Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,922
- 236,506
Posts za magoli zina inch kama 8 hivi ambazo mpira ukienda huko kama kipa yupo katikati kifuatacho ni goli.Mmekariri.
Keppa magoli ya mbali huwa yupo hivo.... Hamna kilichobadilika.
Hiyo ndio weakness yake siku zote.
Humu ni chooni naingia muda wowoteAgreggate ya 7-1....
Hivi unapata wapi hata nguvu ya kuingia humu ndani?
Sawa... Unaweza ukaingia....Humu ni chooni naingia muda wowote
Natamani nipate video nikuoneshe goals alizofungwa mendy halafu nikuoneshe na goal alizofungwa Keppa.Posts za magoli zina inch kama 8 hivi ambazo mpira ukienda huko kama kipa yupo katikati kifuatacho ni goli.
Nafikiri ni wewe pia tulikua tunaongelea goli la Mendy na wiki hiyo makipa walifululiza kupigwa magoli ya mtindo kama wa leo akiwemo Neuer.
Yaani ni kwamba Kevin ana mpira na ni right footer anayeonekana yupo kwenye move kuelekea kushoto so kipa ataassume huyu right footer shuti litakuja upande wa kulia kwangu (Kushoto kwa atakayeshoot) hivyo anajitahidi kuendana na hii movement.
Shooter akiwa composed na kupress technically badala ya kutumia nguvu kinachotokea ndicho ulichokiona kwamba mpira sasa hauendi tena kushoto bali utaenda kulia ila saa hii utakua curved kuzifuata zile inch 8.
Hapo kipa yeyote hachomoki, Juzi Ter Stegen kapigiwa kama hiyo na Benzema akaiona kwa vile alikua ametokea angebaki golini kingekua chuma. Huyo Mendy amefungwa goli la aibu na Saka na amefungwa goli la aibu na Masuaku nini kinakuaminisha kwamba goli la kiutaalamu kama hili angeokoa?
Hapo kwenye kujiposition ndicho ninachokuambia kwamba kipa ili azuie goli lile hapo inabidi akajiposition kule pembeni jambo ambalo kipa mwenye akili timamu hawezi kulifanya as ataacha upande mmoja uko wazi ili kuanticipate hiyo curved ball ya kuliaNatamani nipate video nikuoneshe goals alizofungwa mendy halafu nikuoneshe na goal alizofungwa Keppa.
Labda utanielewa.
Mendy anajiposition vizuri sana mipira ya mbali.
Tafuta saves za Mendy zipo nyingi sana youtube.Hapo kwenye kujiposition ndicho ninachokuambia kwamba kipa ili azuie goli lile hapo inabidi akajiposition kule pembeni jambo ambalo kipa mwenye akili timamu hawezi kulifanya as ataacha upande mmoja uko wazi ili kuanticipate hiyo curved ball ya kulia
Mnajadili mambo yenu au mnakata miuno yenu?Wanaume tumekaa tunajadili mambo ya timu yetu, ase8 na nyumbu wanajipitisha mbele yetu wamevaa kanga moja imelowa maji huku wanatingisha wowowo.
Timu yako Nusura ishikishwe ukuta na Cotinho...Mnajadili mambo yenu au mnakata miuno yenu?
Sisi tumevutiwa na hio miuno yenu ya paka chongo baada ya kutiwa bao moja ndio maana hatubanduki hapa, nao mimba ishakua kubwa kenge anakaribia kuzaa.
Hamna timu pale tumejaza milevi tu ya kiingereza inayolipwa mishahara mikubwa.Timu yako Nusura ishikishwe ukuta na Cotinho...
Amka usingizini.
Game ya leo plan aliyoingia nayo tuchel ilikuwa sahihi shida ikawa kwa wale front 3 wakishindw kutimiza maagizo,
Msim uliopita tulimfunga city coz ya wachezaj walikuwa wanapress kuanzia kwa mabek wa city na kutowaruhus kutofanya build up yeyote
The only way tunayoweza kumfunga city ni kuwa na wachezaj wenye pace na wanaoanzia kupress mbel na ndicho klopp anachofanikiwa hicho akikutana na city
Pulisic+ Ziyech+Alonso sidhana kama wanamaajabu yoyote wanayoweza fanya,
Usajili wa lukaku sidhan kama tuchel alimuhitaji
Board ya tim inamfelisha tuchel kwa kutompa wachezaj wanaoendana na system yake
Tafuta saves za Mendy zipo nyingi sana youtube.
Angalia long shots kama hizo anajiposition vipi.
Kama wakat huu tuchel anashid na lwb n rwb tunakalia na habr za kumrejesha kenedy kweli,Niliwahi sema hapa huyo Lukaku TT hakumtaka kabisa ni bodi tu ilimleta. TT yeye alimtaka Haaland ila baada ya usajili kushindikana ndio wakaona walete hilo zigo.
Kama wakat huu tuchel anashid na lwb n rwb tunakalia na habr za kumrejesha kenedy kweli,
Kubaki kutegemea alonslow na azp kama wingback zetu ni majanga
Leo sterling alimfanya alonslow jins anavyotaka yeye,
Sahiv hata speed ya uchezaj wetu imepungua coz kuna wachezaj hawaendan na mpira wa haraka sasa