Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hizo beki ulizotaja hapa zikiwa poa huyo madrid anakufa vizuri kabisa. Hachomoki.
 
Yaani ALONSO hamzuie vinicius hapo ngoja kwanza ncheke [emoji3][emoji3][emoji3][emoji2]
 
Akimpita Alonso anakutana na Rudiger[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo rudiger atakua na kazi mbili kumzuia vin na benzema kumbuka ile mechi ya liverpool 2-2 lile goal alilofunga Mo Salah alivyompita tuu alonso akamaliza shughur
 
Yaani ALONSO hamzuie vinicius hapo ngoja kwanza ncheke [emoji3][emoji3][emoji3][emoji2]
Vinicius Junior hachezi upande wa Alonso, anacheza Left Wing na anayemzuia ni James, akimpita james anakutana na Christensen , End of story
Alonso kama atacheza atapambana na Asensio
 
Vinicius Junior hachezi upande wa Alonso, anacheza Left Wing na anayemzuia ni James, akimpita james anakutana na Rudiger, End of story
Alonso kama atacheza atapambana na Asensio
Mwanangu hao wote watakimbilia kwa alonso sabab huo ndo uchochoro na kila mchezaji anajua hilo uwanja utainamia upande wa alonso
 
Mwanangu hao wote watakimbilia kwa alonso sabab huo ndo uchochoro na kila mchezaji anajua hilo uwanja utainamia upande wa alonso
That is too much insult, hata kama anaborongaga, Alonso anahitaji heshima angalau kidogo. Winga wa kushoto hawezi hamia kulia sijawahi kuona hiyo. sana sana anaweza cheza popote wakati wa kushambulia kwenye final third na wakati huo kila mchezaji anakuwa ni defender
 
Mechi yetu na Madrid tunaanzia ugenini kisha tunamalizia darajani
Hapana, lile dude la Chelsea lilikuwa la kwanza kunyanyuliwa, dude la kwanza ni timu ya nyumbani
Mtanange unaanzia darajani 5 April 2022 na marudio ni Barnabeu 13 April 2022
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…