Sijawahi kumkubali Ndembele, Namuona kama mchezaji wa kawaida sana, sio mchezaji wa kuamua matokeo. Tunao wazuri kuliko yeyenaskia tt anapambana aletewe dembele wa barca
ao unaowasemea n kama chiessa bowen mbappe kuwapata n vigumu sana labda tumrudishe hazard uku tukiwa tunatafta mbadalaSijawahi kumkubali Ndembele, Namuona kama mchezaji wa kawaida sana, sio mchezaji wa kuamua matokeo. Tunao wazuri kuliko yeye
Usajili wa Chelsea utakaofuata uwe wa kuleta mchezaji mwenye kuamua matokeo iwe ni mshambuliaji, kiungo au beki
vp ulimuona hall kwenye mech ya fa[emoji54] dogo anaitaka namba ya alonso kwa nguvMuache aondoke na yy kwani dunia nzima ndio beki bora tutapata tu
Nilimuona mkuuu na niliongea sku hyo hyo mkuuuvp ulimuona hall kwenye mech ya fa[emoji54] dogo anaitaka namba ya alonso kwa nguv
naona ameona penye mshono na yeye anapiga apoapo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] alonso kila sku abadlk sjui ndo uzee an makosa yaleyale ambacho amebakza anajua n kupiga zile faul zakeNilimuona mkuuu na niliongea sku hyo hyo mkuuu
Umri nao unakwenda si kumlauku sana mkuunaona ameona penye mshono na yeye anapiga apoapo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] alonso kila sku abadlk sjui ndo uzee an makosa yaleyale ambacho amebakza anajua n kupiga zile faul zake
kwely ameshafanys makubwa n mda wa kuenda kupumzika sasaUmri nao unakwenda si kumlauku sana mkuu
Mchezaji wetu halafu wanatufanyia hivyo ?[emoji599]BREAKING : Lyon have rejected an approach for Emerson worth £3.3m from Chelsea and their club President Jean-Michel Aulas is under pressure to ignore Chelsea, however Chelsea still think a compromise can be reached. #CFC
[Simon Johnson and Mark Carey - The Athletic]
naona tumekaziwa kumchukua mchezaj we2 ad tulitoa na hela[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kuna tm so za kuwapa wachezaj kwa mkopo
TT anaanza kuzeeka vibaya, mchazaji gani huyo anamtaka!! Si bora amchukue tu PEPE wa Arse88 kuliko huyo mduanzi.naskia tt anapambana aletewe dembele wa barca
Shida ni mkataba,Mchezaji wetu halafu wanatufanyia hivyo ?
Hizi zingine zinaweza zikawa n tetesi Tu z media ngoja tuone msimu WA kiangaziTT anaanza kuzeeka vibaya, mchazaji gani huyo anamtaka!! Si bora amchukue tu PEPE wa Arse88 kuliko huyo mduanzi.
Tupo tuliokunywa maji ya bendera ya ze bluesKilalaheri THE BLUES, hope tutavuka next round, mnaotuwakilisha leo kuangalia hii mechi kilalaheri. Leo chama langu litanisamehe hapa uzingizi tani laki 6.