juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Sure, Jorginho ni wa muhimu, katika game anazokosekana unaona kabisq kuna tofauti in short chelsea isyo na jorginho ni kama day n nightChelsea sio kwamba ina wachezaji wabaya hilo nakataa ila ni mfumo wa kocha ndio kikwazo cha baadhi ya wachezaji kuonekana wabovu
Kama chelsea inamuhitaji zaidi Tuchel basi impe wachezaji watakaoendana na mfumo wake ambapo wakishindwa kupaform lawama ziwe juu yake
Hawa wachezaji walio Chelsea ambao mnaona wabovu wakienda timu nyingine watakuwa bora zaidi ya hapa nafikiri mifano mnayo Abraham aliyekuwa chelsea mbovu Roma kule ana goli zaidi ya 25
Hata kama tunataka kusajiri viungo lakini mjue jorginho bado atabaki kuwa kiungo bora umuhimu wake ni mkubwa tofauti na kante pamoja na kova ambao hamna msaada mkubwa waliotupa msimu huu
Tukipata tu wachezaj 2+3 wenye uwezo wakutoa 10+ assist we are good. Na walio mbele wakaacha uchoyo[emoji117]Chelsea yangu bora ni ile ambayo ilianza msimu na kuongoza ligi kabla JAMES na CHILWELL kuumia.
[emoji117]JAMES na CHILWELL waliongeza nguvu kubwa sana kwenye ushambuliaji, ndio maana wakati ule Chilwell, James na Azpi walifunga magoli mengi kuliko washambuliaji wetu kule mbele.
[emoji117]James na Chilwell walivyopata injuries + Corona + injuries za wachezaji wengine + uchovu, timu ilipitia wakati mgumu sana kiushindani, mwisho kitu kizito kikatua kichwani baada ya Roman kutangaza anauza timu + vikwazo
[emoji117]Pamoja na changamoto zote hizo tumejitahidi kufika fainali mbili mfulilizo (CARABAO + FA), tunapambana kumaliza TOP 4. HONGERENI SANA
[emoji117]Binafsi naamini safu ya USHAMBULIAJI + KIUNGO imetuangusha sana msimu huu. Safu ya ULINZI nitailaumu kwa mistake ndogo ndogo ambazo utaziona kwa kuwa tulishindwa kufunga magoli mengi.
[emoji117]Kama msimu ujao tutaenda na viungo na washambuliaji hawa hawa tusahau kuchukua kombe la EPL mbele ya LIVER na CITY. TUSAHAU KABISA.
[emoji117]Ili kuboresha viwango vya wachezaji waliopo ni kuingiza maingizo mapya yenye ubunifu/uwezo mkubwa, nguvu na kasi.
[emoji117]Pale mbele tukipata winga 1 yenye uwezo wa kuassists 10+ na kufunga magoli 10+ anaweza kuwaamsha usingizini Kai, Werner na Lukaku. Winga mpya anaweza leta muunganiko flani ambao unakosekana kwa sasa.
[emoji117]Pale katikati tukipata kiungo mmoja mkabaji haswa, Kovacic na Kante wataoperate vizuri sana very comfortable. Jog, Saul & cheek watupishe.
[emoji117]Pale nyuma usajili wa mabeki sio chini ya watatu.
[emoji117]Kuna blanket la kocha TT tumejifunika nalo hatuoni nje, tunaona kwamba kwa sasa tunao wachezaji wazuri sana ila hawajitumi au viwango vimeshuka.
TUNAJIDANGANYA SANA, WACHEZAJI WETU WENGI WANA VIWANGO VYA KAWAIDA SANA.
[emoji117]Jiulize swali ni wachezaji wangapi wa THE BLUES wanapata namba kikosi cha CITY au LIVER?
[emoji117] Ile safu yetu ya ushambuliaji kule mbele hakuna mchezaji hata mmoja mwenye uwezo wa kuingia kwenye kikosi cha CITY au LIVER achilia mbali viungo na mabeki.
[emoji117] TUJENGENI TIMU YETU [emoji123]
#Pride of London
Yaani wewe huijui Chelsea na wala Jorginho, Kante na Kova huwajui kabisa. Yaani Jorgninho legele unamp[a sifa hivyo kama vile ni meti wako wa getoChelsea sio kwamba ina wachezaji wabaya hilo nakataa ila ni mfumo wa kocha ndio kikwazo cha baadhi ya wachezaji kuonekana wabovu
Kama chelsea inamuhitaji zaidi Tuchel basi impe wachezaji watakaoendana na mfumo wake ambapo wakishindwa kupaform lawama ziwe juu yake
Hawa wachezaji walio Chelsea ambao mnaona wabovu wakienda timu nyingine watakuwa bora zaidi ya hapa nafikiri mifano mnayo Abraham aliyekuwa chelsea mbovu Roma kule ana goli zaidi ya 25
Hata kama tunataka kusajiri viungo lakini mjue jorginho bado atabaki kuwa kiungo bora umuhimu wake ni mkubwa tofauti na kante pamoja na kova ambao hamna msaada mkubwa waliotupa msimu huu
Angemuingiza hata kwa ajili ya penalti, Havertz kapotelea wapi?Werner aliumia wakati wa warm up, au mlitaka aingie hivyo hivyo na majeruhi, kwa jinsi liver walivyokuwa wanacheza werner angekuwa mzima angecheza tu kulikuwa hakuna option
Wewe ulipotelea wapi baada ya kubahatisha tule tupenalty moja ndio unakuja hapa kusumbua wanaumeBingwa wa nini labda?
Lampard na Sarri walitumia sana huo mfumo kwa merely wachezaji hawa hawa, tulitobolewa sanaSquad ya Chelsea ina quality ila imeshindwa kuadapt Tuchel's tactics, so timu inakosa balance & at times timu inalose form, Chelsea squad inafit vizuri wakicheza 433 kutokana na profile walizonazo but wanakosa DM (an orchestra) kama Declan Rice, taarifa zinaonesha chelsea wanamtrack Sangare.
Hakuna timu mbovu above the table kama Westham mwaka huu, hapo sio chini ya goli 4 kwa man cityQuadruple baby!
Na leo rasmi Westham anatupa EPL
Chifu umeongea point zote ukweli mtupu ila kwenye hii ya blanketi mimi nina maoni tofauti[emoji117]Chelsea yangu bora ni ile ambayo ilianza msimu na kuongoza ligi kabla JAMES na CHILWELL kuumia.
[emoji117]JAMES na CHILWELL waliongeza nguvu kubwa sana kwenye ushambuliaji, ndio maana wakati ule Chilwell, James na Azpi walifunga magoli mengi kuliko washambuliaji wetu kule mbele.
[emoji117]James na Chilwell walivyopata injuries + Corona + injuries za wachezaji wengine + uchovu, timu ilipitia wakati mgumu sana kiushindani, mwisho kitu kizito kikatua kichwani baada ya Roman kutangaza anauza timu + vikwazo
[emoji117]Pamoja na changamoto zote hizo tumejitahidi kufika fainali mbili mfulilizo (CARABAO + FA), tunapambana kumaliza TOP 4. HONGERENI SANA
[emoji117]Binafsi naamini safu ya USHAMBULIAJI + KIUNGO imetuangusha sana msimu huu. Safu ya ULINZI nitailaumu kwa mistake ndogo ndogo ambazo utaziona kwa kuwa tulishindwa kufunga magoli mengi.
[emoji117]Kama msimu ujao tutaenda na viungo na washambuliaji hawa hawa tusahau kuchukua kombe la EPL mbele ya LIVER na CITY. TUSAHAU KABISA.
[emoji117]Ili kuboresha viwango vya wachezaji waliopo ni kuingiza maingizo mapya yenye ubunifu/uwezo mkubwa, nguvu na kasi.
[emoji117]Pale mbele tukipata winga 1 yenye uwezo wa kuassists 10+ na kufunga magoli 10+ anaweza kuwaamsha usingizini Kai, Werner na Lukaku. Winga mpya anaweza leta muunganiko flani ambao unakosekana kwa sasa.
[emoji117]Pale katikati tukipata kiungo mmoja mkabaji haswa, Kovacic na Kante wataoperate vizuri sana very comfortable. Jog, Saul & cheek watupishe.
[emoji117]Pale nyuma usajili wa mabeki sio chini ya watatu.
[emoji117]Kuna blanket la kocha TT tumejifunika nalo hatuoni nje, tunaona kwamba kwa sasa tunao wachezaji wazuri sana ila hawajitumi au viwango vimeshuka.
TUNAJIDANGANYA SANA, WACHEZAJI WETU WENGI WANA VIWANGO VYA KAWAIDA SANA.
[emoji117]Jiulize swali ni wachezaji wangapi wa THE BLUES wanapata namba kikosi cha CITY au LIVER?
[emoji117] Ile safu yetu ya ushambuliaji kule mbele hakuna mchezaji hata mmoja mwenye uwezo wa kuingia kwenye kikosi cha CITY au LIVER achilia mbali viungo na mabeki.
[emoji117] TUJENGENI TIMU YETU [emoji123]
#Pride of London
Abraham bado hataweza kufunga magoli mengi EPLChelsea sio kwamba ina wachezaji wabaya hilo nakataa ila ni mfumo wa kocha ndio kikwazo cha baadhi ya wachezaji kuonekana wabovu
Kama chelsea inamuhitaji zaidi Tuchel basi impe wachezaji watakaoendana na mfumo wake ambapo wakishindwa kupaform lawama ziwe juu yake
Hawa wachezaji walio Chelsea ambao mnaona wabovu wakienda timu nyingine watakuwa bora zaidi ya hapa nafikiri mifano mnayo Abraham aliyekuwa chelsea mbovu Roma kule ana goli zaidi ya 25
Hata kama tunataka kusajiri viungo lakini mjue jorginho bado atabaki kuwa kiungo bora umuhimu wake ni mkubwa tofauti na kante pamoja na kova ambao hamna msaada mkubwa waliotupa msimu huu
Points zako ok ila kwa jo, dah, huyo kwa pasi ndio master ila pasi zake zinatufanya tumiliki mpira sana bila magoli. Tunahitaji viungo wa direct play with a lot of dangrous pass through passes. Tutawalaumu washambuliaji ila pia muda mwingi hawapati huduma ya mipiraSure, Jorginho ni wa muhimu, katika game anazokosekana unaona kabisq kuna tofauti in short chelsea isyo na jorginho ni kama day n night
Kante msim hajawa na kiwango kizuri,
Kovacic ni wamuhim akiwa fit,
Tammy ni poacher mzuri tu, kinachowakwamisha chelsea ni ukosefu wa creator, without a creator hata aje forward gan still atastruggle,
Ruben Neves ofcourse, huyo ni mkabaji mzuri, ana stamina, mfungaji mzuri na mtoa assists mzuri sio jo ana magoli yote ya penaltyUkipewa JOGNHO na RUBEN NEVES unakwenda na nani?
Tungekuwa na TT hapa tungemuuliza, UCL alifanyaje hadi wachezaji wakapanda viwango?POINT
[emoji117] Binafsi naamini TT ni bonge la kocha kwenye TOP 5 ya makocha bora duniani anaingia.
[emoji117] TT amekuja Stanford Bridge akakuta timu yetu iko shangalabangala, ndani ya miezi 3 ametupa UEFA, SUPER CUP NA CLUB BINGWA WA DUNIA
[emoji117] Na msimu huu ametuingiza fainali mbili (CARABAO na FA) na tunapambana TOP 4.
[emoji117] Nadhani TT anazo sifa zote ndani ya vyumba cha kubadilishia nguo na uwanjani (Mbinu, styles, mifumo nk)
[emoji117] Staki kuamini kwamba TT ni weak kwenye vyumba vya kubadilishia nguo. Perfomance tulionyesha msimu wa mwaka jana, ilikuwa ya hali ya juu sana
[emoji117] Perfomance ile ilianzia kwenye vyumba vya kubadilisha nguo.
[emoji117] Naamini TT ana demand MORE and MORE kutoka kwa wachezaji ila kuna baadhi ya wachezaji uwezo wao ndio umefika mwisho.
[emoji117] SWALI:- Unataka kuniambia WERNER, LUKAKU kushindwa kuweka mpira wavuni ni kosa la TT?
Kosa kosa za PULISIC mbele ya goli ni kosa la TT?
[emoji117] Pamoja na nafasi wanazotengenezewa za kufunga wao wenyewe wanatumia jitihada gani za zaidi mpaka sisi mashabiki tuseme goli lile ni uwezo binafsi/ziada wa mchezaji?
Ndio maana nataka tusajili viungo wabunifu zaidi kwenda mbele tuone je kule mbele watafunga au lah?
[emoji117] Nitaendelea kusimama na TT uwezo wake wa kuwajenga wachezaji kisaikolojia, kimorale, mbinu zake ni EXCELLENT sana.
[emoji117] Niko against na baadhi ya wachezaji kwamba viwango vyao sio hadhi ya THE BLUES watupishe.
Mkuu,Mbona we ushawapanga tayariHawa makocha ukiambiwa uwapange kwa ubora ungeanza na nani na ukaishia kwa nani na uondoe ushabiki.
- PEP
- Klopp
- Tuchel
- Conte
- Arteta
- Rodgers
Hayo uliyoyataja hana ila bado point yangu iko hapaMASWALI:-
1. Tangu atue TT tulishawahi kusikia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo kuna ugomvi, matabaka, makundi?
2. Kuna mchezaji tulishawahi kusikia amepewa adhabu na kocha kwa uvunjifu wa maadili?
3. Je kuna wachezaji wameshatoka mbele ya camera wakasema hawakubaliani na mbinu za kocha au ni mbaguzi/upendeleo baadhi ya wachezaji?
Kwasababu hata press ya LUKAKU alisema amemiss Italy, angewish asingeondoka inter Milan
4. Tukimwangalia TT uwanjani anabehave vipi kwa wachezaji? Kuwakumbatia, kuwasifu, kuna mchezaji anayembagua? Haonyeshi kumpenda?
Sijawapanga, hiyo ni writing arangementMkuu,Mbona we ushawapanga tayari
Ila Chief mchezo style yao mimi siupendi sana, uko so conservative na wa kukariri, wachezaji hawachezi kwa uhuru kabisa. Unaona wazi hizo ni notes za kipara wanabukua hadi uwanjani. Unachosha kwa vile una a lot of short passes, sideway passes na back passes. Hata kama fursa ya kucheza vizuri uko kwa mchezaji wa mbali hawatumii hizo fursa, hata kama muda umeisha unatakiwa kupeleka long balls golini wao wamekazana na short, side na back passesNaangalia mpira wa CITY hapa
WERNER & LUKAKU wakicheza CITY watakuwa butu zaidi ya THE BLUES.
CITY wanacheza na kushambulia kwenye space ndogo ndogo sana, kila mchezaji wa CITY wana uwezo + ubunifu wa hali ya juu kumiliki na kushambulia kwenye space ndogo ndogo.
LUKAKU anataka sebule nzima aweze kucheza, LUKAKU 1st touch yake mbovu sana, kwenye space ndogo ndogo atamtulizia adui mpira.
Man City ameshinda? Niliacha anaongozwa limbiHizi standard walizoweka CITY na LIVER nowdays kwamba kuchukua ubingwa EPL lazima upige point 90+ kazi kweli kweli kwa zile timu zenye safu butu ya ushambuliaji.View attachment 2225844View attachment 2225845View attachment 2225846View attachment 2225847