Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Labda pia majeruhi ya wachezaji muhimu yamewacost
Kutotumia nafasi zetu ndio kimetucost, na si majeruhi, maana nafasi za kufunga tumetengeneza ila tumeshindwa kuzitumia vizuri, hio ndio football,
 
Kule mbele bado kuna shida sana, bora mabeki waendelee kufunga. Ile chance ya Rudiger kama angetulia tulikuwa tunaondoka na pointi 3. Lakini yote kwa yote timu yetu now inacheza vizuri sana, shida ni kule mbele tu.
Mbona Mara ya kwanza mlijitapa hamkujua huko mbele ni wabovu...???
Niliwaambia ilikuwa kidogo tuwabutue kimoja bila.
Bahati yenu mshukuruni refa.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Kule mbele bado kuna shida sana, bora mabeki waendelee kufunga. Ile chance ya Rudiger kama angetulia tulikuwa tunaondoka na pointi 3. Lakini yote kwa yote timu yetu now inacheza vizuri sana, shida ni kule mbele tu.
Exactly, hapo ndipo liverpool anapotuacha,

Ngoja tuone hizi chance tunazotengeneza je tutacreate wakat lukaku yupo,?
 
LWB km uwezekano upo acheze CHO huku pulisic/mount akisogea mbele

Azplicueta hana pace + umri ushaenda
Odoi alisema hayupo comfortable kucheza RWB...lwb ndo yatakuwa yaleyale ....hvyohvyo Kwa Saul ambaye alishawahi kucheza lwb chini ya simeone nayo hakuwa comfortable kucheza pale....
 
Odoi alipata chance one to one akakosa....

Joginyo ndio yule....

Kila siku tunashinda na tuna majeruhi mbona...

Kikosi cha leo hakitofautiani na kile kilichocheza na Juve

Ila match ya Juve tulicheza vizuri sana
Ile chance unamlaumu vipi odoi kwanini usisifie ubora wa kipa watu wakuwalaumu kwa chances walizokosa ni Werner, Rudiger ile chance aliyoipata mwishoni
 
Dah Yale matakataka Yana lindMnofu na Halimagwaya eti alafu tumeshindwa kuyafunga daah nimeumia kinyama [emoji34][emoji34][emoji34]
Vipi mzee wa mataka taka hali kwa sasa ikoje? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pale juu mtaachia mdogo mdogo nafasi yenu ya 4 tunaijua
Warudi kwenye nafasi yao hawa wanatutia kiwingu tu, tena wakizubaa Arsenal wanakuja ichukua hiyo nafasi yao ya 4 [emoji16][emoji16][emoji16].
 
Ni upuuzi kutoka sare na NYUMBU
Tena nyinyi ndio mumechomoa na nnya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mujipange, hamna timu ya kuifunga Man utd, kenge wa kwenye miamba nyie.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tuite wachana mikeka, ukitupinga tunakulaza na njaa.
 
Dah Yale matakataka Yana lindMnofu na Halimagwaya eti alafu tumeshindwa kuyafunga daah nimeumia kinyama [emoji34][emoji34][emoji34]
We chupi hujaangalia game.
Huyo baashako Maguire hakucheza jana, sababu ya kadi nyekundu.

Na jana nyinyi ndio mulio chomoa na mavi.
Bahati yenu refa alikua upande wenu, akawagea penati, lasivyo leo asingeonekana hata kenge mmoja humu.

Tuite wachana mikeka, ukitupinga tunakulaza na njaa.
 
Mbinu za kufunga zikiisha muwe kama westham tu nyie nikuzuia tu hamna kufunga.
 
Sijui munakunywaga champumu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Yani Man utd amalize nafasi ya saba? Unachekesha.

Nyinyi mulimfunga Sorkjaer sio Man utd.

Man Utd tunamaliza ndani ya big 4 , ligi bado mbichi kabisa.
 
Hata mimi sijasema kwamba ni game ya Jana... Jana Magwaya hajacheza kwanza...

Ila huwa mnafanyiwa michongo sana mkicheza na sisi. Msijisahaulishe.
Kiroba chenu cha kilo mia mbili kiliingia lakini hakikuleta maajabu yeyote.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…