Ridomil gold
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 2,787
- 2,233
Nakubali mwamba 42774277 tupo pamoja tangu siku imeanza leoHiu mpira tuliocheza mpaka tunascore hizi goal mbili hapa mwisho ndio mpira tunatakiwa kucheza tukikutana na timu za calibre ya Liverpuru.
Ni mwendo wa kupiga mawe tu.
Tumekosa goal mbili za wazi kabisa.
The bluesSisi ndio chelsea
Shekhe heshima yako vip cr7 anasemaje kibabu cha makumbusho ilaman u ndio ingekuwa kma Chelsea hakika ingekuwa tabu saanMnauawa huku
Kante ni bonge la mchezaji, very inteligent.Yule aliyesema pulisic mzigo, happy New year kwako!
Ha ha jana wanaume wamekumekumwagia maji ssa unatikisa taaarabutaito kontenda
Ng'olo Kante ni mtu na nusuKante ni bonge la mchezaji, very inteligent.
Hata hivyo naona mentality ya timu imebadilika na Liverpool ni wabovu nyuma kuliko hata Chelsea
Chelsea shida kubwa iko kwa Chalobah, tangu arudi majeruhi form yake bado haijarudi
Kule mbele bado wale watoto akina Mount an Havertz wanaremba wakipata mpira
Tulia wwBora tupigwe kuliko kumuonea Lukaku wakati kasema ukweli. Unatuwekea vifaranga mechi ya wanaume ili upate wapi ushindi?
Mimi nasimama na Mwl, Lukaku ana uhuru wa kusema ila hapa hajachambua cha kusema.Hii game kubwa hata kama Lukaku ametoa maoni yake na Tuchel amechukizwa angempanga tu kisha hayo yangefuta baadaye.
Mchezaji kama Lukaku kuwepo kwake tu pale mbele ingekuwa game ya zote pande mbili.
Subiri moto wa second half.Kenge wa darajani japo mmeanza kwa kuzingua ila naomba niwapongeze maana kuanzia dakika ya 38 mmepiga mwingi sana mpk liverkuku wakapoteana.
Kumbe mnajifanyaga fanyaga tu ******* kumbe kukaza makalio mnajua.
Hii gemu mkishinda OllaChuga Oc atatusumbua sana jukwaani.
Mkuuu Stefano MtangooNaona wanakomaa ila ndio 2 - 0
Huyo achana naye anahama kama bendera inavofata upepo.Mkuuu Stefano Mtangoo
Sasa ni
2_2
Ha ha kweli leo hawa kuku wetuHuyo achana naye anahama kama bendera inavofata upepo.