Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,747
Wakati USA inaivamia Iraq,libya watu hawakupoteza maisha?Kuna timu yoyote inayomilikiwa na WATU TOKA USA ILIFANYIWA HAYA?ACHA UPOYOYO...POLENI CHELSEA HOPE YATAISHA NA MTAZIDI KUTOA BURUDANI..Kwhy we unaona ni bora kuingia vitani ili watu wasio na hatia wapoteze maisha.
Hivi nyie hamsikii eeh?!😀Kikosi cha leo vs NorwichView attachment 2146151
Wengi mnashindwa kuelewa, wala siasa haijaingilia mpira kilichotokea serikali ya UK wamemuwekea Roman vikwazo yeye na Chelsea ni mali yake kwahiyo lazima Chelsea nayo iguswe tena bado wamepewa na special license kuendelea kufanya kazi ila ndiyo hivyo Roman hakuna faida atatengeneza katika kipindi chote hicho.Hili jambo sio la kulishabikia hata kidogo ukiwa unapenda soka vitu ambavyo tunaona ni siasa kuingilia mpira
ata ivo romani alishakubali hatochukua hel yeyote, hela ya mauzo alisema ipelekwe kw victim wa vitaChelshit wala msiombee Roman auze timu kwasababu akiuza atauza bila yeye kupata faida yoyote na hakuna tajiri fala. Hivi lile deni ni £b ngapi? Anguko lenu litakuwa halina tofauti na Bury FC. [emoji23][emoji23][emoji23]
Leo ndio tutaweka karamu ya magoli dk ya 13 goli mbili tayariDaah na hiyo game ya leo sijui kama tutaweza kuimudu na haya yanayoendelea.
AfadhaliLeo ndio tutaweka karamu ya magoli dk ya 13 goli mbili tayari
Naomba link ya mechi kati ya Norwich City na Chelsea FC wakuu
Following sanctioning of Roman Abromovic;
Chelsea fixtures will be fulfilled and can be televised
• Only people who already have tickets to upcoming matches at Stamford Bridge can attend
• Contracted staff and players will continue to be paid
• Tickets and merchandise cannot be sold.
• Mr Abramovich cannot profit from the sale of his club
• No new players can be signed
• Spend on travel for away games capped at £20,000
• Spend on security, stewarding and catering for home games capped at £500,000