Hakuna jipya wakati munatakiwa mujadili kwanini strikers wenu hawafanyi wajibu wao au mmekubali Rukaku mmepigwaUtachambua Nini ikiwa team inafanya vizuri ushindi umekuwa jadi yetu sio jambo lakushangaza kama wenzetu Manyumbu na Arsenane bila kusahau kocha wetu akosei kwenye selection ukichanganya na ufundi wake wa kusema mchezo na kufanya sub sahihi kwa wakati sahihi ndio kabisa.Ungekuwa wewe ndio mshabiki wa Chelsea kwa style hiyo ungechambua Nini hapo?TT sio sosha
Timu inescore goal za kutosha...Hakuna jipya wakati munatakiwa mujadili kwanini strikers wenu hawafanyi wajibu wao au mmekubali Rukaku mmepigwa
Wanaume tumekaa tunajadili mambo ya timu yetu, wewe unapita mbele yetu na kanga moja imelowa maji huku unatingisha wowowooo
Na kweli kwa Jinsi Chelsea ilivyo sasa huku acha tufanye ni kijiwe cha kuja Kupongezana tuu. Uchambuzi wa Mwisho aliumaliza Kocha wetu TT kwa kuutangazia Ulimwengu anatengeneza Timu ambayo hakuna Timu itakayopenda kukutana na Chelsea.Huku hakunaga uchambuzi siku hizi utaboreka Cheltako fans wenzako kazi yao ni kuzurula kwenye nyuzi za wengine
Yote yanawezekanaIli Chelsea aongoze Group H ni lazima amfunge Zenit na Juve kwa GD ya 2
Kila laheri Chelsea
Atashinda na njaaaManure anashinda jmos wewe we wataka shosha atimuliwe
Yani umetoka shimoni tu uko..hujui ata kinachoendelea halafu unakuja kubwabwaja hapa mbele ya mabingwa watarajiwa.Naona siku hizi, unatembea kifua mbele kama umepigwa gumi la mgongo, sio!
Ila mpaka January utarudi kua mwembamba kama unakula Omo vile.
Mhhhh hyo nayo shida ssa lukaku kaumia kdgo tu I.ekuwa ishu ya mwez mzima na timo nae ishu mwez mzima kaaah hao wachezaji ssa tumepigwa inakera
Historia huwa inavunjwa, mbona ninyi mlivunja rekodi ya kumfunga Manure hatrick ya Salah pale Old Traford?David Moyes hana historia ya kuifunga liverpool tangu Enzi zile akiwa Everton na Manure
Hii trick tuu ametumia hao wachezaji wasiende kwenye timu za taifa, sababu lukaku ameshaanza mazoezi tangu alhamis na tukiludi inatakiwa tuwe on fire maana tunamechi ngumu kidgMhhhh hyo nayo shida ssa lukaku kaumia kdgo tu I.ekuwa ishu ya mwez mzima na timo nae ishu mwez mzima kaaah hao wachezaji ssa tumepigwa inakera
Hapo nimekuelewa kwa maelezo yako mkuuuHii trick tuu ametumia hao wachezaji wasiende kwenye timu za taifa, sababu lukaku ameshaanza mazoezi tangu alhamis na tukiludi inatakiwa tuwe on fire maana tunamechi ngumu kidg
GoooooooooooolChelsea tunashinda kwe thred za watu kwetu tumekimbia ila siku tukipoteza utaona kelele za watu