juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Expected nilipin point huko nyuma kuwa kuna wamiliki wa Newcastle huko kwenye Saudi Media na ndie alikuwa kikwazo pamoja na uhusiano wake wa karibu na dola ya kifalmeKwa hali tuliyokuwepo sasa, ya kuhitaj mmiliki mpya wa haraka,
Saudi angefanikiwa ingechukua mda mrefu kuja kumiliki n hii ingetufanya baadhi ya mambo ya siende sawa tungejikuta tuko kwenye administration, ukiangalia wamiliki wa newcastle iliwachukua miezi ili kumiliki newacastle
Hii ilikuwa ngumi,Expected nilipin point huko nyuma kuwa kuna wamiliki wa Newcastle huko kwenye Saudi Media na ndie alikuwa kikwazo pamoja na uhusiano wake wa karibu na dola ya kifalme
"One of the issues is the Saudi Media Group's turnover is something like £700-800m a year, so it is not very clear how they would have the money to buy a club like Chelsea.[emoji1210] The bid from Saudi Media Group was not competitive and relied heavily on debt financing, an unattractive prospect for the club, one person with knowledge of the situation said. (via @FT)
ricketts hao hawawezi pita kutokana na issue ya ubaguzi waliokuwa nayo so ni ngumu atlwast nick candyAmbao hawatapita kwenye phase ya pili haw ahapa
Wenye green light ya kupita ni
- Woody Johnson
- Saudi Media Group
- Aethel Partners
- Nick Candy = Uncertainity
- Anather London Based Consortium = Uncertainity
- Todd Boehly Consortium
- Sir Martin Broughton Consortium and
- Ricketts family
Kupita kwenye tatu bora watapita ila wanatumia nguvu nyingi sana kujisafisharicketts hao hawawezi pita kutokana na issue ya ubaguzi waliokuwa nayo so ni ngumu atlwast nick candy
Ambao hawatapita kwenye phase ya pili haw ahapa
Wenye green light ya kupita ni
- Woody Johnson
- Saudi Media Group
- Aethel Partners
- Nick Candy = Uncertainity
- Anather London Based Consortium = Uncertainity
- Todd Boehly Consortium
- Sir Martin Broughton Consortium and
- Ricketts family
Naona ndoto ya Bwana Boehly ikitimia, kwa miaka 4 alikuwa anafukuziaSasa rasmi mmiliki wa Chelsea atakuwa
1) Todd Boehly Consortium au
2) Sir Martin Broughton Consortium
Source: Two preferred Chelsea bids now 'frontrunners' with Ricketts family knocked back
wale waarabu wangefaa sanaNaona ndoto ya Bwana Boehly ikitimia, kwa miaka 4 alikuwa anafukuzia
Na international fans wengi waliwataka wale Waarabu ila basi, tumeumwa na nyoka hata kamba inatutia wogawale waarabu wangefaa sana
huyu jamaa nmeona project yke y kwanza nikuboresha starmford pale so ujenz wa uwanja ukiwa kipaumbele huenda usajili ukawa wa kusuasuaNaona ndoto ya Bwana Boehly ikitimia, kwa miaka 4 alikuwa anafukuzia
Ukweli ndio huo wakati wa ujenzi lazima usajili upungue kasi kwa sababu ya hiyo investmenthuyu jamaa nmeona project yke y kwanza nikuboresha starmford pale so ujenz wa uwanja ukiwa kipaumbele huenda usajili ukawa wa kusuasua
Tunahitaj kusajil wachezaj watakaondan na tuchel na kufany big signing halaf wanaishia kuflophuyu jamaa nmeona project yke y kwanza nikuboresha starmford pale so ujenz wa uwanja ukiwa kipaumbele huenda usajili ukawa wa kusuasua