Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

0,,10268%7E12160080,00.jpg

Seeking to Destroy...
 
Benteke, he's reminding you of what ya missing!

Mbeleko imewabeba leo. Makosa mawili ya refa yamewabeba. Kwanza, foul ya Ivanovic ilikuwa ya kupewa kadi nyekundu; hakupewa kadi na kisha dakika moja badae anafunga goli la ushindi.
Pili, Terry kanawa live mpira ndani ya penalty box, refa akauchuna!!

Anyway, ni vyema yameonekana live.

Karma is on you now all the way! Watch out!!

Cc: Mentor
 
Last edited by a moderator:
Kweli mcheza kwao hutunzwa, Ivanovic alitakiwa awe amekula red card na Villa wamenyimwa penati ya wazi kabisa baada ya Terry kuunawa mpira ndani ya 18.

Kudos kwa Lambo na hongereni the blues, Lukaku ndio striker pekee mliyenaye kwa sasa, against Man Utd huyo dogo inabidi aanze. Ba uchafu na Torres ushuzi mtupu
 
Mbeleko imewabeba leo. Makosa mawili ya refa yamewabeba. Kwanza, foul ya Ivanovic ilikuwa ya kupewa kadi nyekundu; hakupewa kadi na kisha dakika moja badae anafunga goli la ushindi.
Pili, Terry kanawa live mpira ndani ya penalty box, refa akauchuna!!

Anyway, ni vyema yameonekana live.

Karma is on you now all the way! Watch out!!

Cc: Mentor

Kumbe na wewe umeyaona? Villa walikuwa wanaondoka London na point 6 kama isingekua ukilaza wa bwana Kelvin Friend
 
Last edited by a moderator:
Wamemnyima Benteke Penati,tutaonana OT Jumatatu
 
Mbeleko imewabeba leo. Makosa mawili ya refa yamewabeba. Kwanza, foul ya Ivanovic ilikuwa ya kupewa kadi nyekundu; hakupewa kadi na kisha dakika moja badae anafunga goli la ushindi.
Pili, Terry kanawa live mpira ndani ya penalty box, refa akauchuna!!

Anyway, ni vyema yameonekana live.

Karma is on you now all the way! Watch out!!

Cc: Mentor

Cmon now..
How do you define kosa la kupewa red card bro? refa alikwisha ona jinsi Benteke and Ivanovic wanavyochezeana so kumpa mmoja red ingekuwa kumu-appease mwenzake kuwa next games aendelee kufanya hivyo hivyo. Kama ulinotice aliwaonya wote wawili at some point. He did throw an elbow but unlike others yao ilikuwa kuoneshana ubabe...and he was fairly fined for that!

Now back to Terry...kuna kitu kinaitwa 'ball-to-hand' na 'hand-to-ball' na kwa case ya Terry ile ilikuwa ni ball-to-hand and is not punishable especially at such a spot where it happened.

Ila sitashangaa wala kubishana na mtu yeyote atakayetaka kuita any of the incidents that occured kuwa ni makosa kwa kweli...waongee tu! we currently on top of the table...brit in it man useless.. Nzi, Belo, BelindaJacob et al...
 
Ok.

But remember KARMA is watching!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom