Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sisi tulikubali kufungwa 4 ili tutunze nguvu za kumfunga Madrid.

Si unaona hata wachezaji hawajaumizwa na matokeo?
Na leo wamekubali kufungwa 3 darajani ili watunze nguvu za kumfunga Madrid nyumbani kwao.

Si unaona hata wachezaji hawajaumizwa na matokeo?

Hii sio timu ni genge tu la kutakatisha pesa.
 
Jamani popote ukimuona shabiki wa chelsea usikubari akae peke yake wanaweza fanya jambo baya lolote okoa maisha ya the blues fans.
 
Haya matapeli yanamsubiri bro wao mmoja hivi hua anajifanya anaandika kwa kuchambua ndo yote utayaona yanakuja. Bro mwenyewe anaitwa lembua.

Kwahiyo kwa kifupi hii maiti tumesusiwa.

Kuna tapeli moja lishajinyonga.
 
OllaChuga Oc [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] popote ulipo please usijinyonge tunakutegemea kuchangamsha jukwaa
 
Oya hatutaki mamluki kila mtu aende kwenye uzi wake sisi chelsea tunataka tuanze kulaumiana
Unamaanisha zile Crystal Palace3 - 0 Arse8 bado hazijafutika mioyoni mwa Mashabiki maandazi hadi wajazane humu ndani kujipiga makofi vifuani mara 3 wakipaza sauti kuwa wao ni wajinga [emoji848][emoji28]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…