Vibabu vinanuka ugoro vinapendwa na vibinti vizuri tena vyeupe paa,sembuse halaand kwa chelsea achana na pesa wweTatizo linakuja halaand haipendi the BLUES
Ni timu ya kawaida ukilinganisha na nani?Mkuu nyinyi si mnasemaga mnakikosi kipana,Vipi sasa mpaka wachezaji wote warudi?
Mpaka warudi mtakuwa nafasi ya 5 huko tofauti ya points 21 na Liverpool.
Timu yenu ni ya kawaida sana,ni swala la muda tu ,mkiambiwaga hamsikii.
Mkuu timu yenu pumzi imekata kwa sasa hapo ndio Epl.
Sasa hivi kila mechi mnaruhusu goli za kutosha.
Hiyo match ilibidi ichezwe january katikati hivi ili hao Kunguni wajue timu yao ni takataka kiasi gani.Kocha wako mwenyewe anajua Chelsea sio timu ya kawaida ndo maana anahangaika kuwabakiza kina mane n Salah [emoji23] mechi ya tarehe moja mwaka mpya wawepo ....sasa wewe upo mbinga huko unaleta husda zako Tu na kelele kibao
Mpuuzi sana huyu jamaa.Mino Raiola sasa aigeukia Chelsea, nadhani anaiona Chelsea ndio pekee kwa sasa ina mahela ya kumninua Haaland
Kweli mkuu siwanakikosi kipana hawa? Walikuwa wanajitapa saivi wanalia lia kuhusu majeruhi ya kante, kovacic na Chilwell.Mkuu nyinyi si mnasemaga mnakikosi kipana,Vipi sasa mpaka wachezaji wote warudi?
Mpaka warudi mtakuwa nafasi ya 5 huko tofauti ya points 21 na Liverpool.
Timu yenu ni ya kawaida sana,ni swala la muda tu ,mkiambiwaga hamsikii.
Mkuu timu yenu pumzi imekata kwa sasa hapo ndio Epl.
Sasa hivi kila mechi mnaruhusu goli za kutosha.
Yaani unaongea useless mkuu, kwamba klopp ang'ang'anie mane n salah kwa sababu ya chelsea? Kwanza sisi wenyewe hatuna majigambo kama yenu ya kuwa tunakikosi kipana na hilo lipo wazi je' nyie wenyekikosi kipana?Kocha wako mwenyewe anajua Chelsea sio timu ya kawaida ndo maana anahangaika kuwabakiza kina mane n Salah [emoji23] mechi ya tarehe moja mwaka mpya wawepo ....sasa wewe upo mbinga huko unaleta husda zako Tu na kelele kibao
Mkiambiwa ukweli mnasema wivu na chuki.Ana wivu na chuki mbaya sana kama mchawi
Kikosi kipana kipi hicho ingali wanalia first eleven wengi ni injuries ndo chanzo Cha matokeo mabovuYaani unaongea useless mkuu, kwamba klopp ang'ang'anie mane n salah kwa sababu ya chelsea? Kwanza sisi wenyewe hatuna majigambo kama yenu ya kuwa tunakikosi kipana na hilo lipo wazi je' nyie wenyekikosi kipana?
Garagher ni moto Gilimore bado sanaMuondoe Cheek hapo, tatizo lake la kung'ang'ania kukaa na mpira hadi ananyang' anywa linajulikana na ni minor tofauti na potential aliyonayo. kwenye attacking Cheek ni mzuri sana hata kwenye kukaba. nimespot scenes nyingi za kushambulia na kikaba anajua kiblock na kuwin second balls sio zaidi ya Kante na Kova lakini anakua kwenye hayo maeneo. Sasa hivi anaanza kwa sababu wenye hizo nafasi wako majeruhi. mimi naamini Cheek akimaliza msimu huu na TT akipata minutes za kutosha msimu ujao atatisha japo ushindani utakuwa mkubwa hasa wakirudi Garagher na Gilmour
Atalipwa pesa ndgo hyo mkuu kwa ibraHahahaha[emoji1787] umeua kaka. Sasa the blues tupo tayari kumlipa mshahara wa £450k kwa wiki?
Gilmour Kwa Aina Yake yupo vizuri mbonaGaragher ni moto Gilimore bado sana
Mkuu nyinyi si mnasemaga mnakikosi kipana,Vipi sasa mpaka wachezaji wote warudi?
Mpaka warudi mtakuwa nafasi ya 5 huko tofauti ya points 21 na Liverpool.
Timu yenu ni ya kawaida sana,ni swala la muda tu ,mkiambiwaga hamsikii.
Mkuu timu yenu pumzi imekata kwa sasa hapo ndio Epl.
Sasa hivi kila mechi mnaruhusu goli za kutosha.
Kwani mpo nafasi ya ngapi na liverpool ni nafasi ya ngapi?Chelsea ingekuwa timu ya kawaida msingekuwa mnakesha humu. Yaani timu iwe ya kawaida alafu uje ukomenti kwenye uzi wake? Realy!
Chelsea ni timu inayowanyima usingizi EPL nzima. Na ndiyo maana kutwa mpo hapa kuiponda[emoji23][emoji23]
Acheni wivu za kima mama. Mpira ni burudani mkuu.
Huyu dgo Gallagher ana hatari sana game ya leo ya Everton amefanya mambo ya hatari sana natamani January arudi kundini
Kwani mpo nafasi ya ngapi na liverpool ni nafasi ya ngapi?
Kama nyie mnavyokujaga kwenye uzi wetu? Inamaana sisi tunaogopana sio?Kwani kuwa kwenye nafasi fulani ndiyo nini?
Chelsea anaogopeka Na ndiyo maana kila muda mnakuja na hangover zenu humu kutukana. Tulizeni midomo yenu mpira hauchambuliwi ki kike kike ivo.
Huo ni mtizamo wa utoto, mtoto kuchagua chakula ni jambo la kawaida lakini akishakua atashika adabu, Dotmund hawezi kubaki, Real Madrid wamefocus kwa Mbape, Bacelona ndio hiyo imejifia kwa sababu ya corona. Kuja Chelsea sio uchaguzi ni lazima, labda Chelsea wamkataeTatizo linakuja halaand haipendi the BLUES