Safi saana mm.nimemwambia atupe mafanikio ya miaka 10. Yaani toka 2012 huko mpaka leoKlopp kaja Oct 2015, nimeweka mafanikio yake vs Chelsea kwa muda huo wa misimu 7
Wana UEFA moja na sisi tunayo
Walichotuzidi tu ni kuwa juu yetu kwenye EPL position mara nyingi
Kwa makombe tuko droo
View attachment 2231622
🤣🤣 sema tu ww ni aseno. Unaogopa kuitangaza timu yako ya ya uropaMm ni Brentford unanikumbuka lkn cheltako nilichokufanya
Duh Mzee serious unaamini huyo n Brentford kirahisi hvyo[emoji23]Jiandae msimu ujao kurudi ulikotoka, umeingia choo cha kike
Leeds wameonyesha mfano, walikuja akina Bonamouth wakatuchachafya wako wapi
Walikuja akina Sheffield United wako wapi
Mnatuletea nguvu za soda hapa mjini bana, utapotezwa kwenye mataa aisee
Biashara hizo za kiwizi wizi. mimi sio size yako, nimefanya kazi ya mitandao for more than 30yrs na uzoefu wa biashara hizo ninazo za kutosha, kazi kuwahadaa vijana wasifanye kazi wakapoteze muda kwenye biashara za kikamari kamari huku zikiwa na ahadi kubwa kuliko za Mungu aliyetuumba.ACHA UJUAJI NAKUONA SANA KILA COMMENT KIMBELEMBELE ,IPO SIKU YAKO MPU.Z
Unatakiwa kurusha jiwe ilikotoka jiwe kwa sababu yeye ameamua kuifanya Brentford mask yakeDuh Mzee serious unaamini huyo n Brentford kirahisi hvyo[emoji23]
Haikuwa na ulazima wa kuwataja hao wachezaji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2232601
Hii comment ya TT ni ujumbe tosha kwamba anatamani kikosi cha THE BLUES kiwe na wachezaji caliber ya Salah, Dijk, de bryune, Mbappe.
Mechi Muhimu huyu jamaa anakuwa anakosa SanaMuda mwingine Kocha anapata wakati mgumu pale wachezaji wanashindwa kutafsiri na utekelezaji wa mbinu zake uwanjani, kwa sababu ya uwezo mdogo wa wachezaji wake.
Kama Pulisic anabaki na goli anapiga mpira nje anampa wakati mgumu kocha.
Na pia tunahitaji rotaion player kwa Kante kwa sababu ni injury proneView attachment 2232601
Hii comment ya TT ni ujumbe tosha kwamba anatamani kikosi cha THE BLUES kiwe na wachezaji caliber ya Salah, Dijk, de bryune, Mbappe.
Aseno katimu ka uropa. Kale kakienda CL kanabemendwa au kanapigwa mtungo😂😂😂😂😂Cheltako chelwowowo chelyatima
Cheki hii ng'ombe nyingine nani aifukuzie takataka Abraham iyo.Tammy Abraham anaweza kuwapita Pulisic, Werner na Havertz kwenye ufungaji ila uchezaji wake ni tofauti kabisa
Tammy anafunga magoli kwa kujenga kwenye makosa wanayofanya mabeki
Jana nilicheki mwanzo mwisho kwenye mechi kati ya AS Roma na Torino
Mistakes mbili walizofanya Torino ilimpa Tammy fursa ya kufunga bila makosa
Tammy pia anahangaika kutafuta magoli tofauti na Pulisic na Havertz hata na Lukaku
Labda kwa vile yeye ni natural striker while Pulisic na Havertz na Werner sio natural no. 9
Tammy sio agressive kama Lukaku
Lukaku ni agressive ila anakuwa static golini ndio maana hafungi
Tammy Abraham anaangaika sana golini kutafuta spaces ili afunge ila hana stamina ya kufight kwenye mipira kwenye tight environemnets
SO baada ya kusema hayo bado Abraham hatufai, anaweza akafaa kwa midtable teams na ndio maana timu zinazomzungumzia Abrahama huwezi kuta City, Liverpool wanamzungumzia badala yake Arsenal, Atalanta, Manure
Arsenyeto na cheltako hamna tofautiAseno katimu ka uropa. Kale kakienda CL kanabemendwa au kanapigwa mtungo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akili hunamropokaji hujaacha udalali
Mkuu vipi naweza kupata live streaming ya mechi yetu maana naona vibanda umiza vingi havioneshiKikosi cha mechi ya mwisho ya kumaliza msimu 21/22.
Wana BLUES Hongereni kwa kumaliza msimu salama.
Poleni kwa uchovu wa safari + Corona + injuries + kuangukiwa na kitu kizito kichwani (timu kuuzwa).
#Pride of London
#London is Blue
#Blue Forever
View attachment 2234511