Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Pole sana. Man City amfunge Chelsea? Chelsea ni moto wa kuotea mbali ni club Bingham na bora Duniani mkuu. Chelsea siuo Arsenal.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] isikize hii kenge, yaani leo kubahatisha draw na liver ndio mnaleta jeuri???
Tena mkiendelea kuleta zereu mnapigwa gemu zote mbili sio draw tena kenge wa darajani nyinyi.
 
Karudie kuliangalia hilo goli. Salah aliwadanganya wakapotea maboya. Chalobah kile kichwa sijui alitaka kuvumbua nini. Ila kwenye kufunga hata angekuwa Buffon angeweza kufungwa tu. Salah ni hatari yule raia!
Goli likishaingia ni hatari ila lingepanguliwa hasa na Mendy ingekuwa stori nyingine, posture yake haikuwa ya kigolie, wewe kamuangalie Mendy again
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] isikize hii kenge, yaani leo kubahatisha draw na liver ndio mnaleta jeuri???
Tena mkiendelea kuleta zereu mnapigwa gemu zote mbili sio draw tena kenge wa darajani nyinyi.
Jifunze kutoa opinion mkuu bila kutumia abusive language. We have to respect each other.
 
Next game tarehe 15 wana Man City halafu anakuja Tottenham.
Hapo kuna sare moja na kipigo kimoja.
Hawa Europa inawahusu kabisa msimu ujao.
City wameshachoka, mechi za hivi karibuni wamekuwa wakishinda kwa bahati, tukienda na mentality ya leo na Kante, Kova wakiwa wazima city atatoa droo ndio ushindi wake
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] isikize hii kenge, yaani leo kubahatisha draw na liver ndio mnaleta jeuri???
Tena mkiendelea kuleta zereu mnapigwa gemu zote mbili sio draw tena kenge wa darajani nyinyi.
Liverpool leo hata kwenye vitanda vyao wanamshukuru Mungu. Hakuna siku Liverpool wamebutua kama leo, kama sio mistakes za mabeki zetu Liver leo angelala chali darajani. Chelsea baada ya goli mbili waligeuka mbogo hadi mpira uishe
 
Tutolee ujinga wako hapa, Mendy bado yuko vizuri sana.
 
City wameshachoka, mechi za hivi karibuni wamekuwa wakishinda kwa bahati, tukienda na mentality ya leo na Kante, Kova wakiwa wazima city atatoa droo ndio ushindi wake
Tumewaburuza hapo darajani with 0 shots ona Target sijui unataka kusema Nini [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Game ya arsenal tulikuwa na uchovu Kwan tumekaa siku mbili tu tunakutana na arsenal ambayo imekaa wiki nzima haijacheza inafanya training ya kumfunga city [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Bado arsenal akala kichapo .....

Sembuse Chelsea ....keeep watching
 
Tukikupigia mpira kama tuliompigia liver leo hitoki
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…