Mbona mnawashwa sana na hii Chelsea.Nyinyi hamna team hapo, na huu msimu kama TUCHELEWE ataendelea kuwa kocha hapo ni lazima mcheze Europa League, sioni namna yoyote ya nyinyi kuwa top four.
Nyee Nyee Nyeee.....tunafungwa kwasababu ya kikosi, haya leo mpo full mnafanya nini?
Hujamuelewa huyo alikuwa ana wadhihaki kunguni zilizovamia Uzi wakati WA game[emoji23]Kwahiyo mkuu Chelsea akifanyiwa faul golini unataka asipewe penalty. Mbona jana man City kafunga goli sita Leicester na penalties 2 zake ni za halal?
Mbona mnawashwa sana na hii Chelsea. Kwani Chelsea amewakataza msishinde au msipewe penalties? Kwann usiache kila timu ipambane na hali yake?
Mbona Chelsea inawanyima sana usingizi?
Mi nafikiri kila timu ishinde mechi zake.
Bila shaka wewe utakuwa shabiki wa Arsenal,maana mashabiki wa Arsenal mda wote mnaongea kama walevi.Tunataka magoli ya penati tuu.
Penati chakula chetu nyamnyam
Ohoo kumbe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Cash Money Forever samahani sikujua kama wewe ni wenzetu[emoji28][emoji28]Hujamuelewa huyo alikuwa ana wadhihaki kunguni zilizovamia Uzi wakati WA game[emoji23]
Naamini umeumia sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]akiingia lukaku hii mechi tunashinda wazee
Hata mimi namshangaa Mendy yule wa mwanzoni sio huyu tangu lile goli la Masuaku na ile penalti aliyowapa hao hao westham Mendy amekuwa hana concetration ya kuendana na hadhi yake na hadi ya ChelseaHata wale pundit waliokuwepo darren bent n hoddle wanasema pale mendy alifaaa afanye save wakaanza kuanalyze hadi kuna chance moja ya watkins wakisema mendy wa mwanzon mwa msim angekuwa ashatoka golin.
Ni tim zote sio sisi,Kwann Chelsea amecheza mechi ya marudiano dhidi ya Aston Villa wakati bado mzunguko wa kwanza hajamaliza
nilitabiri halafu niumie mkuu, mi kwangu shereheNaamini umeumia sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2059174
and thats exactly why you were struggling in the first half, your foward line wasnt scary. leo saa tano kosi la dunia liko dimbani usipange kukosa burudani kutoka kwa vijana wenye vipaji lukuki🤝Game management from a player coming from injury layoff
Ni tim zote sio sisi,
Jana yule Lukaku OG kaonekana Villa Park, akikamata mpira anajua kuulinda aidha umchezee rafu au umpishe akafunge
Kuanzia mechi ya jana na zijazo tutakuwa tunamuona Lukaku OG, mobile na sio static. Hayo ndio maelekezo kocha kampa Lukaku wakati anaingia. Asisimame sehemu moja tu awe na movement na ndio iliyotupa goli la pili na penalty
Wachezaji wote huwa wanakuwa na nyakati mbaya. So ni kawaida tu, atarudi.Hata mimi namshangaa Mendy yule wa mwanzoni sio huyu tangu lile goli la Masuaku na ile penalti aliyowapa hao hao westham Mendy amekuwa hana concetration ya kuendana na hadhi yake na hadi ya Chelsea
Ile deflection angekuwa hata Kepa angepunch itoke nje
Odoi kaanza kuitwa national team kabla ya sakaKuna vitu odoi inabidi ajifunze kutoka kwa SAKA ,bila hivyo ataendelea Julia kwanini haitwi kwenye timu ya taifa
Kama hawatomlisha mipira tusitegemee hilo, mtu ana nafasi mbele hata mipira mirefu hawataki kumpa, mipira ya krosi kutoka pembezoni hawataki kupiga na nafasi wanazo Ndicho kinachouzi.Jana yule Lukaku OG kaonekana Villa Park, akikamata mpira anajua kuulinda aidha umchezee rafu au umpishe akafunge
Kuanzia mechi ya jana na zijazo tutakuwa tunamuona Lukaku OG, mobile na sio static. Hayo ndio maelekezo kocha kampa Lukaku wakati anaingia. Asisimame sehemu moja tu awe na movement na ndio iliyotupa goli la pili na penalty
Mkuu usihangaike na virobot...Kwahiyo mkuu Chelsea akifanyiwa faul golini unataka asipewe penalty. Mbona jana man City kafunga goli sita Leicester na penalties 2 zake ni za halal?
Mbona mnawashwa sana na hii Chelsea. Kwani Chelsea amewakataza msishinde au msipewe penalties? Kwann usiache kila timu ipambane na hali yake?
Mbona Chelsea inawanyima sana usingizi?
Mi nafikiri kila timu ishinde mechi zake.
Umasikin ,ujinga na Chelsea ni adui wakubwa wa taifa letu kwa Sasa .......
Chelsea ni janga la taifa ,kimbia kama umeona kirusi mkuu ....We jamaa huwa unahangaika sana. Huwa una pandikizi chuki za kijinga kichwani mwako. Toka Chelsea achukue uefa mbele yako umekuwa na chuki sana