Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,478
We are still building a team that no one can play with. "Thomas tuchel"
Bado mpira, wewe ndie unayejijaza ujingaMumeona sasa?
Niliwahi kusema kwenye huu uzi munatumia muda mwingi kujazana ujinga kuliko uhalisia.
- Sasa endeleeni kujazana ujinga wa kuwa hakuna Timu inayotaka kucheza na Chelsea.
- Endeleeni kujazana ujinga wa kuwa hakuna Timu inayoweza kuifunga Chelsea.
- Endeleeni kujazana ujinga wa mwanzo wa Msimu mulipoaminishana kuwa Makombe yote ya EPL na UCL mutabeba Chelsea.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Come on the Blues ..ni mwendo wa ushindi TU Leo..
Form is temporary but class is permanentAdhani vitu vikubwa vinavyohitajika kwenye soka kocha avitumie pamoja na factors zingine ni tactics na falsafa
Tofauti ya Tuchel na PEP, Klopp na Aceloti ni kwamba Tuchel yeye anategemea heavily tactics. Hao wengine wanarely heavily na falsafa. Sasa jana Falsafa ilishinda dhidi ya Tactics.
Pia mimi naona tactics inasaidia kwa muda mfupi tu bali falsafa ya kocha ikifanya kazi inadumu.
Sasa mashabiki wenzangu ebu mnisaidie hivi falsafa ya Tuchel huwa ni ipi?
PEP - Possesive football
Klopp - Counter attack football
Anceloti- Entertaining football
Kote huko uko vizuri LAKIN hitimisho lako eti Hilo kombe NI la Madrid NINA MASHAKA NALO...ILA KWAKUA NI MAWAZO YAKO NGOJA NIPITE HIVI[emoji850][emoji850][emoji850]Mlikariri maisha ya ngekewa msimu uliopita kiasi cha kudhani Madrid ni team inayoweza kulinganishwa na hicho kikundi chenu, safari yenu inaishia hapo.
Hili kombe ni la Madrid.
Lembu naona jana mlikua mnalembua tu uwanjani.Bado mpira, wewe ndie unayejijaza ujinga
We nawe unaota [emoji23]Mlikariri maisha ya ngekewa msimu uliopita kiasi cha kudhani Madrid ni team inayoweza kulinganishwa na hicho kikundi chenu, safari yenu inaishia hapo.
Hili kombe ni la Madrid.