Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hii match tunahitaji kushinda kivyovyote vile... Otherwise huenda Uropa inatuita....

Tunapata shida sana kucheza na timu zinazopaki basi.
 
Hii match tunahitaji kushinda kivyovyote vile... Otherwise huenda Uropa inatuita....

Tunapata shida sana kucheza na timu zinazopaki basi.
Toa alonso toa azplicueta toa zyche goli nying sana zipo bila hivyo hatutoboi
 
Usichukulie poa me nikikumbuka mwaka 2013 tulivyoingia uropa kimasihara na tulipangwaga kundi moja na Juve na kipindi kile walitupiga Turin kama sasa hivi...

Tena tulikuwa tumetoka kuchukua Uefa sina hamu....
TT acha utani kuna watu humo ndani cjui wanafanya nn?
 
TT acha utani kuna watu humo ndani cjui wanafanya nn?
Hat siku ile chelsea wameenda kule Italy niliandika hicho kitu....

Imagine 2013 tulishika nafasi ya 3 na tulikuwa na point 10.

Shakter Donestik na Juve wakapita....

Tukishindwa kushinda hapa halafu Zenit akashinda kwa Juve leo titakuwa na wakati mgumu sana.
 
Ft. Malmo 0-1Chel
Mfungaji ni ziyech

Tumepata chance nyingi za kufunga na hatujazitumia vyema,

RLC alikuwa na game nzuri leo alifaa hata atoke na angalau assist 2 ila zote hazikutumiwa vyema
 

Chelsea for life
 
Mmewafunga vibonde lakini kwa mbinde!
Malmo hata Wananchi hawatufungi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…