John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,537
- 3,042
Je Barkley ataiweza hyo nafasi ya CM/ DM Kwa ulinganisho huo ? Maana Barkley ni more Of A CAM nionavyo
- Saul asipewe tena hata dk 5
- Alonso amedowngrade quality ya Chelsea
- Silva ni wa muhimu pale nyuma
- Cheek ni mchezaji mzuri ila sio kwa katikati labda kule mbele
- Ziyech atulie, ana papara sana hasa kwenye kupasi
- Tunazidi kuishiwa option kama kweli Chalobah kaumia
- Saul 10 = 1 Barkley
Leo chelsea mnaongea haya!!!Yani ukiangalia mwezi huu tuna game 9 zimebaki kwa hali hii ya majeruhi kupata matokeo game zote ni ngumu sana halafu bado January kuna big match 3 kama tukiweza kutoboa hapo basi ubingwa wetu
Jorginho,werner,reece hao wote sio majeruhiKante, Reece, Kova, Chalobah, Chilwell, Jorginho and werner,, ni wangapi hao kama unajua hesabu
Kuaibika Ndo Nini,Unadhani Chelsea itamaliza ligi bila kufungwaaa[emoji28]saul bora asicheze tena , next match na west ham tukicheza kama jana tutaaibika
kufungwa kupo but how you loose the game , kuna match unafungwa lakin watu wanaonyesha kujituma ila match ambayo wachezaji wanacheza hovyo utapigwa goli nyingi ndo ibu yenyeweKuaibika Ndo Nini,Unadhani Chelsea itamaliza ligi bila kufungwaaa[emoji28]
Eti kuaibika!!!
Alichofanya Havertz kutoa pasi kwa mfungaji (nadhani ni Mount) aliye kwenye nafasi nzuri zaidi ya kufunga bao ndicho ambacho Odoi alipaswa kufanya siku ya mechi dhidi ya Man United kwa kumpasia Ziyech aliyekuwa kwenye nafasi nzuri zaidi ya kufunga bao. Uchoyo wa Odoi ulitukosesha bao muhimu.Mount 1st GoalView attachment 2030043
Sio hio tu hata game ya burnley, natumai atajifunza kutokana na hayo makosa still anaroom ya kuimproveAlichofanya Havertz kutoa pasi kwa mfungaji (nadhani ni Mount) aliye kwenye nafasi nzuri zaidi ya kufunga bao ndicho ambacho Odoi alipaswa kufanya siku ya mechi dhidi ya Man United kwa kumpasia Ziyech aliyekuwa kwenye nafasi nzuri zaidi ya kufunga bao. Uchoyo wa Odoi ulitukosesha bao muhimu.
Havertz ni mchezaji anayetumia akili sana tofauti na Odoi anatumia zaidi PhysicsAlichofanya Havertz kutoa pasi kwa mfungaji (nadhani ni Mount) aliye kwenye nafasi nzuri zaidi ya kufunga bao ndicho ambacho Odoi alipaswa kufanya siku ya mechi dhidi ya Man United kwa kumpasia Ziyech aliyekuwa kwenye nafasi nzuri zaidi ya kufunga bao. Uchoyo wa Odoi ulitukosesha bao muhimu.
Baada ya majeruhi ya Kova, Chilwell na kukosekana kwa Jorgninho na Kante timu ni kama inakosa stability kati na NyumaDaaah Chelsea hii sijui maana nakosa amani kabisa
Hiyo ni probably lineup kosi bado halijatoka mkuu....!!!
SureAlichofanya Havertz kutoa pasi kwa mfungaji (nadhani ni Mount) aliye kwenye nafasi nzuri zaidi ya kufunga bao ndicho ambacho Odoi alipaswa kufanya siku ya mechi dhidi ya Man United kwa kumpasia Ziyech aliyekuwa kwenye nafasi nzuri zaidi ya kufunga bao. Uchoyo wa Odoi ulitukosesha bao muhimu.
Yeah Jana kikosi kilishake Tu kuwakosa chilwell, Reece, kante, Kova, jorg, n hatarDaaah Chelsea hii sijui maana nakosa amani kabisa
Tegemea hilo hilo mkuu.Hiyo ni probably lineup kosi bado halijatoka mkuu....!!!
Mambo ya Manure si mwende kwenye jukwaa lenu au kule kwenu hampajui.
Wanaongoza ligi na wanaofuatia naona hawapo kwenye list. Hii inaonyesha kuwa Man city na Chelsea hawategemea washambuliaji kwenye kufunga, timu nzima inafungaHii frontline ya Liver inatisha sana.View attachment 2031137
Tumefunga goli 43, salah+jota+mane=28. Kwaio goli 15 nyingine zimefungwa na wachezaji wengine wastani mzuri sana.Wanaongoza ligi na wanaofuatia naona hawapo kwenye list. Hii inaonyesha kuwa Man city na Chelsea hawategemea washambuliaji kwenye kufunga, timu nzima inafunga