Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,478
- 27,186
Hivi mnaosema pep kafeli city wakati kila mwaka anachukua kombe ,anageuza hiyo league yenu mnayoita ngumu kuwa bundasliga [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]huwa mnakuwa mnamaanisha Nini au ni haters tu...! Najua mtasema sijui CL ila Hilo sio kombe la lazima mjue ,hakuna sehemu wanasema lazima uchukue CL [emoji28]
Mshahara wa Edourd Mendy ni Β£52,000/week
Mshahara wa Pulisic ni Β£150,000/wiki
Mshahara wa Odoi ni Β£130,000/wiki
Mshahara wa Romelu Lukaku ni Β£350,000/wiki
Mshahara wa Timo Werner ni Β£272,000/wiki
Mshahara wa Saul Niguez ni Β£198,269/wiki
Mshahara wa Kepa Arrizabalaga ni Β£155,000/wiki
Sio havertz tu, wachezaj wetu wengi tu wanhii tabia utakuta mtu kafungua badala ya kumpasia afunge ila utakuta anataka afunge yeye na mwisho wa siku wanapoteza chanceSijui ni umri, sometimes Havertz anafanya very stupid decisions
Jana kuna mpira alipewa kulia kwenye golden chance alikuwa ampasie tu Pulisic afunge yeye akaamua kuupiga wide right just bila hata kujali
Binafsi sijawahigi kumkubali Declan Rice, sijui huwa mnakiona nini kwake, ila ngoja tuone kama atakuja.Based na taarifa mbali mbali
Target yetu mwezi wa 6 kwa upande wa defens ni
Kounde wa Sevilla
Koulibaly wa Napol (tetes zimeanza kuzuka )
Pau Torres wa Villareal-Huku taarifa zikiendelea kusema scout wetu mara kadhaa wameenda kumshuhudia Pau torres tho nimmoja kati ya wachezaji wanaotakiwa.
Josco Gvardiol wa RB Liepzig
Bremier wa Torino
Pia tetesi zimeendelea kusema kutasajiliwq 2cb wakiwango cha juu huku ikisemekana Todd Boehly yuko tayar kumpa support Thomas Tuchel kwenye usajil.
Usajili wa kiungo, huenda ukawa kati Aurellin Tchoumaen or Declan Rice hawa ndio wanaotajwa sana, ila usajil wowote wa kiungo huenda ukategemea kuondoka kati ya kiungo mmojawapo aloyepo
Media za England zinampamba alafu asking price anaanzia 150MBinafsi sijawahigi kumkubali Declan Rice, sijui huwa mnakiona nini kwake, ila ngoja tuone kama atakuja.
Inasikitisha kuona Mendy analipwa hiyo hela wakati saul ambayo mechi nyinyi kakaa benchi analipwa hela noWerner na Lukaku kwa pamoja wanakula Β£622,000/= per week! Sasa angalia hicho wanachodeliver uwanjani halafu wao wanadunda mtaani eti Kibaka aliyeiba Sandals za Shilingi elfu 25,000/= pale Kariakoo ndiyo anachomwa moto πππ
Jorginho aondoke atupishe, tunahitaji kiungo mwenye staminaBased na taarifa mbali mbali
Target yetu mwezi wa 6 kwa upande wa defens ni
Kounde wa Sevilla
Koulibaly wa Napol (tetes zimeanza kuzuka )
Pau Torres wa Villareal-Huku taarifa zikiendelea kusema scout wetu mara kadhaa wameenda kumshuhudia Pau torres tho nimmoja kati ya wachezaji wanaotakiwa.
Josco Gvardiol wa RB Liepzig
Bremier wa Torino
Pia tetesi zimeendelea kusema kutasajiliwq 2cb wakiwango cha juu huku ikisemekana Todd Boehly yuko tayar kumpa support Thomas Tuchel kwenye usajil.
Usajili wa kiungo, huenda ukawa kati Aurellin Tchoumaen or Declan Rice hawa ndio wanaotajwa sana, ila usajil wowote wa kiungo huenda ukategemea kuondoka kati ya kiungo mmojawapo aloyepo
Tetesi zinasema kuwa Todd Boehly amesema atampandishia mshaharaInasikitisha kuona Mendy analipwa hiyo hela wakati saul ambayo mechi nyinyi kakaa benchi analipwa hela no
Ningependelea aje Tchouamen,Binafsi sijawahigi kumkubali Declan Rice, sijui huwa mnakiona nini kwake, ila ngoja tuone kama atakuja.
Koulibaly ndio kwanza amefikisha 30, stil anaweza kuwa msaada kwa miaka 3,Jorginho aondoke atupishe, tunahitaji kiungo mwenye stamina
Koulubally mzee hafai na sio wote watacheza kama Silva
Marina alivuruga sana kwa usajil wa saul, we had a good chance ya kumsajil tchouemen kwa bei ndogo tu, tungeweza msajil na tukamuacha kwa mkopo hukuInasikitisha kuona Mendy analipwa hiyo hela wakati saul ambayo mechi nyinyi kakaa benchi analipwa hela no
Ningependelea aje Tchouamen,