Sio leo tu, mechi zote zilizobaki nyie kenge mnachezea vipigo.[emoji117] Nilishahisi point zinaweza kudondoka.
Kaka Epl haitabilili kwa sasa hasa kwenye timu izi zingine zingine izo game 4 zilizobaki zinaweza kukupa mshangao mkubwa balaaHuu utabiri niliutoa tarehe 26/01/2022.
[emoji117] Wakati huo vita kati ya Urusi na Ukraine havijaanza.
[emoji117] Roman hajawekewa vikwazo wala wazo la kuuza the blues halikuwepo
[emoji117] Bahati mbaya kwa sasa naona mbali na Arse8, Spurs anaweza pia maliza juu yetu.
Tujiandae kwa Europa league.
[emoji117] City atachukua kombe.
Ya DeraNaiona sare
Mkianza kushonwa tu mnaanza kujifanya watabiri. Haka kazembe si ndiyo kanazurura kuandika matusi sasa kama una kipaji cha utabiri nunua kaniki na tunguli upige pesaHuu utabiri niliutoa tarehe 26/01/2022.
[emoji117] Wakati huo vita kati ya Urusi na Ukraine havijaanza.
[emoji117] Roman hajawekewa vikwazo wala wazo la kuuza the blues halikuwepo
[emoji117] Bahati mbaya kwa sasa naona mbali na Arse8, Spurs anaweza pia maliza juu yetu.
Tujiandae kwa Europa league.
[emoji117] City atachukua kombe.
Hope umekosea uzi mkuu, now tuko na marehemu hapa tunamfunga mfungo wa peremendeYule Lanzini anatakiwa kuchungwa. Kikosi chetu hata kilicho benchi siyo kitamu sana tufanye purposive movements tusikomae na possession