nyangelekene
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 498
- 383
Ongeza sauti πππMimi naona tatizo ni kocha kwani wachezaji hawa hawa si ndiyo wamechukua uefa? Na sasa hivi kaongezewa Lukaku na Saul.
Na yeye ndiye alituhakikishia hii timu itakua inaogopwa.
Mimi naona kocha hatufai.
Tuchel ametutapeli. Kocha hatufai huyuNayo mlichukua kwa kiwango cha tundu la sindano(kubahatisha) lakini kwa uhalisia milizidiwa kwa kila kitu.
Hii timu ina kikosi kipana kocha afukuzweShida sio mfumo, shida ni kukutwa na majeruhi +covid, sidhan kama kunatim ambayo imekutwa na majeruh mengi+ covid kama sisi,
Kuna mechi tuliwah kuwa na wachezaj 13 tu walio fit,
Shida nyingine ni kutokuwa clinical katika umaliziaji, hawa watoto wanashindwa kufanya maamuzi sahihi katika wakat sahihi.
Mount alikuwa mzuri naona karidhika kama kawaida ya wachezaji wengi wa kiingerezaPulisic, Odoi, Ziyech, Cheek, Barkey, Alonso waondolewe kikosini wanatupotezea muda tuu. Hawa wachezaji ukiwapeleka pale city hawapati nafasi kikosini hata ikifanyika rotation.
City anafanya vizuri kwa sababu ana kikosi kipana chenye wachezaji wenye uwezo mkubwa unaokaribiana.
Sisi hapa 1st eleven yenyewe matakataka mengi huko kwenye benchi ndio hamna kitu.
Tuache kusifia ujinga the BLUES wachezaji wengi ni wa kawaida sana.
Huyo MOUNT tunayemsifia ni wa kawaida sana sioni anachofanya uwanjani zaidi ya kukimbia kimbia tuu uwanjani.
Sawa majeruhi wapo lakini pia wachezaji wetu wana uwezo wa kawaida sana.
Kocha aende sisi tumezoea kushinda tukocha ni mzuri sana, kuchukua uefa na akina rudiga na silva naa christiansen ni ishara kuwa aliweza kukamua ubora wa juu zaidi kutoka kwa wachezaji avarage, mpeni wachezaji, kwa sasa hakuna pa kujificha timu zinahitaji vikosi vipana ambavyo vimesheheni wazee wa kazi wanaojua wanachokifanya uwanjani sio kina mount wana kariba ya uchoyo utadhani wanataka balon dor
Droo matusi hivyo je mkitufungaMnakwenda kwenye chupa za mirinda nyeusi kenge nyie.
Pulisic naye ni injury proneUlitegemea afanyaje, wakat wachezaj wenyewe kila siku wanaumia,
James ndio huyo injury tumebakiwa na azp na alonso kama rwb$lwb, tumekwisha
Anyway zipo game pulisic or odoi washawai cheza kama rwb/lwb tangu tuchel aje
Tusi liko wapi hapo?Droo matusi hivyo je mkitufunga
tucheleweeee
Na nyie bahatisheni mchukue kama ni rahisiNayo mlichukua kwa kiwango cha tundu la sindano(kubahatisha) lakini kwa uhalisia milizidiwa kwa kila kitu.
Hapa kuna maumivu zaidiHII RATIBA [emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 2062368
Sawa timu imejaa injuries lakini ukiwa kama kocha kuna mda inabidi ubadilishe mfumo kutokana na wachezaji aliokuwa nao sio kila mechi mfumo mmoja huwezi kupata matokeo kwa namna hiyoUlitegemea afanyaje, wakat wachezaj wenyewe kila siku wanaumia,
James ndio huyo injury tumebakiwa na azp na alonso kama rwb$lwb, tumekwisha
Anyway zipo game pulisic or odoi washawai cheza kama rwb/lwb tangu tuchel aje
Hakuna timu ambayo haipati majeruhi tuache kujitetea kwenye hili huwezi kulazimisha mchezaji acheze position sio yake ikiwa una uwezo wa kubadili mfumoShida sio mfumo, shida ni kukutwa na majeruhi +covid, sidhan kama kunatim ambayo imekutwa na majeruh mengi+ covid kama sisi,
Kuna mechi tuliwah kuwa na wachezaj 13 tu walio fit,
Shida nyingine ni kutokuwa clinical katika umaliziaji, hawa watoto wanashindwa kufanya maamuzi sahihi katika wakat sahihi.
Wewe ndio utulie... maana nineshachukua nafasi yako uliyokuwa unairingia.Kaa kwa KUTULIA...MUDA NI MWALIM MZURI
Hatutawahi shiriki hayo mashindano ya viti maalumu.Mwakani uefa conference ndy mashindano yenu
Mkija humu muwe mnataja na timu zenu.Wana raha gani mpaka walale hadi muda huu, amkeni kenge nyie kabla Dany Welbeck hajawamwagia ndoo ya maji.
We shinda hapo. J2 ndio siku ya kusafisha matakataka kama wewe humu ndani.Sasa ukisikia maiti kagoma kuingizwa ndani ya jeneza ndo j'pili hakika watavunjana miguu hawa viumbe,na mwisho wa game wataambulia point 1/1.
Punguza shoboMimi naona tatizo ni kocha kwani wachezaji hawa hawa si ndiyo wamechukua uefa? Na sasa hivi kaongezewa Lukaku na Saul.
Na yeye ndiye alituhakikishia hii timu itakua inaogopwa.
Mimi naona kocha hatufai.