Nimejikaza ila hapana, nisipomsifu Luka Modric nitakuwa sijatenda haki, the nigga is football deity, technical level ya juu sana, anaexcel in every facet, he remind me of Thomas Rosicky.
Don Carlo alizidiwa sana tactically na Thomas Tuchel, kilichombeba ni technicality ya wachezaji wake specially Vinicius Jr, Modric, Karim Benzema.
Ndiyo mchezo mkuu. Lazima tuyakubali matokeoMazee tunaweza kujivunia jana tumepambana sana ila moyoni kuna maumivu makubwa sana
Mpka dakika 78 tayari tumefuzu tumekuja kuruhusu goli kizembe sana daaah
Ilikuwa Sevilla ya Unai Emery2016 alikupiga ww akachukua europa
Hapa unakosea mkuu. Man City hata mimi nimemfunga mara tatu in and out. So hiyo halina ubishi. We jifariji baada ya Chelsea kutoka Cl. Narudia tena Chelsea alikuwa kikwako kwenu Liverpool na City ful stop na ndiyo maana umefurahi sana baada ya wao kutoka.Hivi nyinyi Rent boys akili mutazupata lini? Man City kakupiga Nje Ndani bado unasema wewe ni kikwazo?
Unaanzaje kuwa kikwazo kwa Liverpool?
Tubadlke asee tumepoteza final ya carabao tukajivunia tumepambanaNdiyo mchezo mkuu. Lazima tuyakubali matokeo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]Mendy somtym ni bonge la mataQo mtepweto. Auzwe tu manina.
Mendy somtym ni bonge la mataQo mtepweto. Auzwe tu manina.
Hahah... Asajiliwe Kipa gani Enzo?Mendy somtym ni bonge la mataQo mtepweto. Auzwe tu manina.
Nakusalimia mkuu wangu[emoji1787][emoji1787]Hahah... Asajiliwe Kipa gani Enzo?
Kuna UEFA moja ilikuwa 16 enzi za Conte tulikutana na Barca na kipa alikuwa Curtois. Akatobolewa goal 3 match ya pili.
Watu waliongea sana shit lakini huwezi sema jamaa alikuwa kipa mbaya.
Sometimes mambo mabaya yanatokea.
Humu ndani tumeanza kuongea muda sana kwamba mendy ana tatizo kwenye mipira ya kurudishiwa. Hiyo ni weakness yake kama tu Keppa ambavyo hadaki mipira ya mbali.,
Watu wengi walikuwa hawatuelewi.
Nadhani, goal la tatu ile game ya madrid darajani ndio watu wengi walielewa.
Aiseeee nipo mzima wa afya. Tumepambana lakini tumetoka.Nakusalimia mkuu wangu[emoji1787][emoji1787]
Ugumu wake uko wapi sasa?Aiseeee nipo mzima wa afya. Tumepambana lakini tumetoka.
Watch out Unai anakusubiri. Ni afadhali mngekutana na Bayern.
Ila match yenu na Unai itakuwa ngumu sana.
Kacheze naye wala hakuna ugumu wowote.Ugumu wake uko wapi sasa?
Tunacheza naye na tunamtandika.Kacheze naye wala hakuna ugumu wowote.
Naona mnasheherekea maana shughuli yetu mnaijua kama tungepita jana.Tunacheza naye na tunamtandika.
Nyie sasahivi kaeni pembeni muangalie mechi za wanaume[emoji23]
Mkuu unajua unachosema kweli! Real kacheza mpira baada ya kufungwa goli 3, unadhani goli zote tatu zilifungwa by chance?. Ukiangalia goli la Real hasa assist ya Luka Modric, it was an individual quality, Structurally ilikuwa ngumu kumuona Rodrygo coz Chelsea walimanage Space vizuri kwenye ile incedence, Modric anaamua kupiga trivela kick kumpata Rodrygo. Kama unajua mpira utaelewa hili goli liliwarudisha Real mchezoni.Mkuu alizidiwa mbinu kivipi, hukuona sub za Carlo (Marcelo, Rodyrigo-Goal) zilichange game?