anaemzidi kwa numbers Dembele.
Lakini tukumbuke huyu Dembele alinunuliwa na Tuchel alipokua Dortmund na sasa ivi anakuja Chelsea yawezekana ni kwa sababu ya influence ya kocha TT. Binafsi sima shaka na Dembele pengine tunaweza kuona mabadiliko makubwa ambayo wengi humu wanakataa
Embu tupe list ya world class player walio sokoni chelsea inaweza kuwapata maana hawa wachezaji tuliokuwa nao ambao mnaona hawafai tukiwauza kwengine basi ni mwiba kwetuChukua stats za misimu mitatu
Wale wale sioni ujasiri wa kusema huyu bora kuliko yule
Tusijitoe ufahamu
Kumchukua Dembele ni gamble kama tulivyofanya kwa werner na Ziyech na wengineo. We are repeating the same misakes. Badala ya kwenda kuwachukua world class player tunaenda kuchukua mifupa ilishindikana mancity, barcelona nk
Mkuu usajili wowote ni kamari ni sajili vhache zinafanyika ukiwa na uhakika mchezaji lazima ata perform tu. Nani alijua Timo Werner atakua na perfomance mbovu Chelsea kwa zile stats zake akiwa Bundesliga? Dembele ni mzuri sana kinacho msumbua siku zote ni majeruhi tu sijui TT kaona kitu gani kwake mpaka tumefikia hapa.Dembele ni mzuri kwa top 4 lakini sio kuclose gap kwa liver na city. Sioni Dembe akiwazidi akina timo, pulisic na Ziyech. Uchezaji wake ni toauti sawa ila sioni added value itakayozidi kwa value za hawa flops wetu
Richarlson ni homa ya jiji UK katika umaliziaji mzuri na hata mashuti ya mbali pia huonekana.Mkuu usajili wowote ni kamari ni sajili vhache zinafanyika ukiwa na uhakika mchezaji lazima ata perform tu. Nani alijua Timo Werner atakua na perfomance mbovu Chelsea kwa zile stats zake akiwa Bundesliga? Dembele ni mzuri sana kinacho msumbua siku zote ni majeruhi tu sijui TT kaona kitu gani kwake mpaka tumefikia hapa.
Kuna mtu kama Richarlson yule dogo ni mzuri sana sijui kwa nini hawamuoni wakamchukua.
Bado sijakuelewa unaposema ni homa ya jijiRicharlson ni homa ya jiji UK katika umaliziaji mzuri na hata mashuti ya mbali pia huonekana.