Alonso mtoe hapo kwanini kocha asimpe nafasi yule bwana mdogo Vale kama anaona nafasi ya wingback upande wa left unapwayaTuchel sasa ana changamoto kubwa
Havertz yuko kwenye form na kasema nafasi inayomfaa ni no. 9 na ameonyesha kwa vitendo
Lukaku yuko mzima hana majeruhi na mchezaji wa pesa kubwa anaweza kukaa benchi kweli?
TT kadai mechi ya jana kamuweka benchi Lukaku wa sababu anadhani yuko exausted
Je jumapili ataendelea kukaa benchi au atarudi uwanjani?
Hii mimi naiona kama changamoto kubwa kwa sababu bodi ya Chelsea hawatakubali kuona mradi wao mkubwa waliowekeza kwa Lukaku inakuwa wasted kwa kuwekwa benchi akiwa mzima. Na TT kwa upande wake anaona kumchezesha Havertz ndio itaipa timu ushindi dhidi ya Liverpool.
Mimi naona TT angeendelea kumuweka Lukaku benchi
Twende na hii format 3-4-3
Werner -----------------Havertz --------------------MountAsumption
Alonso ------- Jorgninho ------ Kante ---------Azpilicueta
Rudiger ----------------- Silva -------------------Christansen
Mendy
Ziyech na Kovacic watakuwa majeruhi
Hapo Kwa Alonso n lawama ...Reece James km angekuwa fit zaidi kuanza angeanza upande WA kulia Afu cezar anakaa huo upande WA kushoto....Labda TT aamue kumrush Reece. Aliyetoka kwenye injury..vinginevyo hapo Kwa Alonso nikuangalia game ya final huku umebana mbupuTuchel sasa ana changamoto kubwa
Havertz yuko kwenye form na kasema nafasi inayomfaa ni no. 9 na ameonyesha kwa vitendo
Lukaku yuko mzima hana majeruhi na mchezaji wa pesa kubwa anaweza kukaa benchi kweli?
TT kadai mechi ya jana kamuweka benchi Lukaku wa sababu anadhani yuko exausted
Je jumapili ataendelea kukaa benchi au atarudi uwanjani?
Hii mimi naiona kama changamoto kubwa kwa sababu bodi ya Chelsea hawatakubali kuona mradi wao mkubwa waliowekeza kwa Lukaku inakuwa wasted kwa kuwekwa benchi akiwa mzima. Na TT kwa upande wake anaona kumchezesha Havertz ndio itaipa timu ushindi dhidi ya Liverpool.
Mimi naona TT angeendelea kumuweka Lukaku benchi
Twende na hii format 3-4-3
Werner -----------------Havertz --------------------MountAsumption
Alonso ------- Jorgninho ------ Kante ---------Azpilicueta
Rudiger ----------------- Silva -------------------Christansen
Mendy
Ziyech na Kovacic watakuwa majeruhi
Kwakweli[emoji23]...
Pamoja na madhaifu ya Alonso yeye ndie kwa sasa mzoefu wa hiyo nafasi, Sarr ni mzuri kwenye kudefend zaidi ya Alonso lakini sio mzuri kwenye kupeleka mashambulizi mbele. Alonso akipata nafasi ni mzuri sana kwenye kushambulia. Reece James akiwahishwa kucheza basi Azpilicueta atacheza kushotoHapo Kwa Alonso n lawama ...Reece James km angekuwa fit zaidi kuanza angeanza upande WA kulia Afu cezar anakaa huo upande WA kushoto....Labda TT aamue kumrush Reece. Aliyetoka kwenye injury..vinginevyo hapo Kwa Alonso nikuangalia game ya final huku umebana mbupu
Vale bado anajifunza, hakuna kocha atampanga kinda kama huyo kwenye mechi kubwa kama hiyo ya Jpili. Pamoja na madhaifu ya Alonso yeye ndie kwa sasa mzoefu wa hiyo nafasi. Alonso akipata nafasi ni mzuri sana kwenye kushambulia. TT ampe maelekezo makali na twende na Alonso, akichoka Sarr ataingia badala yake. Reece James akiwahishwa kucheza basi Azpilicueta atacheza kushotoAlonso mtoe hapo kwanini kocha asimpe nafasi yule bwana mdogo Vale kama anaona nafasi ya wingback upande wa left unapwaya
Kabisaa Alonso kawa kichochoroAlonso mtoe hapo kwanini kocha asimpe nafasi yule bwana mdogo Vale kama anaona nafasi ya wingback upande wa left unapwaya
Kikosi kizuri ichi lukaku akaae njee atupishe kwanza sema pengo la ziyech ndo litatupa shida maana kwa sasa yupo kwenye ubora wakeTuchel sasa ana changamoto kubwa
Havertz yuko kwenye form na kasema nafasi inayomfaa ni no. 9 na ameonyesha kwa vitendo
Lukaku yuko mzima hana majeruhi na mchezaji wa pesa kubwa anaweza kukaa benchi kweli?
TT kadai mechi ya jana kamuweka benchi Lukaku wa sababu anadhani yuko exausted
Je jumapili ataendelea kukaa benchi au atarudi uwanjani?
Hii mimi naiona kama changamoto kubwa kwa sababu bodi ya Chelsea hawatakubali kuona mradi wao mkubwa waliowekeza kwa Lukaku inakuwa wasted kwa kuwekwa benchi akiwa mzima. Na TT kwa upande wake anaona kumchezesha Havertz ndio itaipa timu ushindi dhidi ya Liverpool.
Mimi naona TT angeendelea kumuweka Lukaku benchi
Twende na hii format 3-4-3
Werner -----------------Havertz --------------------MountAsumption
Alonso ------- Jorgninho ------ Kante ---------Azpilicueta
Rudiger ----------------- Silva -------------------Christansen
Mendy
Ziyech na Kovacic watakuwa majeruhi
Sio nafas yake halisi,Alonso mtoe hapo kwanini kocha asimpe nafasi yule bwana mdogo Vale kama anaona nafasi ya wingback upande wa left unapwaya
Tukichezesha kante+jorg+kova kwa pamoja tumekwisha mapemaHii mechi ya Fainali mpango mzima ni sisi kwenda kwenye mikwaju ya penati, Keppa akatutoe kimasomaso.
Liverkuku wako bora kila mahali zaidi yetu, tukicheza kama wao wanavyotaka tutaumia.
Twendeni na ulinzi shirikishi, tufunge njia zote, nafasi zote.
------------- PULISIC ------ HARVTEZ --------------
ALONSO - KANTE - JOG - KOVACIC - AZIP
---- RUDGER --- SILVA --- CHRISTENSEN ---
Lakini anacheza vizuriSio nafas yake halisi,
Hiii itatusaidia zaidiTukichezesha kante+jorg+kova kwa pamoja tumekwisha mapema
Tutawaruhusu liver wafanye watakavyo
Kitu pekee ni kutowaruhusu rob n trent kutopanda sana n kuwin 2nd ball zote
Lakini anacheza vizSio nafas yake halisi,
Chelseafc sio leeds kumbuka Hilo huo ushauri sio mzuri kwanza kumuweka alonso teyari inafanya awe uchochoro wa Liverpool Chelsea ili imfunge liverpool wala hawaitaji waende kwenye penalty kama unavyosema wewe.Kama Chelsea itaanza na false 9 basi uwezo wa kumfunga liverpool ni mkubwa Sana kwasababu soka tutakalocheza litakuwa ni rafiki kwa style ya uchezaji wa LiverpoolHii mechi ya Fainali mpango mzima ni sisi kwenda kwenye mikwaju ya penati, Keppa akatutoe kimasomaso.
Liverkuku wako bora kila mahali zaidi yetu, tukicheza kama wao wanavyotaka tutaumia.
Twendeni na ulinzi shirikishi, tufunge njia zote, nafasi zote.
------------- PULISIC ------ HARVTEZ --------------
ALONSO - KANTE - JOG - KOVACIC - AZIP
---- RUDGER --- SILVA --- CHRISTENSEN ---
Sijawah muona akicheza kama lwb,Lakini anacheza vizuri
Kabisaa werner Ndo solution kwa ArnoldMtu pekee wa kumzuia Trent ni Werner endapo atapangwa. Ile kasi ya Werner na usumbufu wake sidhani kama Trent atapata nafasi ya kupanda juu kushambulia.
Hatujakataa ilo ila tusubir mechi ndo itajulikanaHii final nyie ni underdog .....
Chief I am sorry, hii aproach TT katumia mara mbili kwa city haikuwork. Tunachotakiwa tucheze normal chelsea football iliHii mechi ya Fainali mpango mzima ni sisi kwenda kwenye mikwaju ya penati, Keppa akatutoe kimasomaso.
Liverkuku wako bora kila mahali zaidi yetu, tukicheza kama wao wanavyotaka tutaumia.
Twendeni na ulinzi shirikishi, tufunge njia zote, nafasi zote.
------------- PULISIC ------ HARVTEZ --------------
ALONSO - KANTE - JOG - KOVACIC - AZIP
---- RUDGER --- SILVA --- CHRISTENSEN ---
Lukaku kwa uchezaji wake hataweza. Hapo kwa Lukaui weka Havertz na wka Havertz weka Mount na kwa Mount weka Werner, Kwa Christansen weka Silva na kwa Azpi weka Christansen, kwa JAmes weka Azpi na game kuishinei. Jumapili Pulisic asicheze kabisa. Odoi kama kapona sub, Cheek sub, Luka sub, Kepa sub kama tutakwend akwenye matutaMechi ya kwanza vs liverkuku msimu huu
Hii James alikula umeme
Tulianza hivi View attachment 2129600
Kwa silimia kubwa Kova hatacheza, mtu ambaye yuko 50/50 kucheza ni Odoi, James 25% Ziyech na Kova bado hawajatadhminiwa ukubwa wa majeruhiHii mechi ya Fainali mpango mzima ni sisi kwenda kwenye mikwaju ya penati, Keppa akatutoe kimasomaso.
Liverkuku wako bora kila mahali zaidi yetu, tukicheza kama wao wanavyotaka tutaumia.
Twendeni na ulinzi shirikishi, tufunge njia zote, nafasi zote.
------------- PULISIC ------ HARVTEZ --------------
ALONSO - KANTE - JOG - KOVACIC - AZIP
---- RUDGER --- SILVA --- CHRISTENSEN ---
Alicheza dhidi ya team moja jina limenitoka hiyo team ipo daraja la nneSijawah muona akicheza kama lwb,
Mara ya mwisho kumuona alikuwa anacheza kama namba 8/10 sikumbuki vzuri against brentford carabao