Kukariri kubaya sana. Huyo Kepa anajionaga sana anajua sasa leo nina uhakika kile Kiherehere lazima kiishe.Huu ujinga wa kuacha kumuamini golikipa aliyedaka dakika 90 na kumuweka golikipa kwa ajili ya penalty sijui nani kauanzisha...?!
Leo ndio kwa mara ya kwanza unatazama match za Chelsea.Kocha wa Chelsea mwehu.Unamtoaje Mendy ambaye ni tishio kwa wapinzani?Ona pazia lake hata kufuata hamna!
Bora mmepoteza mnakelele sana nyie makima[emoji16][emoji16]
Hiyo kitu imeshawork kwa Chelsea zaidi ya mara moja.Huu ujinga wa kuacha kumuamini golikipa aliyedaka dakika 90 na kumuweka golikipa kwa ajili ya penalty sijui nani kauanzisha...?!
Penalt hazina mwenyewe, hii sio mara ya kwanza kama unaangalia game zetu,Mendy has been hero for almost 120 minutes mnamuona hana maana mwisho. Rubbish mpira umewashinda nendeni mmsaidie huyo gaidi wenu, kuwamaliza waukraine
Tutakutana tu... Kuku mwenye mdondo.Mendy has been hero for almost 120 minutes mnamuona hana maana mwisho. Rubbish mpira umewashinda nendeni mmsaidie huyo gaidi wenu, kuwamaliza waukraine
Kwanini goli la Matip lilikataliwa?lembu tuelezee kamati ya VAR imetumia sheria gani kukata goli alilofungwa na Lukaku
paka sasa sijui ilikua je hiyo goli kukataliwa au FA hawa kutaka Chelsea ichukue ili kombe kwasbb ya Russian kuvamia Ukuraini kama kumpa Abramovich adhabu ya kua karibu na putin......huo naona ni uhuni kama wa ma refa wa bongo.
Mpira huo umetua katikati ya jiji la Kiev dakika chache zilizopita, umeleta madhara makubwa sana. Maafisa kutoka Ukraine wameripoti.View attachment 2133399
Mpaka sasa mpira alioupiga Kepa haujaonekana angani.. Satelite zinajaribu uwezekano wa kupatikana lakini mpaka sasa hakuna dalili!πππππππππππππππππππππππππ
Peleka mbele Upunguani wako huko..!Hiyo kitu imeshawork kwa Chelsea zaidi ya mara moja.
Punguza lawama za Kijinga.
Goal la Joe matip nalo unalizungumziaje mkuu?Mendy has been hero for almost 120 minutes mnamuona hana maana mwisho. Rubbish mpira umewashinda nendeni mmsaidie huyo gaidi wenu, kuwamaliza waukraine
VVD alimblock JamesKwanini goli la Matip lilikataliwa?