OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,325
Kwa muktadha huu basi na msimu ujao tunaenda tukidena dema hivi Hadi mambo yakae sawa tusubiri misimu angalau miwili ipite ..si ndio mkuu?? Hapa naona Chelsea yetu ikipotea zaidi dah😭😭 tutarudi kama liverkuku ya kipindi klopp anaikuta jinsi ilivyo struggle Hadi Sasa tunaona imeiva haswa.Na TT amesema tajiri mpya hawezi kuja na kutoa haraka £250M za usajili. Lazima kwanza aweke watu wake anaowaamini kwenye uongozi wa kusimamia pesa yake vizuri.
Kwahiyo TT amesema dirisha la usajili la kiangazi litakuwa gumu sana kwa hali ilivyo mmiliki mpya + mfumo mpya wa uendeshaji club + kikosi kibovu cha kuboresha
Hivi Roman bado ni miliki halali au ndo keshataifishiwa timu na Sasa ipo chini ya serikali ya UK? Ikitokea miliki mpya haijapatikana Roman atarudishwa au ndio Chelsea bye bye 😥😥
Hapa tukishinda game tatu tukatoa draw mbili siyo mbaya nafasi ya tatu bado itatuhusu TU.Tulitegemea Chelsea kukutana na upinzani mgumu kwa timu dhaifu
Sasa tunaziogopa akina Norwich kuliko Liverpool
Bado tuna Everton, Wolves, Leeds, Leicester city na Watford
Kova akirudi kundini, na majeruhi yasipokuwepo kwa key players, hilo litawezekana of course. Ila tukipata majeruhi tu, God forbidHapa tukishinda game tatu tukatoa draw mbili siyo mbaya nafasi ya tatu bado itatuhusu TU.
Endelea kupiga ramli , yaan katika mech 5 point 15, Arsenal tuvune point 6?Hapo umechukulia kuwa Spurs na Arsenal watafunga mechi zao zote, imposible
Arsenal ana uwezo wa kubahatisha points 6 tu kwenye mechi zao zilizobaki
Spurs wanaweza nao kubahatisha point sita tu
Chelsea droo moja tu inaweza sio tu kutubakiza top 4 hata nafasi ya 3
Tumetenga paundi mil 250 katika manunuzi msimu huu wa kiangazi
Haya vipaumbele ni vipi
Mabeki wanaofuatiliwa ni
- Sevilla's Jules Kounde,
- Paris Saint-Germain's Presnel Kimpembe
- Atletico Madrid's Jose Gimenez
Hivi unaweza ukawa mwanaume kamili ukasimama mbele ya wanaume wenzako ukakaza na msuli wa matako ukamwambia mwanaume mwenzako kabaatisha? Wewe ulishindwa kubahatisha?
Kweli, kweli kabisa?
Plan hafanyi mnmiliki ndg. Scout team bado iko kazini, mipango yote bado inaendelea. Mmiliki mpya anaweza akaadjust lakini sio kufuta kila kitu hata yale memaDah! Sasa hizo £250M zimetengwa kwa idhini ya nani wakati hata mmiliki hajapatikana? 😂😂
Nyie Watu! 😅
Plan hafanyi mnmiliki ndg. Scout team bado iko kazini, mipango yote bado inaendelea. Mmiliki mpya anaweza akaadjust lakini sio kufuta kila kitu hata yale mema
Timu yetu ina shida gani, Jana tuliupiga mwingi sana kama ile mechi na Liverpool lakini magoli hayaingii kwenye wavu wa mpinzani. Shida ipo wapi
Ila jana mimi sikupenda Havertz alivyocheza, kacheza kama kinda wa academy below 17yo
plan haijafika huko, sasa hivi ni kuidentify target tuNdugu hao scout sio wanaotoa hela wala wanaosajili, hao ni waajiriwa tu kazi yao ni kufanya Scouting kwa Mchezaji tu na kutoa mapendekezo kwa DOF na Kocha kuwa anafaa au hafai.
Kocha akirodhika ndiyo anapeleka mahitaji kwa DOF, DOF anapeleka kwa CEO, CEO anapeleka kwa Mmiliki ambaye ndiye last say kwenye kirelease hela.
Hakuna Budget inayoweza kutekelezwa kama haijawa proved na Bodi ya Wakurugenzi, na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ni yule Biggest shareholder.
Sasa Timu ambayo inatafuta Mmiliki ambaye atakuja kuunda Bodi ya Wakurugenzi hiyo Budget ya £250M unataka kuniambia imepitishwa na Scouting Team? 😂😂
Lembu you can do better kuliko hivi ndugu.