Hakuna takataka yoyote inatamani kukutana na full mziki wa chelsea.Afadhali leo mmeanza kuuona ubovu wa kikosi chenu ambacho mlikuwa mnadhani kinaogopeka[emoji3].a
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini asipewe huyo aliyetuzidi kila kitu?Nayo mlichukua kwa kiwango cha tundu la sindano(kubahatisha) lakini kwa uhalisia milizidiwa kwa kila kitu.
Sisi ni mwendo wa kupiga kwenye mshono tu. Hakuna huruma.wametoka kuchezea kipigo ujue
Mashine Ngolo Kante umesikia imekufa?niko na nyie bega kwa bega, usije kukimbia jukwaa hapa, unaenda kumfunga liva na hawa watoto kina mount
Lete arsenal yako uone tunavyoipasuapasua.
Hii timu haikuhusu katafute timu yakoPunguza shobo
[emoji1787] Somehow umejitahidi kuwa Honestkocha ni mzuri sana, kuchukua uefa na akina rudiga na silva naa christiansen ni ishara kuwa aliweza kukamua ubora wa juu zaidi kutoka kwa wachezaji avarage, mpeni wachezaji, kwa sasa hakuna pa kujificha timu zinahitaji vikosi vipana ambavyo vimesheheni wazee wa kazi wanaojua wanachokifanya uwanjani sio kina mount wana kariba ya uchoyo utadhani wanataka balon dor
Tukifanya usajili hata wa watu wawili tu, tutakusanya points hamtoamini.HII RATIBA [emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 2062368
Tufanye na usajili wa kocha piaTukifanya usajili hata wa watu wawili tu, tutakusanya points hamtoamini.
Hii siyo Arsenyeto.Hii timu haikuhusu katafute timu yako
Tuuze yule Arteta maana ameshindwa hata kutupeleka kwenye kombe la ulaya kwa viti maalumu.Tufanye na usajili wa kocha pia
football is a fair game my nigga🤣 inatakiwa timu ziwe imara ili mashibiki tuenjoy kutazama, sio unaangalia mechi kila siku ni makosa unaona[emoji1787] Somehow umejitahidi kuwa Honest
kai yuko nje kwa covid, na kale ka mwili kama njiwa atachukua muda sana ku recoverMashine Ngolo Kante umesikia imekufa?
Kai Harvetz hizo ndio match zake.
Sasa wewe sema Chelsea mbovu tar 2 usije sema hukuambiwa.
labda kama wana mgomo, hivi hivi lazima mnyoleweSisi ni mwendo wa kupiga kwenye mshono tu. Hakuna huruma.
Not granted kwamba tutanyolewa.labda kama wana mgomo, hivi hivi lazima mnyolewe
Kante na Havertz wote ni wazima na jana walikuwepo sub.kai yuko nje kwa covid, na kale ka mwili kama njiwa atachukua muda sana ku recover
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji115][emoji115][emoji115] tazameni kenge hiiHakuna takataka yoyote inatamani kukutana na full mziki wa chelsea.
Hata Bayern Mwenyewe hawezi kutamani.
huyo kai akacheze mbele ya konateKante na Havertz wote ni wazima na jana walikuwepo sub.
usikimbie jukwaa siku ikifikaNot granted kwamba tutanyolewa.