Mtashindaa msijari,subiri Kante aingie na Ross maana Jorginho na cheek wote Wana yellow card Lazima MMOJA au wote watatoka Kuepusha red cardShida ni ile ile hatuko makini kwenye umaliziaji wa chance zetu, tunakosa chance nyingi na za wazi matokeo yake gme inaisha draw
Mkuu achana na hii timunitakupa pressure bureeHatimae tumedondosha point 2 kwakweli safari ya ubingwa itakuwa ngumu sanaaa
Timu inacheza pasi nyiingi kama asenane ila haishambulii
Back pass zimezidi mabeki ndio wanacheza sana mpira. Why!?
Pass zikiwa nyingi na hamshambuli mfululizo ni ujinga tu
Namwonaea Huruma TT kama ndio anawafundisha hivi basi jamaa hawatamvumilia
Why timu ibadili uchezaji within a month tu
Inakera sana
Lazima tuseme ukweli
Kwa mtu anayetazama.mechi za hivi karibuni atanotise hii timu haiko sawa
Usiniamie majeruhi yametuathiri wakati falasaf ya uchezeaji ni ya kocha
Cheese kama gari la mkaa, sasahivi niwakati wa kurudi garage, tulikuwa tunasema humu mashabiki wa cheese bado sana kujiesabia ubingwa,amna timu ya kushindana 😁😃😃😃Hii timu imekata moto mapema sana
nmeshangaa jamaa anaandika nn....Mkuuu mbona tunacheza vzr tu
Bench la leo uliliona mzee... na weekend tuna match...Timu inaunga unga kama nini aiseee kweli inawategemea akina Saul hovyo kbsa yaaan Timu bila akina Ben chilly ngola kovac hakuna timu ni taka taka tu kma taka taka nyingine hLafu kile ki babu cha Spain kiuzwe chaloba beki inatulia
Boss we ni timu ipi unaizungumzia...Hatimae tumedondosha point 2 kwakweli safari ya ubingwa itakuwa ngumu sanaaa
Timu inacheza pasi nyiingi kama asenane ila haishambulii
Back pass zimezidi mabeki ndio wanacheza sana mpira. Why!?
Pass zikiwa nyingi na hamshambuli mfululizo ni ujinga tu
Namwonaea Huruma TT kama ndio anawafundisha hivi basi jamaa hawatamvumilia
Why timu ibadili uchezaji within a month tu
Inakera sana
Lazima tuseme ukweli
Kwa mtu anayetazama.mechi za hivi karibuni atanotise hii timu haiko sawa
Usiniamie majeruhi yametuathiri wakati falasaf ya uchezeaji ni ya kocha
Si Mna kikosi kipana jamani,Shida ni Nini? Au mpaka kikosi ambacho kilikuwa na kismart Cha kuchukua uefa kiwepoo ndo Muna maajabu?Bench la leo uliliona mzee... na weekend tuna match...
Bado wachezaji wanaoumwa corona hawajaongezeka.
Mwambieni kocha abadili tactics na system Kutokana na timu anayo kutana nayo,Siku zinakujaa.Kuna wahuni watakuja kumgonga mchana buree kabisa Yani bila hata clean sheet.Katika game ambazo huwa tunapoteza nafasi nyingi ndio ambazo huwa zinaisha kwa draw, tunatengeneza nafasi nyingi za kufunga bt hatuzitumii.
Kuna haka kaugonjwa sasa hiv tumekuwa nako tukipata goal 1 tu tunakuwa tumeridhika tunawapa uhuru wapinzan warudi mchezoni, tunashindwa kumaliza game mapema
Mwezi huu utakuwa mrefu sana kwetu, katika game za kushinda ndio tunadondosha point, utasema chilwell ndio funguo ya tim, tangy aumie tim yetu imekuwa sio yenyewe kabisa
Acha bange we timu yako kikosi cha pili kina maajabu gani?Mwambieni kocha abadili tactics na system Kutokana na timu anayo kutana nayo,Siku zinakujaa.Kuna wahuni watakuja kumgonga mchana buree kabisa Yani bila hata clean sheet.
Timuu ganii hiyo inayo tegemea kikosi Cha Kwanzaa tuu Ili kipate ushindii????ikitokea mabadiliko timu inapwayaa???? Hiyo siyo timu ni gengee la Wanywa pombee.
Kwahiyi hata ukikuta chelsea kapiga pasi 900 kwa mechi usistuke cha msingi angalia ubao unasoma vipi si ndio?Hatimae tumedondosha point 2 kwakweli safari ya ubingwa itakuwa ngumu sanaaa
Timu inacheza pasi nyiingi kama asenane ila haishambulii
Back pass zimezidi mabeki ndio wanacheza sana mpira. Why!?
Pass zikiwa nyingi na hamshambuli mfululizo ni ujinga tu
Namwonaea Huruma TT kama ndio anawafundisha hivi basi jamaa hawatamvumilia
Why timu ibadili uchezaji within a month tu
Inakera sana
Lazima tuseme ukweli
Kwa mtu anayetazama.mechi za hivi karibuni atanotise hii timu haiko sawa
Usiniamie majeruhi yametuathiri wakati falasaf ya uchezeaji ni ya kocha
Chelsea akikosa ubingwa sio kama hakupambana bali tu bahati haikuwa kwake.angalia mechi ya bunley alidraw lakin walikosa magoli mengi sana. Angalia eveeton ka draw ila angalia chances alizokosa mount na james .ingekuwa bado chelsea anaongoza ligi hadi sasa ila ndio mpira.akitokea mtu huko kibonde maji akianza kuiponda chelsea namshangaa sana atakuwa sio mtu wa mpira kabisa bali ni mtu wa somo la historia ya timu zilizochukua ubingwa mara nyingi akiwa yeye hajazaliwa.Kwahiyi hata ukikuta chelsea kapiga pasi 900 kwa mechi usistuke cha msingi angalia ubao unasoma vipi si ndio?
Wao watulie na kikosi chao mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Si Mna kikosi kipana jamani,Shida ni Nini? Au mpaka kikosi ambacho kilikuwa na kismart Cha kuchukua uefa kiwepoo ndo Muna maajabu?
Kina Saul mlichukua wa Nini? Kina Ross muliwarudisha wa Nini Wakati Aston villa walikuwa wanakiwasha,
Vipi kina Lukaku Epl iliyo washinda,mliwarudisha wa niniii!!!
Exactly [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwahiyi hata ukikuta chelsea kapiga pasi 900 kwa mechi usistuke cha msingi angalia ubao unasoma vipi si ndio?