Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mtoto.wa juzi huyo

Man City enzi hizo ilikuwa sawa na Norwich city tu kabla hawajaja waarabu
 
Hapo kwa WHU nakubishia, hizo ni fujo tu za mwanzo.
 
Siku ya fainali ya UEFA kati ya Bayern Munich na Chelsea 2012, viongozi wa nchi 8 tajiri duniani walikuwa USA kwenye kikao. Wakatenga muda kutazama mechi hiyo ambayo Chelsea walipindua matokeo na kushinda. Waziri mkuu wa Uingereza akashangilia sana pembeni ya Kansela wa Ujerumani
 
West Ham haipo hapo kwa kubahatisha

Kwa Spurs haina best players in build up phases, mara nyingi utaona Kane & Son wanafanya majukumu ya kudrop in build up phases kureceive mipira ili kuprogress play, Conte without new signings atahitaji miujiza kuingia top four.
 
Conte anafanya vzr na wachezaji hao hao Kikubwa ni wao kuzoea mfumo pamoja na kujiamini.. Watakapoanza kushinda games watakaa Sawa tu.


West Ham sio timu ya kuamini sn Moyes sio km Conte
 
Napredict FA au carabao anaweza akaondoka nalo pia
 
Mambo yote yaishia uwanjani...

Humu tunakuja kupeana tu salamu hamna jipya...

Tunashinda ila hata hatujidai.

Hivi unadhani jukwaa lenu au la nyumbu ingekuwa ndio mnaongoza ligi lingepoa hivi?
Tatizo nyie humu mumekutana mambumbumbu wa tupu, kwahiyo usitegemee uchambuzi wa soccer, labda muchambue tembele.

Nyie zenu ushambenga tu, ndio maana munaongoza kuzurura majukwaa ya wenzenu.
 
Tatizo nyie humu mumekutana mambumbumbu wa tupu, kwahiyo usitegemee uchambuzi wa soccer, labda muchambue tembele.

Nyie zenu ushambenga tu, ndio maana munaongoza kuzurura majukwaa ya wenzenu.
Kwani wewe hili jukwaa umekuja kufanya nini
 
Tatizo nyie humu mumekutana mambumbumbu wa tupu, kwahiyo usitegemee uchambuzi wa soccer, labda muchambue tembele.

Nyie zenu ushambenga tu, ndio maana munaongoza kuzurura majukwaa ya wenzenu.
Mzee wa LUPATU umerudi Tena baaada ya ase8 kushinda vimechi viwli mfululizo[emoji1787]
 
Tatizo nyie humu mumekutana mambumbumbu wa tupu, kwahiyo usitegemee uchambuzi wa soccer, labda muchambue tembele.

Nyie zenu ushambenga tu, ndio maana munaongoza kuzurura majukwaa ya wenzenu.
Taja kwanza jina lako, kabila lako, dini yako, elimu yako na unatokea wapi? ili usaidike kwa urahisi zaidi.
Kama wewe ni Asenga FC au Lipuli FC au Nyumbu United sorry, "This is Stanford Bridge" ukicheza utaangukia majini
Hapa hatuchambui vitu, tunafanya vitu na wewe ukitaka tutakufanya
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…