Ukweli usemwe tu. Everton hakuachi, Newcastle hakuachi na Tottenham ndio kabsa watakugawana vibaya mno🤣🤣🤣🤣 akisha kugawana Tottenham sahau kitu inaitwa kwende UCL bakia huku chini na nduguyo mwantesa utdUmekosa tunguli tu
Mlianza haya maneno too mech na Chelsea ,man u ,westham,leedsUkweli usemwe tu. Everton hakuachi, Newcastle hakuachi na Tottenham ndio kabsa watakugawana vibaya mno🤣🤣🤣🤣 akisha kugawana Tottenham sahau kitu inaitwa kwende UCL bakia huku chini na nduguyo mwantesa utd
Yupi huyo?Mume wenu
😀😀😀😀 Izo ni mbinu za kuwajza vichwa ili mjae tuwapige vizuriKumbe mnatuogopa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli mmekuwa matakataka
Haya tutaonaMlianza haya maneno too mech na Chelsea ,man u ,westham,leeds
Cha ajabu zinazidi kuisha tu🤣🤣🤣
Ndio mkuu mbona hii habari imepostiwa humu hata huyo mmiliki alikuwepo kwenye game yetu na wolvesMmiliki mpya keshapatikana?
Yaani nyie mtupige?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Izo ni mbinu za kuwajza vichwa ili mjae tuwapige vizuri
Aha kwa iyo Roman wetu ndio hatunaye Tena kwenye soka☹️☹️Ndio mkuu mbona hii habari imepostiwa humu hata huyo mmiliki alikuwepo kwenye game yetu na wolves
Subiri FA tuone Nani atampiga mwennzie😀😀Yaani nyie mtupige?
Ila Chelsea akikutana na Liverfool hua linapigwa pira moja la hatari sana.Subiri FA tuone Nani atampiga mwennzie[emoji3][emoji3]
Sio mchezo ile fainali ilinikumbusha mpira wa miaka 2005 kushuka chini.Pira biriyani siyo[emoji3][emoji3]
Labda wachukuwe Uefa ya playstationUpcoming teams kwenye uefa huwa zinahangaika Sana mpaka wachukue kombe man city wakiendelea na huu mwendo watachukua uefa huko tuendako
Pep ni specialist in failure so far pale man shitySema ni Liverpool na Chelsea, huyo Man City ni msindikizaji tu kama Atletico sio mpambanaji.
Ifike wakati heshima ya Ulaya iwepo kwa kutenganisha Washiriki na Wapambanaji.
Sasa hivi Watu wengi wamekuwa Brainwashed na Man City kwa kuona labda ipo Class moja na Bayern, Chelsea, Liverpool au Real Madrid.
Ukweli ni kwamba linapokuja suala la Ulaya Man City ni sawa na kina Spurs, Rangers, Dundee United na takataka nyengine tu.
Hivi mnaosema pep kafeli city wakati kila mwaka anachukua kombe ,anageuza hiyo league yenu mnayoita ngumu kuwa bundasliga [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]huwa mnakuwa mnamaanisha Nini au ni haters tu...! Najua mtasema sijui CL ila Hilo sio kombe la lazima mjue ,hakuna sehemu wanasema lazima uchukue CL [emoji28]Pep ni specialist in failure so far pale man shity
City aka Shity siyo UEFA materialsHivi mnaosema pep kafeli city wakati kila mwaka anachukua kombe ,anageuza hiyo league yenu mnayoita ngumu kuwa bundasliga [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]huwa mnakuwa mnamaanisha Nini au ni haters tu...! Najua mtasema sijui CL ila Hilo sio kombe la lazima mjue ,hakuna sehemu wanasema lazima uchukue CL [emoji28]
Chelsea kufungwa hovyo ni dalili kuwa tunahitaji kusuka defence na katikati sana hata kuliko mbele
Mchezo wa jana umedhihirisha kuwa tukiwa na viungo wanaojua kupeleka mipira mbele washambuliaji wetu akiwemo Lukaku ni wafungaji wazuri. Mmiliki mpya asuke kuanzia wingbacks, DMs na CBs