Nyie mkishinda vimechi tudogo mnaanza kuwa wachambuzi, kambi ikinuka mnatowekaMkianza kushonwa tu mnaanza kujifanya watabiri. Haka kazembe si ndiyo kanazurura kuandika matusi sasa kama una kipaji cha utabiri nunua kaniki na tunguli upige pesa
Na alidhihirisha hilo tukabeba UCL
Hivi siku nyie nyumbu wa serengeti mkibeba EPL au UCL itakuwaje humuKukumbushana sio dhambi wakuu[emoji16][emoji16]View attachment 2209174
Halafu ni wachovu wanashuka darajaPia usisahau na hii View attachment 2209426
Na Leeds na Everton wapo, tim u zinazojiokoa kushuka daraja usicheze nao, watapigana kiafghanistani hadi tone la mwishoMzee wawazie Newcastle na spurs...yaan unawawazia Chelsea ilhali Una hizo mechi ambazo huchomoki[emoji1787]
Fumbo, mada hapa ilikuwa ni nini?
Hakuna timu itatoa hata Euro 60M labda 40M
Werner ni mchezaji wa ajabu sana, mbio zake zinamsaidia, ila ni mmoja wa wachezaji EPL asiyetumia akili hata kidogo
Lembua upo bro?Nyie mkishinda vimechi tudogo mnaanza kuwa wachambuzi, kambi ikinuka mnatoweka
Ndio napoonaga arse88 kama wendawazimu.Mzee wawazie Newcastle na spurs...yaan unawawazia Chelsea ilhali Una hizo mechi ambazo huchomoki[emoji1787]
Goli la Benzema, Nketiha na Richardson ...... ni press gani zile kama sio ushuzi wa beki.Haha Eti mnafungwa kwa uzembe wa mabeki,
Watu Wana press had mnaachia ,unasema uzembe ,
Bila uzembe Hakuna timu inayofungwa
Dah ww jamaa unaamin Yale magoli wamepewa tu,Goli la Benzema, Nketiha na Richardson ...... ni press gani zile kama sio ushuzi wa beki.
Sio kila timu ikifungwa ni uzembe aisee.
Mwenzio Lembu alisema hatutafika point 6 kwenye mech 5,zilizosaliaMzee wawazie Newcastle na spurs...yaan unawawazia Chelsea ilhali Una hizo mechi ambazo huchomoki[emoji1787]
Huyu Hakuna wakutoa hata £25m kwa epl labda arud Italy
Lukaku sio CF ni striker no. 9Huyu Hakuna wakutoa hata £25m kwa epl labda arud Italy
Mpira wa CF wakusimama hauhitajiki ,morden football inawafukuza aina hii ya CF ,
6 hamfiki, mkikata uneme hasi may 22Mwenzio Lembu alisema hatutafika point 6 kwenye mech 5,zilizosalia
Na ww wapiga ramli Tena ,
Chelsea ndo mbovu imeshindwa kutumia uwezo wa Lukaku na Werner wala shida sio WernerWerner ni mchezaji wa ajabu sana, mbio zake zinamsaidia, ila ni mmoja wa wachezaji EPL asiyetumia akili hata kidogo
Angechanganya akili na uwezo wake wa kukimbia angekuwa mchezaji hatari sana EPL. Akiuzwa ni sawa tu, EPL hataweza labda aende kwenye ligi zile legelege
Chelsea ndio nani?Chelsea ndo mbovu imeshindwa kutumia uwezo wa Lukaku na Werner wala shida sio Werner
Tubebe mara ngapi nani anaongoza kubeba Epl pale England.Hivi siku nyie nyumbu wa serengeti mkibeba EPL au UCL itakuwaje humu