Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ben Chilwell kaanza mazoezi
Ataungana na Odoi kabla ya preseason kwa mazoezi binafsi and hopefully atakuwa fit mwanzoni mwa msimu ujao
 
KUHUSU KUIMARISHA KIKOSI MSIMU WA KIANGAZI TUCHEL ASEMA
‘We have a huge delay in approaching players and making plans. Liverpool and City are already improving their squad. We are affected by key players going. We are not improving the squad; we are rebuilding it. This is challenging, but we are up for the challenge.
 
“We have an idea, but unfortunately, the guys don’t know that we have an idea, nor do the clubs. We have ideas, but we also need to find out what the ideas of the new owners are. This is also a key point, and from there, we go.”

 
Najua, huyo mtu sitaki hata apewe hiyo nafasi
Msimu ujao pa bin pu pale nyuma tunabakiwa na Malang Mamadou William Georges Sarr na hakuna mbadala, vipi hapo si bora tuanze kumzoea kisaikolojia na pia apewe muda wa kutosha unaweza shangaa akaja kuwa the next Rudiger!!
 
Mwanzoni nilikuwa simuamini sana Ousmane Dembele lakini baada ya kufuatilia kwa ukaribu style yake ya uchezaji na pace yake na speed yake na uwezo wake wa kupiga cross atasababisha sana Lukaku afunge magoli mengi, why, ni mchezaji mwenye mentality ya kushambulia. few back and sideways passes. Tukimpata huyu akacheza kama mshambuliaji wa upande wa kulia as a winger au kiungo mshabuliaji na acheze Werner katikati Mount.Usajili mwingi tuelekeze kwenye mabeki
 
Na wasiwasi na ligi ya Bundesliga

Werner Na Sancho walikuwa moto wa kuotea mbali huko Bundesliga. EPL wanakula mshahara bure.
Kwa chelsea bila creator hata aje nani atastruggle tu kule mbele

Kdb, ametokea bundesliga, gundogan,sane ,

System ya tim ikiwa nzuri mchezaj atashine ni mara chache sana kukuta mfumo ule ule unamkataa mchezaji
 
Msimu ujao pa bin pu pale nyuma tunabakiwa na Malang Mamadou William Georges Sarr na hakuna mbadala, vipi hapo si bora tuanze kumzoea kisaikolojia na pia apewe muda wa kutosha unaweza shangaa akaja kuwa the next Rudiger!!
Hatoweza kuwa hivyo abadani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…