Hawa hapa chini wachapwe viboko 12 tena za matakoni na mbele ya girlfirends zaoKwa mfano nani achapwe viboko? Mi naona wachezaji karibia wote uwezo wao ndio umeishia hapo.
Kuwachapa viboko Kante, Jog, Azip, cheek, Pulisic, Alonso ni kuwaonea
Tunahitaji wachezaji wengine wenye ubunifu/uwezo mkubwa + Energy zaidi ya hawa tulionao.
Tukiendelea kujenga tabia ya kutatua matatizo ya wachezaji kwa kuingia sokoni nakuambia hata tuwalete world class, kama tatizo ni la kocha tutazeekea hapo karibu na jiko tunanusa tu EPL huku wenzetu wakifaidi jikoni. Wajibu wa kila mtu utadhminiwe, mmiliki, bodi, kocha na benchi lake na mchezaji mmoja mmojaKwa mfano nani achapwe viboko? Mi naona wachezaji karibia wote uwezo wao ndio umeishia hapo.
Kuwachapa viboko Kante, Jog, Azip, cheek, Pulisic, Alonso ni kuwaonea
Tunahitaji wachezaji wengine wenye ubunifu/uwezo mkubwa + Energy zaidi ya hawa tulionao.
Halafu niliona Fabrizio Romano karipoti Lewandowski kagoma kuongeza mkataba BayernIli msimu ujao tushindane vizuri, head2head na Liver na Man city ni lazima tumlete Lewandowski darajani hata kama ni kwa kuvunja benki
City wana Haaland
Liverpool mbele wako vizuri labda Salah aondoke
Spurs wana Kane na Son labda washindwe kuimarisha katikati na Kocha atimue
Sioni Chelsea tukifanya vizuri zaidi ya namba 3 kama hatutamleta Lewandowski
Inakuwaje huyu Todd anapewa kipaumbele wakati ana mpunga kidogo?Chelsea hapo inaingia kwenye na. 2, tuko karibu sawa na Newcastle
Owners wana assets za zaidi ya
TOTAL = $391.5 billion
- Mark Walter $310 billion
- Clearlake Capital $72 billion
- Hansjoerg Wyss $5 billion
- Todd Boehly $4.5 billion
Baada ya wachezaji, wafate mashabiki wa Chelsea kuchapwa viboko kwa kishabikia timu bovu linalopoteza fainali mbili mfululizo!!Hawa hapa chini wachapwe viboko 12 tena za matakoni na mbele ya girlfirends zao
Odoi, Werner, Pulisic, Havertz, Ziyech, hao akina Jorginho auzwe au asepe, Kante tunamuhitaji hata asipocheza, azeekee Chelsea
Cheek bado hajatumiwa sana japo mimi ningelia na hao wa idara ya kule mbele kabisa ambao ndio nimewataja
Mount Anajitahidi asichapwe
Kama CLEARLAKE CAPITAL FUND wamenunua share kama institution basi individuals hawatahesabiwa, CLEARLAKE CAPITAL FUND atahesabiwa kama shareholderWaanzilishi wa mfuko wa CLEARLAKE CAPITAL FUND ni Jose Feliciano na Behdad Eghbali.
Huyu Behdad Eghbali ndio atakuwa bega kwa Bega na Toddy Boehly kwenye maamuzi ya kipesa THE BLUES.
Mkuu ukisema ivi itakulazimu usajiri kikosi kizima kila msimu. Kocha ana kazi ya kuongea na wachezaji waongeze ari ya kujituma. Angalia mtu kama Mount kadri muda unavyozidi kwenda ndio anazidi kupandisha kiwango. Angalia Kai kadri muda unavyozidi kwenda ndio anazidi kupata ukomavu wa mwili na akili the same kwa Odoi na Werner unaona kabisa wachezaji hao kiwango wanachoonesha ni chini ya ule uwezo unaoujua sasa wakizembea ndio wanahitaji manager mkali. Lakini mtu kama Pulisic unaona kabisa uyu mtu uwezo wake ndio umeishia pale unaishia kuandika kwenye vitabu this is failed business kwa hiyo hana haja ya kuchapwaKwa mfano nani achapwe viboko? Mi naona wachezaji karibia wote uwezo wao ndio umeishia hapo.
Kuwachapa viboko Kante, Jog, Azip, cheek, Pulisic, Alonso ni kuwaonea
Tunahitaji wachezaji wengine wenye ubunifu/uwezo mkubwa + Energy zaidi ya hawa tulionao.
Ukitaka kujua hawa wachezaji wana uwezo mkubwa angalia walivyocheza chini ya TT akiwa mgeni, ligi wakafanya vizuri mwanzoni mwa TT january to june 2021 na pia Aug to Nov 2021. Wamecheza vizuri dhidi ya Liverpool mechi zote 3 msimu huu ila sasa wameshamzoea TT wamemfanya kuwa mjomba wao.Mkuu ukisema ivi itakulazimu usajiri kikosi kizima kila msimu. Kocha ana kazi ya kuongea na wachezaji waongeze ari ya kujituma. Angalia mtu kama Mount kadri muda unavyozidi kwenda ndio anazidi kupandisha kiwango. Angalia Kai kadri muda unavyozidi kwenda ndio anazidi kupata ukomavu wa mwili na akili the same kwa Odoi na Werner unaona kabisa wachezaji hao kiwango wanachoonesha ni chini ya ule uwezo unaoujua sasa wakizembea ndio wanahitaji manager mkali. Lakini mtu kama Pulisic unaona kabisa uyu mtu uwezo wake ndio umeishia pale unaishia kuandika kwenye vitabu this is failed business kwa hiyo hana haja ya kuchapwa
Tetesi zinasema kashakubaliana na Barcelona huyo LewandowskiHalafu niliona Fabrizio Romano karipoti Lewandowski kagoma kuongeza mkataba Bayern
Hapa kocha anatakiwa kuwa mkali wasilete mambo ya enzi za Roman wakaanza kuzembea ili kocha atimuliwe kama ilivyomtokea Conte na ugomvi wake na kina Costa, Willian na FabregasUkitaka kujua hawa wachezaji wana uwezo mkubwa angalia walivyocheza chini ya TT akiwa mgeni, ligi wakafanya vizuri mwanzoni mwa TT january to june 2021 na pia Aug to Nov 2021. Wamecheza vizuri dhidi ya Liverpool mechi zote 3 msimu huu ila sasa wameshamzoea TT wamemfanya kuwa mjomba wao.
Kwenye kampuni sio lazima mwenye hisa nyingi awe msimamizi mkuu wa shighuli za kampuni. Kulingana na nguvu na uwezo na uzoefu, mmiliki anaweza akaa pembeni wakampa mmoja wao wanaomuamini ana uwezo, uzoefu na nguvu ya kusimamia hiyo timu kwa mafanikio makubwa. Naona Todd kawekwa hapo kimkakatiWewe TODDY Unaweza ukawa na wazo la biashara ila una mtaji mdogo, ukatushirikisha marafiki zako (MARK, WYSS, CLEARLAKE CAPITAL) tukakuongezea mtaji.
Wewe ukaendelea kuwa controller wa hiyo biashara, kwa masharti kuwa ni biashara yako umeibuni, sisi utakugawia magawio ya faida.
Ila mimi rafiki yako CLEARLAKE CAPITAL FUND niliyekupa mtaji mkubwa, zaidi ya asilimia 60% nitataka unishirikishe zaidi kwenye miahamala ya kifedha kwenye hiyo biashara. Kwa sababu ikifa mimi ndio nitakuwa nimepoteza pesa nyingi
Lakini wakati mwingine unaweza kumlaumu kocha ila swala la kumantain perfomance ni knowledge watu wanasomea shuleni ma AFISA UTUMISHI (HR) wananielewa hapa. Yan ni kazi kubwa kufanya kiwango cha mchezaji kiendelee kuwa vilevile na kuzidi kupanda otherwise inahitaji juhudi za mchazaji mwenyewe kama KDB, Kane otherwise hawa wengine ni kuwasukuma tu na hapo ndio kazi ilipo.Ukitaka kujua hawa wachezaji wana uwezo mkubwa angalia walivyocheza chini ya TT akiwa mgeni, ligi wakafanya vizuri mwanzoni mwa TT january to june 2021 na pia Aug to Nov 2021. Wamecheza vizuri dhidi ya Liverpool mechi zote 3 msimu huu ila sasa wameshamzoea TT wamemfanya kuwa mjomba wao.
Hawa Barca wana Auba wanamuongeza na Lewandowski. Au walimchukua kwa mkopoTetesi zinasema kashakubaliana na Barcelona huyo Lewandowski
Dressing room kukiwa na leadership nzuri, kocha mwenye kujua na uzoefu wa kuinua viwango vya wachezaji na chemistry nzuri ya wachezaji inasaidiaLakini wakati mwingine unaweza kumlaumu kocha ila swala la kumantain perfomance ni knowledge watu wanasomea shuleni ma AFISA UTUMISHI (HR) wananielewa hapa. Yan ni kazi kubwa kufanya kiwango cha mchezaji kiendelee kuwa vilevile na kuzidi kupanda otherwise inahitaji juhudi za mchazaji mwenyewe kama KDB, Kane otherwise hawa wengine ni kuwasukuma tu na hapo ndio kazi ilipo.
Wewe allypipi ni gundu kila timu unayoisogelea unapeleka gunduNasimama na The blues View attachment 2224337